Meli ya kisasa ya kivita iliyotengenezewa Urusi yatia nanga Kenya kwa mazoezi ya pamoja na KDF....sema nyoko uone

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,745
48,376
Wanajeshi kutokea mataifa kadhaa (USA, India, UK n.k.) kuhusika kwenye haya mazoezi ya pamoja.....mwendo wa kutunisha misuli kuonyesha ubabe au kwa kifupi nani baba lao.....jifanye kama unajikuna tuone.

Brahmos cruise missile

Brahmos cruise missile

INS Talwar ship lands at the coast in Mombasa on Tuesday, July 27

INS Talwar ship lands at the coast in Mombasa on Tuesday, July 27
TWITTER

INS Talwar, classified as one of the most advanced Russian-built warships, landed in Mombasa in order to conduct maritime security exercises alongside the Kenya Defence Forces (KDF).

The security exercises are aimed at assessing and improving the region's maritime security operations as well as increase interoperability among the navies within the East African region.

It is slated to conclude on Friday, August 6.
The exercise will involve participation from the USA, UK, India and international organisations such as Interpol, International Maritime Organisation (IMO), United Nations Office on Drugs and Crime (UNODC), European Union Naval Force (EUNAVFOR), and EUCAP Somalia.

During its stay, the ship will serve as host to a number of events to build stronger bridges of friendships with Kenya and the international community.

Features
The high-tech warship was originally built for the Russian army but the Talwar vessel was among the class III frigates commissioned to the Indian Navy after the Indian government inked a Ksh250 billion deal with Russia.

It incorporates stealth technologies whereby the topside and hull sections are designed to reduce detection from other ships in its radar.

The ship is also fitted with BrahMos Cruise Missiles- regarded as the fastest supersonic missile in the world. The missiles use active radar guidance with a maximum range of 220 kilometers.

The ship is also fitted with a medium-range surface-to-air missile system which is ideal to counter threats on land.

The system has a total of 24 missiles accommodated in a magazine located below deck. These types of missiles have a range of 45 kilometers and use inertial guidance and semi-active radar guidance.

  • The vessel’s main gun is a forward-fitted AK-190. Its design incorporates stealth technology to reduce the radar signature of the ship. The gun has a firing rate of 60 rounds a minute and can engage targets within a range of 15.2 kilometers.
    The Talwar vessel also has a close-in weapon system. This includes two close-range guns and surface-to-air missile clusters.
    It is also fitted with a control system that involves full-color operator workstations and three central servers. The system manages and controls all weapons on board, develops combat missions depending on the situation.
    Other systems incorporated in the vessel include countermeasure systems and Anti-submarine warfare technologies.

    FILE
 
mkienda kupigana na Ethiopia mnapigwa

Sisi hatuingii kwenye vita vya kijinga kama mlivyofanya Uganda miaka ile mpaka leo hamjapata nafuu kutokana na umaskini uliowakumba.
Ethiopia tunaishi nao poa maana soko lao tunalihitaji kwa sana tu, idadi yao ni zaidi ya watu milioni mia, tayari wameruhusu makampuni yetu yameingiza vichwa humo halafu bandari ya Lamu inazidi kujongea.
Makampuni yetu yametanua hadi DRC na kote, na hata hiyo Bongo ndio kabisa yaani...kwa kifupi ukanda huu wote tunazidi kuutia kwapani.
 
Sisi hatuingii kwenye vita vya kijinga kama mlivyofanya Uganda miaka ile mpaka leo hamjapata nafuu kutokana na umaskini uliowakumba. E
thiopia tunaishi nao poa maana soko lao tunalihitaji kwa sana tu, idadi yao ni zaidi ya watu milioni mia, tayari wameruhusu makampuni yetu yameingiza vichwa humo halafu bandari ya Lamu inazidi kujongea.
kuna siku utakuja kufahamu kuwa, ni watanzania wachache sana huwa wanapoteza muda wao kubishana na mkenya, kwasababu tulishawadharau. siku zote mtz kwa asili huwa anajiamini yeye ni bora kuliko mkenya, na huo ndio ukweli. mnachotuzidi ninyi ni kiingereza tu, vitu vingine vyote hamtutishi.

well, i hope hayo mazoezi yatawasaidia wanajeshi wenu ili wasiendelee kuliwa kiboga na al shabab. manake hakuna wanajeshi walioshindwa vita na al shabab kama wakenya.
 
Hehehe!! Mishipa imekutoka hadi kichwani ila ndio ukweli wenyewe, sisi ndio baba lao ukanda huu, nyie mlishaangukia pua, hamna ushawishi wowote kidiplomasia, kainchi ketu kadogo kamewazidi kiuchumi mara mbili, tunawazidi kijeshi, kielimu na kila kitu.
Leo mtatokwa povu kama zote, mjikusanye na kutoa andiko moja ili nwape jibu la ukweli wenu, sio kila mtu anaparamia ili aonekane na yeye yumo.
 
kitu gani ambacho mimi naweza kujifunza toka kwa mkenya?

Mengi tu, uliza Watz ambao wamesomea Kenya na kurudi Tanzania wanavyosakwa kwenye soko la ajira, hebu check hili bango hapa

ajira.jpg
 
ndio maana nimesema mnachotuzidi ni kiingereza tu, tena chenye lafudhi ya kenya, vingine vyote mataputapu. au hukunielewa?

Hampo kwenye vyuo 20 bora Afrika wakati sisi kainchi kadogo tupo
Hampo kwenye chumi 10 bora Afrika wakati sisi kainchi kadogo tupo

Hampo kwenye chochote zaidi ya ushirikina, hapo niliona mpo kwenye ndani ya mataifa kumi yanayoongoza kwenye ushirikina....hehehe
Na ndio maana mumejaza mabango ya kutangaza mambo yenu huku

20160428_090134.jpg
 
View attachment 1871551
na wakenya walivyo mbumbumbu wanaenda. sasa elimu yenu mnayoringia imewasaidiai nini kama mnadanganyika hata na hao kina mwanawasha tu hahahaha
 
Jiwe gizani wa kwanza kung'aka.....na mtakoma.
Halafu nini Bongo mbona mnatiwa viberiti na mademu wenu, shughuli za vitandani zimewashinda wanaume wa Dar.
Hahaha eti kuna mtu ametiwa kiberiti na demu wake?
 
kuna siku utakuja kufahamu kuwa, ni watanzania wachache sana huwa wanapoteza muda wao kubishana na mkenya, kwasababu tulishawadharau. siku zote mtz kwa asili huwa anajiamini yeye ni bora kuliko mkenya, na huo ndio ukweli. mnachotuzidi ninyi ni kiingereza tu, vitu vingine vyote hamtutishi.

well, i hope hayo mazoezi yatawasaidia wanajeshi wenu ili wasiendelee kuliwa kiboga na al shabab. manake hakuna wanajeshi walioshindwa vita na al shabab kama wakenya.
Hahaha asante kwa kukubali kwamba tumewashinda kwa kiingereza.
 
Ingia kwenye Youtube, mademu wa Kibongo sijui wameingiwa na pepo gani, ni mwendo wa petroli na kiberiti.....
Una generalize issue ya mtu mmoja papaa, punguza pressure,breath deeply and then relax
 
Back
Top Bottom