Wakulima wa Tarafa ya Kiwanja, Halmashauri ya Wilaya ya Chunya mkoani Mbeya wamelalamikia uhaba wa mbolea na pembejeo za ruzuku.
Wakizungumza haya Novemba 28, 2022 wakati wakizungumza na mwandishi wa habari hizi ambapo wamedai kuwa katika maeneo yao mpaka sasa hakuna mawakala wa pembejeo licha...
Tukiendelea na hekaheka za kombe la dunia pia Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwenye dimba la Benjamin Mkapa ambapo Yanga anaikaribisha Mbeya City.
24' ⚽ Yanga inatangulia kwa goli lililofungwa na Fiston Mayele.
33' Moloko anajaribu lakini beki wa Mbeya City anaweka mguu na mpira...
Tadadhalini kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi katika kikao chenu mnapopitia taarifa mbalimbali za mechi za Ligi Kuu tunaombeni mliwekee uzito hili jambo la mtindo wa ovyo waliyotumia Mbeya city kushangilia bao la kusawazisha.
Ni mtindo ambao ipo kinyume na maadili wazi wazi, hapo...
Wameshajua tayari kuwa sare ya leo imewakwaza wana Simba SC wengi kwani sasa pengo kama Yanga SC itashinda mechi zake na kuwa sawa kimichezo na Simba SC itakuwa ni alama (Points ) saba (7) kamili.
Hivyo basi GENTAMYCINE natabiri kuanzia kesho Alhamisi ili kutuzuga wana Simba SC (Mbumbumbu Ngada...
Heshima kwenu wakuu.
Kama tunavyojua wote, Spika wa Bunge Tulia Ackson ni mwanachama na shabiki lia lia wa Simba Sports Club.Mh Tulia pia ni mbunge wa Mbeya mjini na ni mlezi na mafadhili wa Mbeya City FC lakini mapenzi yake yamelalia zaidi kwa Simba kuliko Mbeya City.Hivyo basi mechi ya leo ni...
Mashabiki wa Simba jiandaeni kisaikolojia, kwa maandalizi niliyoyashuhudia hapa Mbeya ponapona yenu ni sare. Nyie watu wanajua kufanya maandalizi ya mechi.
Nasema hamtoki na "Nguvu Moja" yenu.
Taarifa iliyotufikia hivi punde inaeleza kwamba ng'ombe hao wa wananchi wa Mbarali ambao idadi kamili ni 433, wanaodaiwa kukamatwa na Askari wa Wanyamapori kwenye hifadhi wanapigwa mnada leo 14/11/2022
Bali kampuni iliyopewa tenda ya kupiga mnada ng'ombe hao wa Wananchi inaitwa MBARALI HIGHLAND...
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linawasaka watu waliohusika kufukua kaburi na kunyofoa baadhi ya viungo vya mwili wa Neema Enock (24) uliozikwa kwenye kaburi hilo wilayani Rungwe.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumanne Novemba 8, 2022 Kamanda wa Polis Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amesema tukio...
Habari zenu wakuu,
Poleni na majukumu,
Moja kwamoja kwenye mada, Kuna bwana mdogo kaniomba ushauri nimsaidie lakini sio mjuzi zaidi nikaona NIVYEMA kuliweka hapa JF.
Huyu dogo kasoma diploma ya Medical laboratory, na mwaka huu kaomba mkopo elimu ya juu akaendelee, chuo alichoomba ikawa ni...
Taarifa zilizotolewa jana na Tume ya Takwimu Tanzania imeonyesha mikoa yenye watu wengi Tanzania, kuanzia mkoa namba moja hadi namba ya mwisho kwa idadi.
Katika orodha hiyo, majiji yetu ya Mbeya na Arusha hayako hata kwenye top 10. Mkoa wa mwisho wa idadi kubwa ya watu ni kina Mura, Mara
Swali...
Nimepita Nsalaga hapa namuona Mr. Two Maarufu kama Sugu akiwa na kundi kubwa la Vijana wakiwa wamezingira gari huku wakimuita Mbunge, Mbunge, Mbunge.
Hata wale wenye bajaji zilizoandikwa Tulia Trust sijui ni mikopo ya Dkt. Tulia hii nao wapo hapo na Sugu wakimgongea tano.
Huyu bwana anapendwa...
Ntotofula Natural Swimming Pool
NTOTOFULA ni neno la Kinyakyusa lenye maana ya Povu, Sehemu hii ya kuogelea inayopatikana ndani ya Mto Mbaka katika kijiji cha Mbambo Halmashauri ya Busokelo iliitwa hivyo kutokana na uwepo wa povu la asili litokanalo na maji kujipiga kwenye Mwamba/mawe ama ukuta...
Habari zenu wana JF wenzangu,
Ndugu zangu toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe wana Mbeya wameonesha hamasa kubwa ya kutaka mageuzi nje ya CCM, lakini wanaonesha kuwa hawana uwezo wa kujisimamia wenyewe katika kuyataka mageuzi hayo, mpaka kupitia kwa watu wengine kama vile wana Kilimanjaro na...
Mwangaluka! Mwakaata! Mwagona! Mwaghona! Mughonile! Mapembelo! Kamwene! Ukurasa wa 1
MAONO YA KUENDELEZA NA KUPENDEZESHA JIJI LA MBEYA
“When it comes to innovating big ideas and realising them, the sky is the limit” “Suala la kuibua fikra pana na pevu na jinsi ya kuzitekeleza, huwa halina...
Mbeya ni mkoa mzuri sana kijografia, ukiwa umezungukwa na milima na vilima. Mito na vijito, hali nzuri ya hewa, udongo mzuri wenye rutuba na mambo mengi mazuri.
Watu wa Mbeya ni wakarimu sana, watoaji na wenye upendo, ila ukiwazingua wanakuzingua mara milioni sita zaidi.
Mbeya kuna mandhari ya...
Zaidi ya wafanyabiashara 40 katika Soko Kuu mtaa wa Sokoine jijini Mbeya wameandamana katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kutoa kilio chao baada ya vibanda vyao kubomolewa usiku wa kuamkia leo Alhamisi Septemba 22, 2022 na watu wasiojulikana.
Pia, imeelezwa katika bomoabomoa hiyo, mali za...
BASI LEO NIWA FURAHISHE WAKAGUZI WA FACEBOOK MAANA NIMECHOKA NA TABIA YAO YA KUNYAMAZISHA POST ZANGU😀😀.
Mimi na mpenzi wangu tulikuwa tuna wasiliana kwa video call kwenye whatsapp jana aliniambia kuwa ana hamu ya kuniona ana kwa ana Kwamba ananihitaji sana niwepo kando yake.
“nili muliza vipi...
Nikili wazi Mimi ni mdau mkubwa wa masuala ya kiushirika, kwani ni miongoni mwa vijana tulio zaliwa na kuona kabisa jinsi ambavyo bibi zangu walivyopanga foleni kwenye maduka ya ushirika kununua unga wa njano!
Pamoja na hayo, lazima nikili yakuwa Kwa miaka takribani sita Sasa nimekuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.