mbeya

  1. angelina kabeta

    JamiiForums Tanzania Aibu: UWT mbeya, jengeni jumuiya yenye nguvu sio machawa wa Mbunge

    Inasikitisha sana kwa taasisi kubwa ya chama chetu kutokemea na kusahihisha upumbavu kama anao fanya huyu naibu waziri wa maji kwa wanawake wa mkoa wa mbeya. Mimi kama miongoni wa wajumbe wa mkutano mkuu wa wanawake niliitikia wito wa jana kwenda pale tughimbe kwamba tumeitwa na mbunge wa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Mabati ya Taishan Mbeya

    ndugu mteja karibu kujipatia mabati ya taishan kiwandani mbeya mabati imara yanayostahimili vipindi vyote vya jua na mvua bila kupauka ○aina za mabati tuliyonayo migongo midogo migongo mipana (IT4 ,IT5) milano tiles (vigae) Usafiri ni bure hadi site ,punguzo la beimisumali lipo kwa mteja wa...
  3. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kuna basi la moja kwa moja ama kuunga kutoka Dodoma hadi Mbeya Kuanzia saa tatu asubuhi?

    Habari zenu waheshimiwa, Naombeni mnijuze kama kuna basi la kutoka dodoma hadi Mbeya kuanzia saa tatu asubuhi
  4. collinswilliam63

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Usafiri Kahama kwenda Mbeya

    Habari, Naomba msaada wa kufahamishwa kuhusu usafiri wa kutoka Kahama kwenda Mbeya na gharama zake Ahsante
  5. L

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Guest Mbeya au Tunduma

    Nahitaji guesti ya Bei nafuu Mbeya Mjini au Tunduma iwe tu mahali salama
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mbeya kinara wa matukio ya ubakaji na ukatili wa kijinsia

    Katika kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Nchini, Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Juma Homera amesema visa vya ubakaji vimekua kinara katika matukio yaliyo ripotiwa ya ukatili wa kijinsia Mkoani Mbeya. Homera ametoa takwimu hizo katika mkutano na waandishi wa habari ambapo amesema Kwa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe, zile Keki Kubwa 50 ulizoenda nazo Mbarali Mbeya umezila zote peke yako?

    Mwenyewe ulipanga uweke Historia pale Uwanjani Highland Estate Mbarali kama Yanga SC yako ingeshinda Mchezo wake wa 50 bila Kufungwa basi umuagize Dereva aingize Gari Uwanjani na mzigawe kwa Mashabiki wenu ili Wazisasambue kwa Mikogo yenu mingi kama Kawaida yenu. Haya jana Jezi zenu Maalum za...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tafadhali Jezi zenu Maalum za Unbeaten Record ya 50 mlizopanga Kuzivaa leo msizichome Moto Usiku huu Mbeya

    Ama kweli Binadamu tunapanga lakini na Mwenyezi Mungu nae pia anapanga lake / yake vile vile. Kudadadeki Taarifa ikufikie popote pale ulipo kuwa Usiku huu kwa Aibu waliyoipata kwa Kufungwa na Ihefu FC huku kwa Kujiamini kabisa kuwa Unbeaten Record yao itaendelea wanapanga Kuchoma Moto Jezi zao...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Umafia huu mkubwa wa FA ya Mbeya, Ihefu FC wakisaidiwa na Watu wa Simba SC 'Unbeaten Record' ingeisha tu leo

    Kwa Kawaida Makomandoo wa Yanga SC na hasa Mganga wao Hatari hupenda Kutangulia (Kuwahi) Mkoa ambao Yanga SC inacheza kisha wanaanza Kuufanyia Umafia na Uchawi (Ndumba) Uwanja ambao Utachezewa. Hivyo basi baada ya FA ya Mkoa wa Mbeya (hasa Kiongozi wao Mmoja mwana Simba SC) Kugundua Janja ya...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wakulima Mbeya walia uhaba mbolea ya ruzuku

