mbeya

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Wadakwa na vipande 25 vya Meno ya Tembo wakiwa wamefunga kwenye mfuko

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limetangaza kuwakamata watuhumiwa 16 kati yao Wanaume ni 15 na Mwanamke ni mmoja. NYARA ZA SERIKALI Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema kwa kushirikiana na askari wa TANAPA wanawashikilia watuhumiwa watatu [majina yanahifadhiwa kwa sababu...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mbeya ACP Kuzaga afunga "Polisi Jamii Interclasses Super Cup"

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamini Kuzaga Machi 25, 2023 huko katika Kata ya Kisiba iliyopo halmashauri ya Busokelo, Wilaya ya Rungwe, Mkoa wa Mbeya alifunga mashindano ya mpira wa miguu na ngoma za asili yaliyojulikana kama "POLISI JAMII INTERCLASSES SUPER CUP 2023" Akifunga...
  3. U

    JamiiForums Tanzania Wafugaji wa samaki mliopo Mbeya

    Ninaomba wafugaji wa samaki mliopo Mbeya jiji tuwasiliane mnipm kuna kitu ninatafuta.
  4. Mwanongwa

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Askari wa Kikosi cha Usalama Barabarani acheni Rushwa, simamieni sheria

    Wananchi wanaotumia Barabara ya Mbeya - Chunya wamelitaka Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani, askari wake kuacha kuchukua rushwa na badala yake wasimamie sheria. Wananchi hao wamelalamikia kitendo cha mabasi ya Mbeya -Chunya kuzidisha abiria kinyume cha utaratibu. Mabasi yanayotoka...
  5. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Serikali ifanye jambo soka la Mbeya

    Kwa ajili ya maendeleo ya soka la nchi hii na kwa ajili ya kuunga mkono juhudi za kukuza soka la nchi hii Nashawishika kuamini kwamba serikali haitimizi wajibu wake Kwa soka la Mbeya. Pamoja na ishara zote kuonesha kwamba Mkoa wa Mbeya ndio mkoa namba moja kwa kuwa na wapenzi wengi wa soka...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ajifungia kwenye nyumba yeye na mkewe kisha kuchoma nyumba moto, kisa wivu wa mapenzi

    Mtoto wa marehemu akiwa Hospitalini akiendelea na matibabu Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linaendelea na operesheni, misako na doria katika maeneo mbalimbali ya Mkoa ili kuimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. Aidha tumeendelea kupata mafanikio kwa kukamata watuhumiwa wa makosa...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kamanda wa Polisi Mbeya Afunga Ndanto Polisi Jamii Super Cup, 2023

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga, Machi 12, 2023 Wilayani Rungwe amefunga mashindano ya mpira wa miguu yaliyojulikana kwa jina la Polisi Jamii Super Cup 2023. Akifunga mashindano hayo yaliyoshirikisha timu 8 kutoka vijiji viwili vya Ntokela na Nzunda vilivyopo Kata ya...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa wa Mbeya awataka Polisi kuwakamata Waganga wapiga ramli chonganishi

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Comrade Juma Zuberi Homera amewataka makamanda wa Polisi wa Mikoa ya Nyanda za Juu Kusini, Mbeya, Iringa, Njombe, Rukwa na Songwe kushirikiana katika kuzuia na kudhibiti biashara haramu ya usafirishaji binadamu katika mikoa yao. Homera ameyasema hayo wakati akifungua...
  9. Vivax

    JamiiForums Tanzania Hali ya mahindi Mbeya

    Kwa wakulima wa mahindi wa mkoa wa Mbeya. Mwaionaje hali ya mahindi yetu mwaka huu. Kwa mimi hairidhishi kabisa! Sijui kilichotokea. Mvua ilikuwa vizuri Taratibu za kilimo zilifuatwa kama miaka mingine. Lakini matokeo yamekuwa HASI.
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Askari Wanawake Mbeya watoa zawadi ya taulo za kike, sabuni na vifaa vingine kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Msingi

    Mwenyekiti wa Mtandao wa Askari Polisi Wanawake Mkoa wa Mbeya ambaye pia ni Afisa Mnadhimu namba moja Mkoa wa Mbeya ACP Christina Musyani, Machi 06, 2023 amewaongoza Askari Polisi Wanawake Mkoa wa Mbeya kuwatembelea na kutoa zawadi kwa Wanafunzi wa Shule za Sekondari na Msingi zilizopo katika...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Itakuwa ni uwendawazimu na ukichaa kwa wana Mbeya kumtoa Dkt. Tulia jimbo la Mbeya Mjini

