Mbeya: Mahakama yavunja ndoa baada ya mke kutopewa unyumba kwa miaka 7

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,295
5,426
Mahakama ya Mwanzo Mkoani Mbeya imevunja ndoa ya Upendo Charles (40) na Nelson Sospeter (54) baada ya mke kudai kutopatiwa unyumba na mume wake kwa muda wa miaka saba.

Hakimu Mfawidhi wa Mahakama hiyo, Asha Njovu, amesema baada ya kusikiliza kwa kipa pande zote mbili Mahakama iligundua kuwa ndoa hiyo haitaweza kurekebishwa tena.

“Ndoa inarekebishwa na watu wawili yaani mume na mke, kadhalika ndoa hiyo inavunjwa na watu haohao yaani mume na mke,” amesema Hakimu huyo.

Mbali na kunyimwa unyumba kwa kipindi cha miaka saba malalamikaji (Mke) amedai kuwa mume wake amemtelekeza pamoja na watoto wake bila kupatiwa huduma zozote za matunzo ikiwemo chakula, malazi na ada kwa ajili ya watoto.

Chanzo: Nipashe
 
Miaka saba?kwaiyo huyo mama na baridi la mbeya alikuwa anatumia dildo,tango au vile vibomba vya kuoshea tgo bafuni?
 
Back
Top Bottom