Mawazo hasa ya wanaume yanahitajika hapa

Melancholic

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
1,831
3,063
Habari za muda huu wakuu,
Nisiwapotezee muda moja kwa moja nijikite kwenye mada

Ipo hivi mimi kitabia nimekuwa ni mtu ambae sio muongeaji sana na huwa sipendi sana kujichanganya na watu huwa najifeel poa sana hasa pale napokuwa peke yangu na naweza kujifungia ndani toka asubuhi mpaka jioni na sioni shida.

Sasa tatizo linakuja upande wa mahusiano kiukweli huwa napendwa sana na wanawake na mimi huwa sijali sana na huwa sina shobo nao hata kidogo hata uwe pisi kali vp mimi nakuona kawaida na salaam kwa wanawake huwa sitoi halafu huwa sitongozi pia, na nikitongoza bac natongoza kibabe sana, na nipo serious muda wote yani kifupi huwa sicheki ovyo na jinsia ke na hata kupiga nao story hakuna mimi huwa nipo bize na my own business,

Sijui lakini tabia zangu zimekuwa zikiwapa maswali mengi jinsia ke na wamekuwa wakijigonga sana lakini sijali.

Tatizo lililonileta hapa ni kwamba tabia zangu zimekuwa kikwazo kuingia kwenye mahusiano japo napendwa na wanawake ila kitendo cha kumtongoza mwanamke kwangu kimekuwa kigumu yani naona kama nimejishusha na mimi kujishusha kwa mtu ndio huwa sipendi.

Sasa hii kitu imenifanya niishi single kwa miaka mingi kiasi ambacho hata mimi nimeanza koboeka pia imeanza kufanya majirani zangu hasa jinsia ke kuanza kupata maswali kuhusu ulijali wangu maana awajawahi niona na mwanamke home hata mtaani pia.

Sasa ni vipi nitaondokana na tatizo hili maana naona nakoelekea si kuzuri kabisa nahitaji relationship lakini ndio hivo sipendi kumpa mtu point 3 rahisi yani kumnyenyekea mtu huwa siwezi na kutongoza huwa natongoza kibabe sana na ukichomoa ndio sirudi yani kifupi ni kwamba huwa sipendi kujishusha kwa mwanamke japokuwa mbususu zao nazitaka sana. Naombeni ushauri wakuu ni vp nitatoka hapa nilipo.

Nb. Mimi sio domo zege ila kutongoza mwanamke naona kama najishusha sana na nikitongoza natongoza kibabe sana. Na ukikataa ndio sirudi huwa sina muda wa kupoteza kubembeleza mtu
 
Sas kam sio domo zege ni nini n kichwa nanga au auna feeling na watu wa upande wa pili

Usije jaribu kununua chuma maana dizain yenu mkiingia kwenye mahusiano huo msoto wake kugawanya mtu fuvu ni ½dakika.
 
Hata sikuelewi,pale kati palivyo patam alafu wew hupend kujisbusha?
FB_IMG_1654014782907.jpg
 
Acha Punyeto...na kitu Kingine acha kutazama porn movies....

Na tatizo lako sio huwezi kujishusha,,, ila unawaogopa mabinti....

Be Confident, Stay taliban..... watu kama ticha to yeye utawaona wa kawaida sana...
Ha ha haa,umenianza mwanzoni kabisa Kwa mwez Nas Jr
 
Ha ha haa,umenianza mwanzoni kabisa Kwa mwez @Nas Jr

Nimekutumia tu kama mfano wa kufundishia...

Nimemiss jina lako nikaona niweke hapo,,, vile Popote nikisikia Jina lako huwa najihisi nipo Nyumbani...

Rudi kwangu we Mwanamke tuyajenge,,,,nataka Keki nzima nimechoka kuonja vipande huku mtaani...
 
Acha punyeto kijana.
We unajifungia ndani siku nzima unafanya nini huko ndani??

Unatamani madem na huna sasa wewe genye zako unazipunguziaga wapi??
 
Nimekutumia tu kama mfano wa kufundishia...

Nimemiss jina lako nikaona niweke hapo,,, vile Popote nikisikia Jina lako huwa najihisi nipo Nyumbani...

Rudi kwangu we Mwanamke tuyajenge,,,,nataka Keki nzima nimechoka kuonja vipande huku mtaani...
Mwenyewe nimechoka sana aisee...ila naogopa kuishi na mtu.Swalha&said
 
Endelea kupiga punyenye tu hakuna namna,mtoto wa kiume unajisikia
 
Back
Top Bottom