Urusi na Belarus zinaanza siku 10 za mazoezi ya pamoja ya kijeshi huku kukiwa na hofu inayoendelea ya uvamizi wa Urusi nchini Ukraine.
Belarus ni mshirika wa karibu wa Urusi na ina mpaka mrefu wa kusini na Ukraine.
Marekani imetaja mazoezi hayo - ambayo yanaaminika kuwa ndiyo makubwa zaidi ya...
Asilimia 65 wanawake wanapenda wanaume wenye kufanya Mazoezi ya mwili, Hizi ni takwimu za mwaka 2021 kutoka chuo cha Mazoezi ya mwili kinachoitwa Brown fitness center kilichopo nchi Marekani.
Chanzo: marathonioverstz
Kwa hili Kudadadeki tutaanza Kupigana Vikumbo sana huko Gym na katika Fukwe...
Habarini wanajamvi. Natumaini mko salama na mnaendelea vizuri na pilikapilika za kutafuta riziki.
Mimi ni kijana wa kiume, naishi Dar es Salaam.
Mimi ni mdau wa muziki na mtunzi wa nyimbo ingawa napata changamoto ya kupata waimbaji.
Ninatamani nijifunze kuimba pia, hivyo basi, kama kuna mdau...
Rafiki yangu mpendwa,
Vipi kama leo nitakuambia kuna mambo mawili unayoweza kufanya kila siku na ukaongezea miaka 20 kwenye maisha yako?
Yaani kama ilikuwa uishi miaka 60, basi kwa kufanya kitu hicho utaweza kuishi miaka 80. Na kama ilikuwa uishi miaka 80 basi utaishi miaka zaidi ya 100.
Na...
Mazoezi ya kegel yamefanywa lakini bado kitu ni kipana tu. Jogging imedunda pia.
Hivi hakunaga surgery ya kupunguza upana wa hii kitu?
N.B. Wale maisha choka mnaomiliki simu za Tecno na vigari mitumba vya mikopo hamjawahi hata kuweka dental braces kaeni pembeni ktk hili.
Hapa naongea na mboga...
Jamani kila siku tunawaomba hayo mazoezi nendeni hata gymkhana au zungusheni fensi ya mabati kule Bunju hamtaki eti nyie viongozi ni wazungu
Utopolo mwaka huu wamesema liwalo na liwe lazima wachukue ubingwa na mimi naanza amini maneno yao kama huu uzungu feki hautakomeshwa itakuwa too late...
Kwamba anayekimbia atakachokiingiza zaidi tu Mwilini mwake ni Pumzi ila Mtembea kwa Miguu Yeye anaingiza Pumzi ya Wastani ila anaimarisha Mwili mzima pamoja na Viungo vyake vyote na Kujengeka Kiafya mpaka na Kimwonekano.
Tafadhali wale Wakimbiaji na Watembea kwa Miguu bila kuwasahau na wale...
Jeshi la Polisi Kanda Maalum Dar es Salaam kupitia kwa Kamanda wake, ACP Jumanne Murilo limekiri kuwashikilia wanachama wa BAWACHA waliokuwa wanafanya mazoezi ya viungo(jogging) na mwanahabari Harlod Shemsanga wa MGAWE TV. "Walikuwa na viashiria venye kupelekea uvunjifu wa amani"
"Nimepokea...
My Take:
Hii nchi inaendelea kuwa na mambo ya kishenzi mpaka inatia hasira.
Nyie endeleeni kuwapush wananchi to the limit.
Mwana kulitafuta mwana kulipata
Ni matumaini yangu kuwa wote ni wazima wa afya. Leo napenda kuzungumzia juu ya afya, na katika afya nitajikita kwenye eneo la kufanya mazoezi ya mwili. Nimechagua eneo hili, kwani kuna vitu vingi binadamu anatakiwa kuvifanya karibia kila siku au mara moja moja ili kuimarisha afya yake. Kwa...
Ufanyaji wa mazoezi kila siku unapunguza hatari ya kupata virusi vya COVID-19 au kupata homa kali ya mapafu.
Mazoezi yanaimarisha kinga mwili na kuondoa sumu ambazo zinausaidia mwili kupambana vyema na maradhi nyemelezi. Mtu anayefanya mazoezi akipata virusi vya COVID-19 mwili wake unachelewa...
Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam mh Amos Makalla amesema yeye binafsi hajawahi kuumwa ugonjwa wa maleria au maradhi nyemelezi kwa sababu anafanya mazoezi kila siku.
Makalla amesema ili kupambana na Corona ni vema tukachukua tahadhari zote ikiwemo kula vizuri na kuchanja.
Source: ITV habari
Ulemavu wa akili: Ni ile hali ya mtu kushindwa kutumia viungo vyake sawasawa na kushindwa kutumia akili yake sawasawa kutokana na athari ya ubongo wake.Sababu za ulemavu zinaweza kutokea katika nyakati kuu tatu ambazo ni.
(a)Kabla ya Kuzaliwa.
(b) Wakati wa kuzaliwa.
(c) Baada ya kuzaliwa.
(A)...
Mazoezi pia ni fursa nzuri ya kujikinga na Corona,
Kwa umoja wetu kuanzia MTAA Tanzania nzima tuhamashishane Sasa kufanya mazoezi ya kutembea angalau km1- 3 kila jmosi ya wiki, itapendeza Sana tukianza jmosi ya week ijayo.
Mazoezi ya kutembea ni mepesi mno hata mzee anaweza kufanya.
Kwa...
Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania, tarehe 27 na 28 Julai, ambapo alikutana na maafisa waandamizi wa jeshi na kufungua mazoezi ya kwanza ya pamoja ya kijeshi ya nchi hizi mbili toka mwaka 2017...
Wanajeshi kutokea mataifa kadhaa (USA, India, UK n.k.) kuhusika kwenye haya mazoezi ya pamoja.....mwendo wa kutunisha misuli kuonyesha ubabe au kwa kifupi nani baba lao.....jifanye kama unajikuna tuone.
Brahmos cruise missile
INS Talwar ship lands at the coast in Mombasa on Tuesday, July 27...
Maisha baada ya kuachana yanategemeana na mtazamo wako wewe. Kama ukiutumia muda huo kujijenga kama kujifunza lugha mpya, kwenda kutalii (kama una akiba) kuanzisha ratiba ya mazoezi, kujiendeleza kielimu na vingine vingi kama kuongeza bidii kwenye utafutaji wa pesa, utayafurahia sana maisha...
Mazoezi ya lisaa limoja kwa siku yanatosha kukufanya upate mwili unaopendeza. Mwili unaokubali kila nguo. Mazoezi yanasaidia kukuepusha na magonjwa mengi ya muda mrefu, mfano kisukari, magonjwa ya moyo, stroke, na matatizo ya miguu.
Inapendeza ukiwa na miaka 70+au 80+ bado unaweza kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.