#COVID19 Ufanyaji wa mazoezi unausaidia mwili kutonyong'onyezwa na homa kali COVID-19 kwa urahisi

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
Mazoezi.png


Ufanyaji wa mazoezi kila siku unapunguza hatari ya kupata virusi vya COVID-19 au kupata homa kali ya mapafu.

Mazoezi yanaimarisha kinga mwili na kuondoa sumu ambazo zinausaidia mwili kupambana vyema na maradhi nyemelezi. Mtu anayefanya mazoezi akipata virusi vya COVID-19 mwili wake unachelewa kudhoofika kulinganisha ya mtu asiyefanya mazoezi.

Wataalamu wanaeleza kuwa mazoezi yanaimarisha afya ya mapafu pamoja na misuli na kuufanya mwili uwe katika nafasi nzuri ya kupambana na maradhi.
===

Daily exercise can reduce your chances of getting either a virus or a long-term disease. "Exercise can increase your immunity to certain illnesses while also reducing your stress hormones, which can increase your susceptibility to disease," Rea says.

In addition, exercise helps strengthen your muscles — including the heart and lungs — so you're better prepared to fight illness.
 
Wataalamu wanaeleza kuwa mazoezi yanaimarisha afya ya mapafu pamoja na misuli na kuufanya mwili uwe katika nafasi nzuri ya kupambana na maradhi.
===
 
Back
Top Bottom