    Ndugu zangu watanzania, Naifahamu Mbeya ,Nawafahamu Wana Mbeya ,Nimekaa na kuishi Mbeya,Nimesoma Mbeya,Naendelea kwenda Mara kwa Mara Mbeya,Nazifahamu siasa za Wana Mbeya,Nafahamu Fikira za wanambeya,Nafahamu misimamo ya wanambeya,Nafahamu Tabia za wanambeya,Nazifahamu kero za Wana...
  12. EvilSpirit

    JamiiForums Tanzania Bwana Gwajima ana mkutano leo Mbalizi Mbeya Tarehe 05/03/2023

    Kuna gari la matangazo kwa wiki sasa limekuwa likipita mitaani kutangaza mkutano wa bwana Josephat gwajima utakaofanyika Mbalizi Mbeya. Moja ya maneno yanayotumiwa na mtangazaji kuwavuta watu kwenye mkutano huo ni kusema "Misukule itatolewa" I will be there kuona hiyo misukule ya kupangwa...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya wamnasa mwizi wa ng’ombe, mwingine aponzwa na Bangi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya katika muendelezo wa misako inayofanyika katika maeneo ya Mkoa wa Mbeya, linamshikilia Hewad Jackson (33), Mkazi wa Kijiji cha Ilembo Mbeya Vijijini kwa tuhuma za kupatikana na ng'ombe 10 wa wizi wenye thamani ya shilingi milioni kumi na tano [15,000,000/=]...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu watatu washikiliwa kwa kuingiza Vipodozi vyenye viambata sumu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu (majina yanahifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi) wakazi wa Tunduma kwa tuhuma za kuingiza nchini vipodozi vya aina mbalimbali vilivyopigwa marufuku vyenye viambata sumu pamoja na bidhaa za magendo kupitia njia za panya. Kamanda wa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Ndani ya Februari – Machi 2023 makosa 284 ya ubakaji yameripotiwa

    Makosa ya udhalilishaji na ukatili yaliyoripotiwa Februari hadi Machi 2023 Mkoani Mbeya jumla ni 284, yakiwemo ya 70 ya ubakaji na Ulawiti matukio 37. Mchanganuo wa takwimu hizo ndani ya kipindi hicho, Makosa ya Ubakaji; Mbeya Jiji ni 70, Mbalizi (37), Chunya (77), Rungwe (33), Kyera (34) na...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mwanafunzi wa Shule ya Msingi afariki Dunia kwa kujinyonga, yadaiwa chanzo ni kukaripiwa

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema Februari 27, 2023 majira ya saa 02:00 usiku katika Mtaa wa Mwafute uliopo Kata ya Ilemi, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Mwanafunzi wa darasa la VI katika Shule ya Msingi Lyoto aitwaye IBRAHIM EDSON [12] alikutwa akiwa amefariki baada...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watiwa mbaroni kwa kuvunja ofisi ya kijiji na kuiba vifaa vya Mradi wa Umeme-REA

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Bahati Geofrey (36) Mkazi wa Kiwira na Emmanuel Mtofu (33) Mkazi wa Karasha ambao wanatuhumiwa kuvunja Ofisi ya Kijiji na kuiba vifaa vya Mradi wa Umeme – REA. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga amesema awali mnamo...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Polisi Mbeya wamkamata Joseph Ngoya akiwa na noti bandia za Tsh. 10,000

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia JOSEPH NGOYA mwenye umri wa miaka 34, Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za kupatikana na Noti bandia za shilingi elfu kumi. Ni kwamba mnamo tarehe 23.02.2023 huko maeneo ya Kituo cha Mafuta (Sheli) ya Kazibure iliyopo barabara Kuu (Tunduma...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Watu wawili washikiliwa kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha za moto

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP Benjamin Kuzaga Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili Fred Nzunda (40) Mkazi wa Nzovwe Mbeya na John Nsemwanya [40] Mkazi wa Mbozi Mkoa wa Songwe kwa tuhuma za unyang’anyi wa kutumia silaha. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, ACP...
  20. iCode

    JamiiForums Tanzania Gari la kukodi Mbeya

    Wakuu amani na iwe kwenu. Naomba kupewa connection ya gari la kukodi mbeya kwa siku mbili au zaidi kwa mizunguko ya hapo mjini. Pia kuna uwezekano wa kufanya safari za nje ya mji kidogo. Gari liwe katika hali nzuri na budget iwe nzuri pia. Gari linahitajika kuanzia leo. Natanguliza Shukrani.
Back
Top Bottom