Tusiofanya mazoezi kabisa na kubobea tu kwa 'Kitu cha Mkongo' na 'Mundende' nadhani Taarifa hii itakuwa na Maumivu Kwetu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,542
108,877
Asilimia 65 wanawake wanapenda wanaume wenye kufanya Mazoezi ya mwili, Hizi ni takwimu za mwaka 2021 kutoka chuo cha Mazoezi ya mwili kinachoitwa Brown fitness center kilichopo nchi Marekani.

Chanzo: marathonioverstz

Kwa hili Kudadadeki tutaanza Kupigana Vikumbo sana huko Gym na katika Fukwe za Dar es Salaam.

Na leo nimejua kwanini Mtangazaji Mmoja maarufu mno nchini wa Michezo Tanzania ( Kidoti Boy ) anasafiri sana Marekani na Kupendwa na Wazungu ( hasa Wazee ) na humlipa Pesa ( Madola ) mengi kwa 'Kuwashughulikia' ipasavyo.

Akirejea Tanzania Yeye 24/7 ni Kukimbia tu Coco Beach hadi mitaa yake ya Slip Way Masaki ili kujiweka Fiti kwa Wazungu wake wa Marekani wakati Wabobezi wa Kitu cha Mkongo' tunabaki hapa hapa tu Bongo na Mademu Wetu ambao huwa tunawakomoa na Wao pia wanatukomoa kwa Kutupa ( Kutuambukiza ) Migono na Mikaswende yao mpaka wengine sasa Dawa zote za Magonjwa ya Zinaa kama Cipro, Amplicloxy na Metronidazole tumeshazikariri zote Vichwani mwetu na tukienda tu Pharmacy Dawa zenyewe zinaanza kuchezacheza Kabatini kuashiria kwamba zimejua kuwa tumezifuata tuzitumie kwa Ubishi wetu wa Kutokuvaa Kofia za WHO ( Condoms ) na Kupenda kwenda Peku Peku ( Dry Chama ) pindi tuonapo Mbunye zimenona na Kulainika tayari.
 
Rudi darasani. Hujui kuandika Kiswahili, achilia mbali huna la maana unaloandika. Sentensi moja ndefu kama paragraph unamwaga upupu wako wote utadhani umeishiwa na karatasi.
 
2016 niliambukizwa kisonono, maamaeee niliuona moto
2016 bado kisonono kilikuwepo nchini na elimu yote hii ya ukimwi inayotolewa bure? You are not serious. Kisonono ilikua kabla ya ukimwi.
Ina maana wewe hapo ulipo unaweza kua na vidudu vinavyo nyevua nyevua kwenye damu yako. Nakushauri uanze ARV. Siku ukipata mkanda wa jeshi andika wosia.
 
Hiki kitu Cha mkongo Ni kweli Kiko effective? Au Ni maneno ya madereva wa madaladala?
Mwambie Dada yako akakutane na Dereva Mmoja wa Bajaji / Bodaboda pale Juliana ( ambao ndiyo watumiaji Wakubwa ) kisha mrejesho wake utaupata kutoka kwa Dada yako kwa jinsi ambavyo huenda hata Kukaa tu vizuri katika Kiti au Kochi atashindwa labda mpaka baada ya Siku Saba ( 7 ) hivi.
 
Rudi darasani. Hujui kuandika Kiswahili, achilia mbali huna la maana unaloandika. Sentensi moja ndefu kama paragraph unamwaga upupu wako wote utadhani umeishiwa na karatasi.
Umemaliza au bado? Kama bado nakupa nafasi nyingine ya Kunishambulia hapa Mkuu kwani GENTAMYCINE ni Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer hivyo 'Wapumbavu Waandamizi' kama Wewe na hawa akina Flano na Perfectz ni lazima mtakereka na Kuchukizwa nami.
 
2016 bado kisonono kilikuwepo nchini na elimu yote hii ya ukimwi inayotolewa bure? You are not serious. Kisonono ilikua kabla ya ukimwi.
Ina maana wewe hapo ulipo unaweza kua na vidudu vinavyo nyevua nyevua kwenye damu yako. Nakushauri uanze ARV. Siku ukipata mkanda wa jeshi andika wosia.
Mkuu, siyo kila mwenye hizo STIs/STDs lazima awe na HIV/AIDS.

Elimu ya ukimwi hujaipata vizuri, ili ujue una HIV/AIDS lazima upime siyo kuugua kisonono uanze ARVs.
 
Kumbe Kidoti Boy ni Mzee wa mimama??duuuh..!!

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Ila nae pia ni Mdau vile vile wa Kitu cha Mkongo ambacho hupenda sana kuiweka ndani ya Gari lake na mpaka uwe Mtundu Kuiona.

Ana Demu wake Mmoja yuko Mikocheni ndiyo hunimegea Mambo yake mengi yaliyojificha pamoja na lile Moja Kubwa ambayo hata Watoto wa pale Uwanja wa Uhuru jirani na Baa ya Kwa Chichi alipozaliwa na Kukulia pia wanaijua.
 
Hicho chuo unachokiita cha Mazoezi unatarajia kitakupea tafiti gani tofauti na hii porojo.!
 
Back
Top Bottom