mazoezi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Strictly Syrup

    JamiiForums Tanzania Maisha mapya baada ya kuvunjika kwa mahusiano

    Maisha baada ya kuachana yanategemeana na mtazamo wako wewe. Kama ukiutumia muda huo kujijenga kama kujifunza lugha mpya, kwenda kutalii (kama una akiba) kuanzisha ratiba ya mazoezi, kujiendeleza kielimu na vingine vingi kama kuongeza bidii kwenye utafutaji wa pesa, utayafurahia sana maisha...
  2. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ni siri kubwa ya urembo na tambo zuri

    Mazoezi ya lisaa limoja kwa siku yanatosha kukufanya upate mwili unaopendeza. Mwili unaokubali kila nguo. Mazoezi yanasaidia kukuepusha na magonjwa mengi ya muda mrefu, mfano kisukari, magonjwa ya moyo, stroke, na matatizo ya miguu. Inapendeza ukiwa na miaka 70+au 80+ bado unaweza kwenda...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kufanya mazoezi ya vitendo ya social work

    Kama kichwa kinavyo jieleza Namtafutia mwanafunzi wa Social work mahali pa kufanyia mazoezi ya vitendo. Nimeandaa shilingi laki moja (100,000 Tsh) kwa atakaye fanikisha. Ahsanteni
  4. HumbleBoy98

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya miguu (lower body workout) hasa vigimbi

    Mambo vipi wakuu? Natumaini mko poa. Wakuu mimi ni mdau wa mazoezi ya kujenga mwili japo Sina hela ya kwenda Gym huwa najipigia push up zangu mwenyewe tu, hata hivyo sipo interested Saana na mazoezi ya kunyanyua vitu vizito. Ninachohitaji sasahivi ni mazoezi ya miguu (lower body workout) hasa...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kigwangalla; Kutoka Uwaziri Hadi mtaalamu wa mazoezi

    Nachukua muda mwingi kuangalia maisha ya ndugu zetu wanapopewa vyeo na wanapovuliwa madaraka. Kigwangala alikuwa moto sana na harakati nyingi akiwa Waziri, Leo ameondolewa nilitegemea aendelee japo kupost positive things watu waige watekeleze lakini amejikita kwenye push up. Hii maana yake...
  6. muzi

    JamiiForums Tanzania Anza mazoezi usisubiri matatizo ya kupumua

    Watu wengi wanasubiri waugue ndo waanze mazoezi, hiyo ni kosa kubwa sana. Kwanza ukishaugua mwili utakosa na kuishiwa na nguvu, viungo vitauma yaani kila sehemu ya mwili utakuwa hoi. Dawa ni moja tu kinga ni bora kuliko tiba, wale wenye matatizo ya pressure, kisukari, pumu, stroke, n.k...
  7. Regent

    JamiiForums Tanzania Kuongeza Mwili: Muongozo wa Mazoezi na lishe (Gym workout & Diet)

    Muongozo mzima wa kujaza mwili kwa muda mfupi kwa wale ambao wembamba sanaa mpaka wanaona kero wanahitaji kunenepa mwili kidogo (si kunenepa kwa kujaza mafuta na nyama uzembe) bali kuwa na mwili ulio maintain mtu akikuona anaona una mabadiliko. Vitu vitatu vya kuzingatia 1)Mazoezi 2)Mlo...
  8. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Ukiugua maradhi ya mfumo wa upumuaji zingatia haya

    Watu wanaougua maradhi ya mfumo wa upumuaji ikiwemo nimonia, wameshauriwa kufuata taratibu za namna ya upumuaji na staili za kulala kama sehemu ya tiba mazoezi ili kupona haraka. Mazoezi hayo yanayohusisha namna ya kukaa, kulala na kupumua ambayo yametajwa kusaidia uondoshaji wa maji na...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya, Dorothy Gwajima na Mumewe wakipiga nyungu na kufanya mazoezi

    Mazoezi ni muhimu Mazoezi ni Afya Mhesh Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto leo Februari 7, 2021 ameshiriki mazoezi pamoja na Mumewe Wakili Gwajima.
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kijazi awataka watumishi kuwa na ratiba ya mazoezi

    Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Allan Kijazi amewataka watumishi wa Wizara ya Maliasili na Utalii kuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi ili kuimarisha afya zao na kujenga mshikamano na upendo katika maeneo yao ya kazi. Dkt. Kijazi ametoa wito huo wakati wa bonanza la...
  11. Fuqin

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliofanya mazoezi ya Kegel na wakapona naombeni ushauri

    Mambo vipi ndugu? Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimeanza mazoezi ya kegel kutokana na tatizo langu la kuwahi kufika kileleni.Kwa sasa hivi nina mwezi tangu nianze na nimeonai dalili Kwa mbali kuwa ninaanza kupona ila nikisex nawahi kufika kileleni. Nina imani na zoezi hili...
  12. Shadida Salum

