mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Afrika Yote

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya FAMM (AMTL) Co. & Extreme Workout Boot Camp

    Mimi sina ya kuongeza sana hapa ili hii inaonekana inafaa sana. Nakuwekea video hii usikilize mwalimu huyu wa mazoezi akiongea kuhusu mazoezi anayoyafundisha. Huu mtiti unaonekana sio mdogo. Wanapatikana Maga Beach & Mwalimu anaitwa Shija. Angalia kuanza dakika ya 14 hadi ya 24
  2. Influenza

    JamiiForums Tanzania Klabu za Ligi Kuu England kuanza mazoezi yatakayojumuisha Wachezaji kugusana

    Klabu za Ligi hiyo zimepiga kura kwa siri kukubali timu kufanya mazoezi yatakayojumuisha wachezaji kugusana ikiwa ni hatua nyingine ya kukaribia kuendelea na Ligi hiyo. Wachezaji walirejea mazoezini wiki iliyopita lakini mazoezi hayo yamekuwa yakijumuisha vikundi vidogo vya wachezaji na bila...
  3. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mo Simba Arena ikiwa tayari kwa mazoezi

    This is next level
  4. J

    JamiiForums Tanzania Coronavirus: Fahamu kiundani kuhusu Virusi hivi | Usambaaji, Dalili na Kinga

    Kirusi cha korona (Corona virus), ni kimelea chenye gamba na kutunza vinasaba vyake katika malighafi za RNA. Corona virus ni kisababishi cha magonjwa mbalimbali na vimelea hivyo vina makabila mbalimbali. Fahamu kinachojiri kuhusiana na kirusi cha Corona (Coronavirus) - JamiiForums COVID-19-...
  5. CCM Music

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua kufanya mazoezi ni kujifukiza?!

    Simple logic! Yaani kitendo cha kufanya mazoezi na kutoa jasho ni kujifukiza. Msio complicate sana. Ishu kubwa ni 'mvuke' ili 'utoe jasho la kutosha'. Kimbia utoe jasho, hapo unajifukiza. Rusharusha miguu weeeeeee ili utoe jasho la kutosha'. Unajifukiza. Piga miti wewe kwa pump paap! paaap...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Shirika la Afya Duniani lawaasa Wananchi kuzingatia mlo kamili na mazoezi kwa watu wazima kipindi hiki cha Corona

    Mkurugenzi wa Shirika la Afya Dunia (WHO) Tedros Ghebreyesus ametaja vitu vitano ili kukabiliana na janga hatari la ugonjwa wa Covid-19. Tedros alisema janga hili la Corona limeichanganya dunia na kufanya maisha ya kila mtu kubadilika na kwamba ili kukabiliana na tatizo hilo ni lazima kuwa...
  7. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Rais Yoweri Kaguta Museveni anatufundisha mazoezi ya viungo ya ndani

    Museven anatushauri tufanye mazoezi ya viungo ndani ya nyumba au nyumbani katika kipindi hiki cha ombwe la corona
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Buyern waanza mazoezi

    Club ya Beyern Munich ya Ujerumani imeanza mazoezi yake kule Ujerumani baada ya kukaa mwezi mzima hii inaleta matumain kwamba ligi zinaweza kuanza kulejea mwishoni mwa mezi huu.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya Ndani: Zoezi la kuruka kamba

    Tangu nilipogundua umuhimu wa mazoezi kwenye mwendo wa kawaida wa maisha, nimejaribu hili na lile, kuona linalonifaa zaidi. Katika jaribujaribu mara kwa mara nimeongeza vikolezo mbalimbali kwenye mazoezi yangu na kuyaboresha kidogo. Nimeongeza vikolezo hivyo kwa malengo ambayo binafsi nayaona...
  10. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Shuhuda za waliofanikiwa kupunguza uzito kwa mazoezi na lishe

    Habarini waungwana katika jukwaa hili tukufu la utanashati na ulimbwende, miaka ya hivi karibuni kumekuwa na mlolongo wa tiba lishe, madawa, na mbinu nyinginezo za kupunguza uzito wa mwili, jambo ambalo bado halijaleta ufanisi kinyume na matarajio. Hivyo kwa uzi huu naomba tupate mbinu, njia...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tukumbuke kufanya mazoezi kuimarisha miwili yetu, Hii ni kwa faida yetu sisi wenyewe

    Leo nikiwa kanisani nilikaa na bibi mmoja, mrembo ametengeneza nywele vizuri, kucha zina rangi na rangi ya mdomo. Bibi huyu alikuwa na fimbo ya kukunja kama kiti aliyokuwa anatembelea. Kuna wakati alihitaji msaada kidogo lakini alipochoka alikunjua kiti cha fimbo na kukaa. Alivutiwa na moyo...
  12. GAZETI

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum: Wapenda mazoezi ya viungo tukutane hapa kwa maoni, ushauri, aina za mazoezi, faida zake n.k

    Wakuu binafsi nafanya mazoezi mengi sana, lakini sijui faida zake nafanya tu kwa kuwa mwili unachangamka na muda mwingi nakuwa mtu mwenye furaha tofauti na kipindi ninachoacha mazoezi. Faida nyingine ninayoiona ni kumbukumbu, kipindi ninachofanya mazoezi ninakuwa na uwezo mzuri sana wa kuhifadhi...
  13. FRANC THE GREAT

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa mazoezi kwa watoto huathiri afya zao hivyo kuwafanya wawe dhaifu ukubwani

    Habari! Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa, watoto wanne kati ya watano wenye umri wa miaka 11-17 duniani hawafanyi mazoezi ya viungo ya kutosha. Shirika la afya duniani (WHO) limesema kuwa afya za watoto zinaharibiwa kutokana na ukosefu wa mazoezi hivyo kuathiri ukuaji wa ubongo na shughuli zao...
Back
Top Bottom