    Wakulima wa Tarafa ya Kiwanja, Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wamelalamikia uhaba wa mbolea na pembejeo za ruzuku. Wakizungumza haya Novemba 28, 2022 wakati wakizungumza na mwandishi wa habari hizi ambapo wamedai kuwa katika maeneo yao mpaka sasa hakuna mawakala wa pembejeo licha...
  11. Replica

    JamiiForums Tanzania Yanga 2-0 Mbeya City | Ligi kuu NBC | Benjamin Mkapa

    Tukiendelea na hekaheka za kombe la dunia pia Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwenye dimba la Benjamin Mkapa ambapo Yanga anaikaribisha Mbeya City. 24' ⚽ Yanga inatangulia kwa goli lililofungwa na Fiston Mayele. 33' Moloko anajaribu lakini beki wa Mbeya City anaweka mguu na mpira...
  12. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Tunaisubiri kamati ya masaa 72 kutoa adhabu kali kwa mtindo waliotumia wachezaji wa Mbeya City kushangilia

    Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha. Ni mtindo ambao ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo...
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Simba SC Kuchemka kwa Mbeya City FC leo tegemeeni yafuatayo ili kuwazuga mashabiki wa Msimbazi

    Wameshajua tayari kuwa sare ya leo imewakwaza wana Simba SC wengi kwani sasa pengo kama Yanga SC itashinda mechi zake na kuwa sawa kimichezo na Simba SC itakuwa ni alama (Points ) saba (7) kamili. Hivyo basi GENTAMYCINE natabiri kuanzia kesho Alhamisi ili kutuzuga wana Simba SC (Mbumbumbu Ngada...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya vs Simba: Leo tena maigizo yanaendelea!

    Heshima kwenu wakuu. Kama tunavyojua wote, Spika wa Bunge Tulia Ackson ni mwanachama na shabiki lia lia wa Simba Sports Club.Mh Tulia pia ni mbunge wa Mbeya mjini na ni mlezi na mafadhili wa Mbeya City FC lakini mapenzi yake yamelalia zaidi kwa Simba kuliko Mbeya City.Hivyo basi mechi ya leo ni...
  15. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Simba ikiondoka Mbeya na alama tatu naomba nifukuzwe rasmi Jukwaa la Michezo

    Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi. Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mbarali: Ng'ombe zaidi ya 400 ambao ni mali ya Wananchi kupigwa mnada leo

    Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kwamba ng'ombe hao wa wananchi wa Mbarali ambao idadi kamili ni 433, wanaodaiwa kukamatwa na Askari wa Wanyamapori kwenye hifadhi wanapigwa mnada leo 14/11/2022 Bali kampuni iliyopewa tenda ya kupiga mnada ng'ombe hao wa Wananchi inaitwa MBARALI HIGHLAND...
  17. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Kaburi lafukuliwa Mbeya, mwili wanyofolewa viungo

    Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawasaka watu waliohusika kufukua kaburi na kunyofoa baadhi ya viungo vya mwili wa Neema Enock (24) uliozikwa kwenye kaburi hilo wilayani Rungwe. Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Novemba 8, 2022 Kamanda wa Polis Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema tukio...
  18. Mr kenice

    JamiiForums Tanzania Msaada: Chuo Kikuu Mbeya (MUST) kinatoa kozi ya Bachelor of Medical Laboratory Science & Technology

    Habari zenu wakuu, Poleni na majukumu, Moja kwamoja kwenye mada, Kuna bwana mdogo kaniomba ushauri nimsaidie lakini sio mjuzi zaidi nikaona NIVYEMA kuliweka hapa JF. Huyu dogo kasoma diploma ya Medical laboratory, na mwaka huu kaomba mkopo elimu ya juu akaendelee, chuo alichoomba ikawa ni...
  19. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mbeya na Manyara wanaume ni wengi kuliko wanawake?

    Ni kwanini?
  20. T

    JamiiForums Tanzania Majiji ya Mbeya na Arusha hayako kwenye top 10 ya idadi kubwa ya watu, yalipataje hadhi ya kuitwa majiji?

    Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi. Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara Swali...
Back
Top Bottom