Naomba kujua App nzuri ya Mazoezi

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
3,882
4,511
Wakuu, mwenzenu napenda sana kufanya mazoezi ya viungo hasa nikiwa home.

Huwa nafanya mpka naishiwa style za mazoezi. Naomba kujua App nzuri ambayo ninaweza kuipata playstore niwe nabeba madini huko. Ikiwa ya bure itapendeza zaidi maana kodi zimetukodesha.

Yanga Bingwa CAFCCC
 
Samsung health
Screenshot_20230521-085446_S%20Health.jpg
 
Back
Top Bottom