Jadon Sancho amezuiwa kufanya mazoezi na kikosi cha kwanza cha Man United

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Imebainishwa kuwa winga huyo amepewa zuio la kufanya mazoezi na wachezaji wenzake wa kikosi cha kwanza cha Manchester United hadi atakapomuomba radhi kocha wake, Erik ten Hag.

Ametakiwa kufanya mazoezi na wachezaji wa kikosi cha vijana cha timu hiyo kwenye Uwanja wa Carrington.

Sancho alimkosoa Ten Hag na kumtaja kuwa ni muongo baada ya kocha kusema kuwa hakumpanga Sancho katika mchezo dhidi ya Arsenal kwa kuwa hakuonesha kiwango kizuri mazoezini.

============== ===========

Jadon Sancho was banished from first team training at Man United after he refused to apologise to Erik ten Hag over their public falling-out, with the Red Devils boss still FURIOUS at the winger's social media post

Jadon Sancho has been banished from first-team training at Manchester United until he apologises to furious manager Erik ten Hag.

Sancho has refused to back down in their row and is being forced to train on his own at the youth academy at Carrington so he has no interaction with his teammates.

United made the announcement on Thursday as efforts continued to heal the rift between the 23-year-old player and Ten Hag.

A statement read: ‘Jadon Sancho will remain on a personal training programme away from the first-team group pending resolution of a squad discipline issue.’

Ten Hag is still angry over Sancho’s social media post that effectively branded him a liar for saying the player was left out of the squad to face Arsenal because he had not trained well. The England winger further inflamed the situation by claiming to have been made a scapegoat.

The post was removed following talks with Ten Hag on Monday but Sancho has so far refused to say sorry.

United’s football director John Murtough and chief executive Richard Arnold have been trying to broker a peace deal, although it’s understood that the club have given Ten Hag total support and are not pressuring him to back down. The manager is said to feel wronged and decided to take a tough stance by axing Sancho from training.

This is the second time that Sancho has been made to train on his own by Ten Hag after he worked alone for eight weeks over the World Cup last winter to try and overcome physical and mental issues.

Source: Dailymail
 
Kocha wa Man U ni mpumbavu sana. Hajui nini cha kuongea mbele ya media, na kipi cha kuongea na wachezaji nyuma ya pazia.

Kocha gani unamkandia mchezaji wako, mbele ya media. Aligombana na Ronaldo na sasa Sancho.

Ten hug sio kocha yule, lile ni jasusi la kiholanzi.
 
Ukiona mchezaji amesha anza kubishana na kocha ujue mpira ulisha ondoka.
Sancho amepoteza makali ya kuchezea Man u kabla Ten Hag ajafika.
Wamuuze haraka au wamtoe kwa mkopo ili asilete madhara zaidi.
 
Ukiona mchezaji amesha anza kubishana na kocha ujue mpira ulisha ondoka.
Sancho amepoteza makali ya kuchezea Man u kabla Ten Hag ajafika.
Wamuuze haraka au wamtoe kwa mkopo ili asilete madhara zaidi.

Ten hag kila siku anakuja na propaganda badala aoneshe uwezo wake wa ukocha, timu kama gari la mkaa kabla huyo Sancho hajaja United Ten Hag amefanya nini?
 
Ten hag kila siku anakuja na propaganda badala aoneshe uwezo wake wa ukocha, timu kama gari la mkaa kabla huyo Sancho hajaja United Ten Hag amefanya nini?
Ten Hag hana shida yoyote, Man utd management ndio mbovu. Hakuna viongozi wa soka, mambo yanafanyika kienyeji.timu inakaa na inasajili kundi la wachezaji wengi wasio na tija.
Kama utd haita uzwa kwa mwekezaji mpya basi hakuna mapya.
 
Ten Hag hana shida yoyote, Man utd management ndio mbovu. Hakuna viongozi wa soka, mambo yanafanyika kienyeji.timu inakaa na inasajili kundi la wachezaji wengi wasio na tija.
Kama utd haita uzwa kwa mwekezaji mpya basi hakuna mapya.

Sasa ten hag kama yeye jasiri wa kukosoa wachezaji kila siku anaoletewa wabovu kwanini asiwape makavu mabosi zake, mnafiki tu na yeye
 
Hii timu ndio walikuwa wanataka de jong aje duh bora alikataa tu angekuja kuvurugikiwa ratiba tu
 
Kwa kikosi hiki kilichopo tutaona mengi sana
Screenshot_20230915_200741_All%20Football.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom