mbeya

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mtume Wenu Mwamposa afanya 'Promotion' ya Hotel yake ya Mkoani Mbeya katikati ya Ibada Tanganyika Packers Kawe leo

    "Nitakuwa ni Mjinga kama nikipumzika Kazi hii ya Kumtumikia Mwenyezi Mungu na kuwa Masikini hivyo kama unaenda Mkoani Mbeya karibu katika Hotel yangu kwani haina Gharama" amesema Mtume wenu Mwamposa. *Na sijaishia tu kuwa na hiyo Hotel bali kwa sasa nina Shamba Kubwa Heka na Heka za Parachichi...
  2. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenyeji mbeya wakunipokea

    Naomba mwenyeji atakaye mpokea unique flower mdada mfupi mremboo stendi mbeya . Anionyeshe mahali pakulala na kula . Pasafi na pazuri. Nikwa hiyo siku mmoja hiyo tu. Good night
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu anayetuhumiwa kumshushia kipigo Mwanafunzi aliyedokoa maandazi ashikiliwa na Polisi

    Kufuatia kuripotiwa kwa tukio la Laurence Nicholaus Mwangake, Mwanafunzi wa kidato cha nne Shule ya Sekondari Rohila, Mbalizi kulazwa Hospitali ya Ifisi tangu Februari 12, 2023 ikidaiwa amejeruhiwa kwa kipigo, watuhumiwa wawili wanashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa ajili ya mahojiano. Afisa...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mbeya: Mwanafunzi alazwa baada ya kupata kipigo kutoka kwa Walimu wa Shule ya Sekondari Rohila, inadaiwa alidokoa maandazi manne

    Kijana Laurence Nicholaus Mwangake mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Rohila iliyopo Mbalizi Mkoani Mbeya amelazwa Hospitali ya Ifisi ikidaiwa amejeruhiwa vibaya na Walimu wanne pamoja na Walinzi wawili wa shuleni hapo. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Shule ya Rohila...
  5. kyagata

    JamiiForums Tanzania Saa 1 na dakika 11 usiku hapa Mbeya jua bado linawaka

    Niko Mbeya, hapa ni saa moja usiku kwa mujibu wa saa yangu ila bado jua linawaka. Nimewasiliana na mtu yuko Dar ananiambia wao huko giza tayari na wako wanakula supper. Kwanini kuna tofauti hii ya kuzama kwa jua kati ya mikoa hii miwili?
  6. Messenger RNA

    JamiiForums Tanzania Mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya bil 17.5 wasainiwa jijini mbeya, barabara ya njia nne kuanza kujengwa upesi

    Katika harakati za Mh.rais Samia za kumtua mama ndoo kichwani, leo mradi mkubwa wa maji utakao maliza kabisa tatizo la maji jijini mbeya na viunga vyake umesainiwa mbele ya waziri wa maji Mh.Jumaa aweso huku mbunge wa jimbo hilo Dr. Tulia akidokeza kuwa ujenzi wa barabara ya njia nne kuanza...
  7. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Sakata la video ya madawati Sinde Mbeya mwalimu wa kujitolea alikuwa sahihi

    Hili sakata kwa tuliowasikiliza viongozi wa mkoa ni wazi walikiri kuwa kulikuwa na uhaba wa madeski shuleni Sinde, viongozi hao walisema siku husika walikuwa wakigawa madeski japo haohao wanasema shule haikuwa na uhaba wa madeski! Hayo madeski walikuwa wakigawa ni ya ziada? Viongozi wa mkoa...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania RC Mbeya ataka walifyekewa mahindi yao walipwe

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Juma Homera amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Benno Malisa, kumtembelea mwananchi aliyefyekewa mahindi yake katika eneo la Iyunga jijini Mbeya na kuhakikisha aliyesababisha kufyekwa mahindi hayo analipa gharama ambazo mkulima huyo angepata Pia soma Mbeya: Serikali Yafyeka...
  9. NetMaster

    JamiiForums Tanzania lijue jiji la Mbeya (Green city), makabila makuu matatu na shughuli zinazowapa heshima

    MUHIMU: jiji la Mbeya ni wilaya moja tu ndani ya Mkoa na sio wilaya zote za Mbeya WANYAKYUSA Hawa kwa asili sio wazawa wa wilaya ya Mbeya jiji, wametokea wilaya jirani za Rungwe (ulipo mji maarufu wa Tukuyu) na Kyela. Walikuja Mbeya jiji kwasababu ndipo yalipokuwa makao makuu ya mkoa mzima na...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwalimu aliyesambaza picha za Wanafunzi wamekaa chini, aingia matatani

