mazingira

The Mazingira Green Party of Kenya is a Kenyan green party. It was formerly known as Liberal Party of Kenya (LPK). At the 1997 Kenyan General Elections LPK fielded a presidential candidate, Wangari Maathai, who later became a Nobel Peace Prize laureate. Maathai was only a minor candidate. She did not win a parliamentary seat. In 2002, the next general elections were held and the Maathai-led party was part of the victorious NARC coalition. Maathai herself won the Tetu Constituency parliamentary seat.At the Kenyan general election, 2007, Mazingira was part of the newly created Party of National Unity led by President Mwai Kibaki. However, Mazingira also fielded own candidates. Mazingira won one parliamentary seat at the elections, after Silas Muriuki beat PNU candidate David Mwiraria to clinch the North Imenti Constituency parliamentary seat. Maathai was first outvoted at the PNU primary elections and therefore vied on Mazingira ticket, but at the parliamentary elections lost again to the PNU candidate.
The word Mazingira is Swahili for environment.

View More On Wikipedia.org
  1. Conservator

    JamiiForums Tanzania Utunzaji na Uhifadhi Endelevu wa Mazingira na Maliasili Tanzania

    WanaJF. Uchumi wa nchi yetu na maisha ya Watanzania yanategemea kwa kiasi kikubwa maliasili tulizonazo kama vile ardhi, maji, misitu na hewa safi. Uwepo wa maliasili hizi kwa mahitaji yetu ya sasa na ya vizazi vijavyo hutegemea namna tunavyozingatia uhifadhi wake na matumizi endelevu...
  2. evangelical

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu kuhusiana na mradi wa Stiegler's Gorge

    Ni hivi watu wengi wanaandika bila kuujua ukweli. Ukweli ni kwamba kabla ya mradi wowote mkubwa kutekelezwa lazima kifanyike kitu kinachoitwa Environment Impact Assessment. Ukweli ni kwamba serikali iliunda team iliyojumuisha maprofesa nguli kufanya Environment Impact Assessment ambapo...
  3. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Nafasi 20 za Kazi kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mkoani Arusha (AUWSA)

    The Arusha Urban Water Supply and Sanitation Authority (AUWSA) is a legally established entity responsible for the overall operations and management of water supply and sanitation services in Arusha City. It is among of the best Authorities in Tanzania. The core function of the Authority is to...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwako Zungu, Waziri wa Mazingira

    Nichukue fursa hii kukupongeza kwa kuteukiwa kuwa Waziri. Ama hakika Wizara uliyoteuliwa ni Wizara nyeti mno, maana maamuzi na sera za wizara yako zina athari si kwa binadamu tu bali viumbe mbalimbali wanyama, mimea, ndege, wadudu, miti nk. Baada ya hayo naona nije sasa katika dhumuni la...
  5. Parabora

    JamiiForums Tanzania Tusiwalaumu vijana, mazingira ya sasa si rafiki, ni magumu sana kwao kufanikiwa kimaisha hasa vijana wanaotokea familia masikini!

    Habari zenu wanajamvi, nimeleta mjadala kwenu, " Hivi ni sahihi kuwaona wasiofanikiwa kwamba hawana vision wala malengo" Wote tutakubaliana kwamba vijana wengi wanaohangaika kusaka angalau mtaji wa kuanzisha biashara ni wale waliotoka familia Duni tena duni hasa, ambao wameongeza umasikini wa...
  6. beth

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mabasi yapigwa marufuku kuruhusu abiria kujisaidia ovyo

    Halmashauri ya Jiji la Dodoma imepiga marufuku mabasi ya abiria kuruhusu abiria kuchimba dawa (kujisaidia) kwenye maeneo yasiyo rasmi, na kwamba endapo wakibainika watapigwa faini ya Sh. 200,000 au kifungo cha miezi sita jela. Sambamba na hilo, imeagiza mabasi hayo kupuliziwa dawa za kuua...
  7. Zurie

    JamiiForums Tanzania Andiko la Prof. Mwalyosi la 2009 kutumika kama tathmini ya mazingira Stiegler's gorge; watakaopinga kufungwa

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Bw. Kangi Lugola amesema Bungeni siku ya Jumanne Mei 22 kuwa 'pepa' iliyoandaliwa na Prof. Raphael Mwalyosi kutoka IRA UDSM ya mwaka 2009 itatumika kama tathmini ya athari za kimazingira za ujenzi wa bwawa la Stiegler's. Amesema, " Kwa...
  8. Antonio de Guzman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mazingira gani ya hatari uliwahi kufanya mapenzi?

    Habari zenu wana jukwaa? Ni sehemu gani hatarishi uliwahi kufanya ngono? Mimi ni hospital, nilimgegeda nurse ninayefahamiana nae.
Back
Top Bottom