Leslie Mbena
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 207
- 677
Leo 09:22am 27/06/2020
Rais wa tatu wa Malawi, Bingu wa Mutharika kipenzi cha Wamalawi,muanzilishi wa Chama cha DPP alichokianzisha 2005 na mwaka 2009 kilibeba viti vingi vya Wabunge bungeni,alifariki Mwaka 2012 akiacha sifa njema katika nchi ya Malawi.
Rais anayemaliza muda wake,Peter Mutharika ni mdogo wa Rais Bingu wa Mutharika.
Arthur Peter Mutharika anapewa tuhuma na Wamalawi kuwa ni mtu aliyeendesha maisha yake Ulaya na kurudi Malawi kugombea Urais kwa kivuli cha sifa za kaka yake Rais Bingu wa Mutharika aliyesemekana kuwa Mzalendo kwa nchi ya Malawi.
Wamalawi wamemkataa Peter Mutharika kwa kuwa haijui Malawi kama alivyokuwa anaijua kaka yake Bingu wa Mutharika, hiyo ndiyo hali iliyowakuta Wamalawi na kuamua kumtoa Rais Peter Mutharika madarakani.
Wapinzani wa Tanzania wanasema tuige Mabadiliko ya Malawi, Sasa unajiuliza kwa vigezo vipi au kwa mazingira gani hasa ukirejea mazingira tofauti wanayopitia Wamalawi.
Malawi ni nchi yenye ukubwa wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sasa Tanzania ni nchi yenye ukubwa kama wa Soviet Union, Wamalawi na Wazambia wakija kununua vitu Kariakoo wanashangaa nchi ya Tanzania ilivyo kubwa, wakipita Mbeya, Iringa, Morogoro kuja Dar es Salaam
Kutokana na ukubwa wetu wa nchi mfano wa Soviet Union,ni vyema tungeiga Mabadiliko ya Urusi au China ya kuongeza muda kwa Rais ambaye amevunja rekodi ya Miaka minne tu kututoa kwenye nchi ya kipato cha chini hadi nchi ya kipato cha kati
Ni muda sasa kuwaza vizuri kama Watanzania ambao tunaishi katika nchi kubwa na yenye nguvu za kiuchumi, The Great Tanzania.
Tuache unyonge kwa maana Tanzania sasa inasimama katika mstari mmoja na nchi za Uchumi wa kati kama Kenya, Misri, Algeria, Morocco na tunaelekea kusimama mstari mmoja na nchi ya Uchumi wa juu, nchi ya Afrika ya kusini,
Kimkokotenge tutakuwa tumepiga bao sana kiuchumi tukimpa miaka mingine kumi Mh Rais Magufuli, tutakuwa Kama Afrika ya kusini au zaidi ya Afrika ya kusini, it can be done, play your part.
Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master's in Leadership and Management.
-Research;Assessing Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.