    Mwalimu wa mazoezi wa Shule ya Sekondari Sinde - Jijini Mbeya, Evaristo Chona anashikiliwa na vyombo vya dola baada ya kudaiwa kusambaza picha za Wanafunzi wakiwa wamekaa chini kwa madai ya kukosa madawati, jambo lililoifanya Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Mbeya kufika shuleni hapo.
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Serikali Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka

    Serikali ya Mtaa Iyunga Mbeya Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wanafunzi wa Shule za Msingi za Umma waruhusiwa kuvaa Suruali

    WAZAZI na walezi jijini Mbeya, wamepokea kwa mikono miwili, maamuzi yaliyotolewa na serikali, kwamba wanafunzi wa shule za umma, wasichana na wavulana waanze kuvaa suruali, kutokana na mazingira ya Mkoa huo uliopo nyanda za juu Kusini, kuwa na baridi kali. Hayo yameelezwa na baadhi ya wazazi na...
  13. kyagata

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya maisha yako nafuu kiasi hiki ukilinganisha na sehemu zingine za nchi yetu?

    Niko Mbeya nashangaa shangaa Naona mabucha mengi ya nyama ya ng'ombe yanauza nyama kilo 6,000/= Kitimoto kilo ni 8000/= Mchele kilo ni 2000/= Mafuta ya kupikia lita 5 ni 23,000/= Maharage kilo ni 2500/= Ndizi mkungu ni elfu 5 tu. Matunda yapo ya kila aina,mfano maembe bakuli zima ni jero tu...
  14. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania AJABU ZA MBEYA NA DAR: Bodaboda, Bajaj, vipanya vs Coaster daladala

    Kwenye hii miji miwili ya MBEYA na DAR ES SALAAM kuna mambo yanachekesha sana. Unajiuliza wafanya maamuzi walikuwa wanatafakari kweli? Mbona walifanya maamuzi ambayo yako Illogical! Mwaka 2008 Dar es Salaam jiji walipiga marufuku mabasi madogo almaarufu vipanya "Hiace". Sababu ilikuwa ni...
  15. Kyambamasimbi

    JamiiForums Tanzania Weekend mood wewe uko wapi Mimi nipo Sam city Makongolosi Chunya Mbeya ni vyupa kwa kwenda mbele. Wewe uko wapi?

    Karibuni chunya Makongolosi, sehemu ambayo watu hujiachia masaa 24 Kila Kona baa na vilabu vya pombe asili. Ukiwa unavuka barabara jishikilie maana bodaboda wa huku hakuna kufuata sheria. Duu kweli Tembea uone.
  16. Execute

    JamiiForums Tanzania Mbeya gesti yenye vyumba self contained inaanzia elfu kumi

    Huu mkoa gharama za maisha zipo chini sana. Mtu akishindwa kuishi huku basi ni bora afariki. Nimefika hapa na kushangaa guest house nzuri kabisa na ipo sehemu nzuri, haina mambo ya hovyo lakini bei elfu kumi. Wali samaki nimekula sehemu kwa shilingi 2500.
  17. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Madiwani na mkurugenzi wa Mbeya kauli yenu inamaanisha biashara ya bajaji Mbeya ni haramu!! Maduka ya bajaji yafungwe, na hamtowatoza Kodi?

    Nachojua Mimi madiwani wa Mbeya ndio wamiliki wakubwa wa bajaji hapo mjini ,.nawafahamu na bajaji mnazomiliki nazifahamu mnataka kuwadhibiti raia wa kawaida wasimiliki bajaji ili biashara yenu isiwe na ushindani?? Biashara ni huria huwezi kuzuia watu wasiingize bajaji barabarani kwa sababu...
  18. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Nimempambania kapata kazi, salary ni 1.5m gross kaikataa kisa kapangiwa kwenda mkoani Mbeya

    Wakuu, naandika hii thread huku nikiwa na hasira za kufa mtu. Kuna litoto la uncle wangu naishi nalo hapa ghetto, huyu mtu namuona kama sio mzima kichwani kabisa. Kamaliza Mzumbe na Ka GPA kake ka 4 (nadhani ndio kanampa kiburi) Alivyomaliza chuo two years back nilimpambania akapata kasehemu...
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mahakama yavunja ndoa baada ya mke kutopewa unyumba kwa miaka 7

    Mahakama ya Mwanzo Mkoani Mbeya imevunja ndoa ya Upendo Charles (40) na Nelson Sospeter (54) baada ya mke kudai kutopatiwa unyumba na mume wake kwa muda wa miaka saba. Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Asha Njovu, amesema baada ya kusikiliza kwa kipa pande zote mbili Mahakama iligundua kuwa...
  20. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mtanzania mwenye kuelewa ilipo Mahakama ya Qadhi Mkoani Mbeya tafadhali

    Niko mbeya eneo la Tukuyu ninaomba mwenye kujua ilipo Mahakama ya Qadhi anipe uelekeo wa kufika hapo tafadhali
Back
Top Bottom