    JamiiForums Tanzania Taifa Stars yaendelea na mazoezi kuelekea CHAN

    Kikosi cha Timu ya taifa "Taifa Stars" kimeendelea na mazoezi leo katika uwanja wa Gymkhana kwa ajili ya kujiandaa na michezo miwili ya kirafiki ya kimataifa dhidi ya DR Congo na mashindano ya CHAN yatakayofanyika Cameroon. Mashindano ya CHAN awali ilikuwa yafanyike kuanzia tarehe 4 hadi 25...
  13. J

    JamiiForums Tanzania RC Hapi: Jumamosi ya pili ya kila Mwezi itakuwa ni siku ya kufanya mazoezi watumishi wa umma na Wananchi wote mkoa wa Iringa

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa Salum Hapi amesema jopo la madaktari wa mkoa wa Iringa wamemweleza kuwa mkoa huo unanyemelewa na magonjwa nyemelezi kama kisukari nk. Kufuatia hali hiyo RC Hapi amewaagiza Wakuu wa wilaya mkoani humo kuhakikisha kila Jumamosi ya pili ya kila mwezi inakuwa ni siku ya...
  14. Chukwu emeka

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naweza kupata wapi vifaa vya mazoezi kwa mtu aliyekuwa amepalarise kwa DSM

    Habari Jf Doctor, Nina Baba yangu wa hiyari,alipata stroke ya upande wa kulia kwa bahati nzuri alitibiwa pale Moi na kurudisha fahamu vizuri kabisa na hatimaye kuruhusiwa kutoka hospital. Alikuwa akifanya mazoezi kwa siku 3 per week hapo njia panda ya kwa mzee wa Upako kuna kidispensary cha...
  15. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Mazoezi ya wanajeshi wa Uswizi

    Haya ndio mazoezi mepesi ya kijeshi
  16. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Nashauri serikali itilie maanani mchezo wa Long Jump naamini tutaweza na ijenge viwanja vya mazoezi

    Wakati nikikua mchezo wa kuruka kwa upondo na ule wa kuruka kawaida sambamba na mchezo wa kurusha mkuki na vitu vizito ilikuwa inafanyika na watu walikuwa wanafanya vizuri. Ukizingatia kwamba Wakenya tayari wamejitambulisha kwa mchezo wa riadha; sisi hapa kwetu Tanzania bado hatujakuwa na...
  17. Top gun maverick

    JamiiForums Tanzania Mazoezi bila mpangilio yanaweza kukuondoa uhai aisee!

    Habari ya Jumapili wanajukwaa pendwa kabisa, Natumaini wote ni wazima wa afya. Naenda Straight to the topic. Mimi kijana ambaye napenda sana mazoezi hasa ya body workout. Yaani ni mazoezi ya pushups, pelvic floor muscles, squash, na jumping jacks hasa pushups napenda sana lakini sipendi na...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania 'Unafiki' huu sijauzoea japo ni mwana Simba SC tena 'lia lia' kabisa, jana tumecheza 'Mechi Mazoezi' na Green Warriors na Kufungwa je, mbona hatusemi?

    Mechi zote ambazo Klabu yangu 'pendwa' ya Simba SC imekuwea ikicheza hasa hizi zinazoitwa 'Mechi Mazoezi' tukishinda tu utaona katika Kurasa mbalimbali za Mitandao ya wana Simba SC na hata Klabu ya Simba huwa tunapewa 'Matokeo' haraka sana. Kwa mujibu wa Mtangazaji wa Clouds FM Shaffih Dauda...
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mwanaume ambaye hajafanya mapenzi kwa muda mrefu vs mwanaume mfanya mazoezi

    Wakuu naomba kujua kati ya mwanamme ambaye hajafanya mapenzi kwa muda mrefu vs anayefanya mazoezi ya viungo kila siku ni yupo anasukuma pampu vizuri wakati wa kula tunda au kugegeda? Mfano mwanaume ambaye ameoa alafu amekaa miaka miwili bila kupump vs mwanaume anayekwenda jim kila siku
  20. PAZIA 3

    JamiiForums Tanzania Wenye uzoefu na biashara ya mazoezi ya mwili, nisaidieni kwa hili

    Nikawaida yangu kufikilia vitu vya kitofauti, najua kuanzisha gym station Ni gharama Sana ila mi nafikilia, hivi Nikiwa na ile mashine ya mazoezi ya kukimbia, siwezi pata wateja kweli? Yaani ile asubuhi mapema naifungua na jioni mpaka saa tano usiku, ila sijui Bei zake na Kama zinaweza patikana...
Back
Top Bottom