mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji vifaa vya mazoezi vya mtumba (Dumbbells)

    Wakuu habari. Nipo jijini Dar nilikuwa nahitaji dumb bells used au za mtumba au hata zile wanazotengeneza mtaani. Mpaka nakuja kuuliza humu ina maana sina pa kuanzia na naamini ntapata msaada humu. Uchumi kidogo umebana siwezi kununua vipya kwahiyo yoyote anaeweza nisaidie chimbo la dumb...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya kegel yamenisaidia sana.

    Habari zenu. Kuna vitu vya msingi vya kufanya hapa dunia sio kila mda mnaongelea mpir,mpira tu, Nawapa ushuhuda wangu mwanzoni nilikuwa na chukua dakika 6 kupiga bao la 1 ila baada ya kutazama video mbalimbali za kegel,na kufanya mazoezi hayo kweli nimekuwa fit sana,goli la 1 napiga dakika...
  3. JamiiForums Tanzania Tsunami: Yalikuwa mazoezi ya nchi 25, lakini je tumefanya sahihi?

    Nimesoma taarifa ya UNESCO inayoeleza kuhusu mazoezi ya Tsunami kwa nchi zilizo katika mwambao wa Bahari ya Hindi. Mazoezi haya yalitaka kupima uwezo wa nchi katika kuhakikisha jamii inakuwa tayari na kuangalia uwezo wa mawasiliano. soma taarifa hiyo hapa Indian Ocean Countries Get Ready for...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Polisi Moro na mazoezi ya kufa mtu, ni yale Maandamano yetu?

    Polisi Moro wakiwa na vifaa vyao timamu, yakiwamo yale magari pendwa yenye uwezo kamili wa kuzima moto bali yakitumika kama washawasha wamefanya mazoezi ya kufa mtu Moro: https://m.youtube.com/watch?v=kKIzxrOI-V4 Ni wazi kuwa isingalikuwa taabu kuudhibiti moto ule na mapema asubuhi Kariakoo...
  5. JamiiForums Tanzania Zambia: Edgar Lungu apigwa marufuku kufanya mazoezi hadharani akidaiwa kuendesha Kampeni

    Jeshi la Polisi limemuonya Edgar Lungu kutokana na utaratibu wake wa kufanya matamasha ya Mazoezi hadharani huku likieleza kuwa Kiongozi huyo amekuwa akitumia matamasha hayo kuendesha ajenda za Kisiasa. Taarifa ya Polisi imesema Lungu amekuwa akiambatana na wajumbe wa Chama chake cha Patriotic...
  6. JamiiForums Tanzania Wananchi wanaotaka kuanza mazoezi wajue kupunguza mwili na kuondoa kitambi/tumbo ni vitu viwili tofauti. Six packs ni kwa wito maalum.

    Wakuu kwa mara nyingine nipo hapa kwenye jukwaa la michezo kushea mawili matatu kuhusu mambo ya michezo na mazoezi. Kuna mwamko mkubwa sana wa wananchi kupenda michezo na kujihusisha na matukio yote ya kuweka mwili fit. Ni jambo la kujipongeza kwa kweli. Vikundi vya jogging vinazidi kuongezeka...
  7. JamiiForums Tanzania Mnaofanya mazoezi ya kukimbia kuna mambo mnadanganya

    Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia. Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost...
  8. JamiiForums Tanzania Jadon Sancho amezuiwa kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha Man United

    Imebainishwa kuwa winga huyo amepewa zuio la kufanya mazoezi na wachezaji wenzake wa kikosi cha kwanza cha Manchester United hadi atakapomuomba radhi kocha wake, Erik ten Hag. Ametakiwa kufanya mazoezi na wachezaji wa kikosi cha vijana cha timu hiyo kwenye Uwanja wa Carrington. Sancho...
  9. JamiiForums Tanzania Rasmi: Uasi wa Progozhin ilikuwa kama mazoezi ya zimamoto

    Kwa mara ya kwanza viongozi wa Urusi wamethibitisha kuwa lile tukio lililopata kuripotiwa sana duniani ilikuwa ni kama yale mazoezi ya kuzima moto nchini ambapo wakati mwengine ndege huripotiwa kuanguka na kuleta taharuki kubwa kwa wananchi. Hilo limetolewa ufafanuzi na mnadhimu wa masuala ya...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanza: Ajali iliyoua watu 6 wakifanya mazoezi, dereva afikishwa mahakamani, asomewa makosa 15

    Dereva ambaye anatajwa kuhusika katika ajali ya gari iliyopoteza maisha ya watu 6 waliokuwa wakifanya mazoezi pembezoni mwa Barabara ya Sabasaba – Kiseke amepandishwa Mahakamani na kusomewa shtaka moja lenye makosa 15, leo Agosti mosi, 2023. Mtuhumiwa ni Osward Kaijage Binamungu aliyekuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Mipango miji: Sehemu za wazi kufanyia mazoezi hasa calisthenics zipo wapi?

    Habari wana JF Juzijuzi tu tumesikia taarifa mbaya ya watu kugongwa na gari wakiw wanafanya mazoezi barabarani. Maoni ya wadau yakawa mengi mbalimbali. Mi nina swali kwa wapangao miji. Kutokana na ongezeko la urahisi wa kazi maofisini. Watu wengi zaidi wanaingia kwenye kutakiwa kufanya...
  12. JamiiForums Tanzania Mazoezi ya kuruka kamba ndiyo mazoezi bora kuliko yote

    Mazoezi bora yanatakiwa kuwa na sifa nyingi. Sifa moja kuu ni yachome nguvu za kutosha. Chakula tunachokula kinaenda kuupa nguvu mwili wetu. Kama tunakula zaidi ya mahitaji ya miili yetu, chakula hicho kinaenda kuhifadhiwa kama "Kitambi." Basi mazoezi bora yanatakiwa kuchoma kitambi cha...
  13. JamiiForums Tanzania Siku niliyotaka kuitiwa mwizi wakati nafanya mazoezi

    Ni miaka mingi iliyopita wakati nachukua kozi ya unesi chuo cha Muhimbili. Hosteli zipo karibu na taasisi ya MoI. Sasa nyuma ya Hosteli kuna barabara ambayo nilikuwa naenda kukimbia muda wa jioni saa moja hivi. Na huko nyuma kuna sehemu watu wa MoI huweka mazaga yao kama vitanda vibovu nk...
  14. JamiiForums Tanzania KWELI Kukimbia au kufanya Mazoezi katika Barabara zinazotumiwa na Vyombo vya Moto ni hatari kwa Afya

    Licha ya kuwa Mazoezi husaidia kujenga na kulinda Afya, kuna masuala muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza mazoezi ikiwemo kuchagua eneo la kufanyia mazoezi ambalo litakuwa salama kimiundombinu na kimazingira. Katika siku za hivi karibuni watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Kufanya mazoezi barabarani hapa Tanzania ni a suicide move.

    Tukumbushane wakuu, kufanya mazoezi ya jogging barabarani hapa Tanzania ni kujitoa mhanga na kusema uko tayari kufa. Watu kila siku wanakufa kwa kugongwa na magari kwa kufanya mazoezi barabarani lakini watu hawasikii. Mwanza watu 6 wamefariki kwa kugongwa na gari barabarani wakifanya mazoezi.
  16. JamiiForums Tanzania Mwanza: Watu 6 wafariki kwa kugongwa na gari wakifanya mazoezi

    Watu 6 wamefariki dunia na wengine 14 kujeruhiwa katika ajali iliyohusisha gari binafsi, ambalo limewagonga wananchi waliokuwa wakifanya mazoezi kandokando ya barabara eneo la Sabasaba Ilemela Mwanza leo Julai 22, 2023 majira ya asubuhi. ===== Taarifa za awali ni kwamba Watu 6 wamefariki...
  17. JamiiForums Tanzania Kama katika Mazoezi ya Kawaida Ndege za Jeshi zinaanguka hivi Ziwani je, zikiwa Vitani si zitaanguka zote na Tanzania Kushambuliwa vilivyo na Adui?

    NDEGE ya Jeshi imeanguka Ziwa Victoria mapema leo Julai 20,2023 karibu na Uwanja wa Ndege wa Bukoba.  Akizungumzia tukio hilo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, Blasia Chatanda amesema ndege hiyo ya jeshi yenye namba JW 9127, imeanguka wakati marubani wake wawili walipokuwa kwenye mazoezi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Uzi Maalumu kwa watu wanaopenda mazoezi

    Habari zenu, Tumekuwa tukijadiliana sana kuhusu mchezo wa mpira na tumesahau kuwa binadamu ili uwe na afya njema yakupasa kufanya mazoezi kila siku bila kuchoka. Sasa nimeona nilete huu uzi kwa ajili ya watu wapenda mazoezi wote. Hii kwetu sisi watanzania sio kawaida na ni kama tunadharau hili...
  19. JamiiForums Tanzania Tunaofanya Mazoezi tukutane hapa

    Mimi sipendi mazoezi ila nimefikia Ile steji ya no way out. Chakula kama chakula kufanya diet au kula michemsho siwezi wenzangu. Maana kunywa sinywi, club sipendi, starehe yangu ni masotojo tu. Sasa mwili unapoelekea Kwa kweli sio pazuri. Hii ni wiki ya tatu mfululizo ila napiga ya nyumbani...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba kujua App nzuri ya Mazoezi

    Wakuu, mwenzenu napenda sana kufanya mazoezi ya viungo hasa nikiwa home. Huwa nafanya mpka naishiwa style za mazoezi. Naomba kujua App nzuri ambayo ninaweza kuipata playstore niwe nabeba madini huko. Ikiwa ya bure itapendeza zaidi maana kodi zimetukodesha. Yanga Bingwa CAFCCC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…