mawaziri

  1. A

    JamiiForums Tanzania Je, Rais Magufuli anachelewesha Baraza la Mawaziri sababu Serikali haina pesa?

    Katika hafla ya kumwapisha Waziri Mkuu Majaliwa na Mawaziri Mpango na Kabudi, Magufuli alisema wazi kuwa hana haraka ya kuteua baraza la mawaziri. Sababu yake ilikua ni uwingi wa wabunge wa CCM ambao unampa muda mwingi wa kufikiri na kuchambua yupi anayefaa. Leo wakati Mwinyi wakati anatangaza...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Rais wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi anatangaza Baraza jipya la Mawaziri. Hakuna Manaibu Waziri

    Rais wa Zanzibar Dr Hussein Mwinyi yupo mubashara Channel ten anatangaza baraza jipya la mawaziri. Baraza la mawaziri limetangazwa lakini Wizara mbili zimebaki wazi na uteuzi utafanywa baadae nazo ni Wizara ya afya na Wizara ya Viwanda na Biashara. Rais Mwinyi amesema kwa sasa hakutakuwa na...
  3. Shark

    JamiiForums Tanzania Je, Rais amevunja Katiba Kumuapisha PM na Mawaziri wengine kwa Pamoja?

    Imeandikwa na Malisa Godlisten Katiba ya nchi ibara ya 55 inataja mchakato wa uteuzi wa mawaziri na manaibu waziri. Ibara ya 55(1) inasema Rais atateua mawaziri baada ya kushauriana na Waziri mkuu. Tasfiri ya kingerereza limetumika neno "shall" kuonesha kwamba ni lazima Rais ashauriane na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Nakubaliana na Rais Magufuli. Hakuna haraka yoyote ya kuunda Baraza la Mawaziri. Prof. Kabudi na Dkt. Mpango wanatosha kwa sasa!

    Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa. Maswala ya ulinzi na usalama wa ndani yaendelee kusimamiwa na CDF Mabeyo na IGP Sirro wanaoripoti moja kwa moja kwa Amiri jeshi mkuu. Mambo muhimu ya Fedha na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Tathmini yangu fupi kuhusu Baraza Jipya la Mawaziri

    Baada ya wanachi wa Tanzania kuchagua maendeleo ya kijani nchi nzima, kwa kuwapigia kura za kutosha wagombea wa CCM na kuufutilia mbali upinzani wa kupinga maendeleo ya nchi yetu. Wakati napitia matokea ya sehemu mbalimbali nikapata fikra pevu za kuangalia namna baraza la mawaziri litakavyokuwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania NEC: Mawaziri, Wakuu wa mikoa na wilaya hawaruhusiwi kuingia kwenye vyumba vya kujumlishia kura!

    Tume ya uchaguzi imesema mawaziri, wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya na watumishi wengine wa umma hawaruhusiwi kuingia kwenye vyumba vya kupiga, kuhesabu na kujumlisha kura isipokuwa kwa ajili ya wao kupiga kura tu. Chanzo: Mwanahalisi Digital Maendeleo hayana vyama! =========== WAKUU wa...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hassan Abbas azungumzia Ukomo wa Serikali kwenye Uchaguzi. Rais yupo hana ukomo na Mawaziri wapo ila wana ukomo

    Wanabodi, Msemaji Mkuu wa Serikali, Dr. Hassan Abbas yuko Live on Times FM, 100.5, Azungumzia kuhusu ukomo wa Serikali wakati wa Uchaguzi, Rais wa JMT yeye yupo, in full, hana ukomo, pia mawaziri bado wapo ila wao wana ukomo!, hawaruhusiwi kutoa ahadi za kiserekali, na siku rais mpya...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 NEC: Mawaziri, RC, DC na Viongozi wa Serikali hawaruhusiwi kuingia vituoni

    Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imesema, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wakuu wa Wilaya na Viongozi wengine wa Serikali hawapaswi kuingia vituo vya kupigia, kuhesabu au kujumulishia kura. Viongozi hao wanaruhusiwa kuingia vituoni kwa madhumuni ya kupiga kura tu.
  9. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kampeni za CCM zimefana sana wagombea wa ubunge wanaonyesha uwezo mkubwa tutapata mawaziri bora!

    Kiukweli nafuatilia kwa makini kampeni za chama tawala CCM mgombea urais na wagombea ubunge wameonyesha umahiri mkubwa. Ni dhahiri mwezi November tunaweza kupata Baraza la Mawaziri jipya kabisa kwani hili ingizo jipya siyo mchezo. Ngoja tuone. Maendeleo hayana vyama!
  10. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Baraza la Mawaziri lijalo Rais aingize Wazungu, Wachina na Wahindi na wakumbukwe teuzi za Serikalini na Taasisi za Umma

    Wakati wa Nyerere tulikuwa na mawaziri Wazungu na Wahindi. Naona ni wakati muafaka kuwaingiza wale ambao wamejitambulisha na kushikamana na jamii ya Watanzania kama sehemu ya Watanzania. Rais asisite kuwapa ubunge wa kuteuliwa wale anaoona wanafaa a kuwapa hata uwaziri ili tushirikiane nao...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Majimbo ya Ubunge yaliyosimamisha wagombea wa CCM bila wagombea wa Upinzani

    Wadau mpaka sasa nasikia CCM baadhi ya majimbo imesimamisha wagombea pekee baada ya wagombea wa vyama vingine kutokidhi baadhi ya vigezo. Yaani kabla ya hata ya kitufe kubonyezwa majimbo yafuatayo wapinzani wamenyanyua mikono na CCM wanayachukua. Karibuni tuweke kumbukumbu za clean sheets...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kabudi akikabidhi Uenyekiti wa SADC ngazi ya Mawaziri kwa Balozi wa Msumbiji

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi akikabidhi Uenyekiti wa SADC ngazi ya Mawaziri kwa Balozi wa Msumbiji, Monica Mussa. Prof. Kabudi amesema licha ya Corona jumuiya hiyo imefanikiwa kuwa na mahusiano mema ya kibiashara.
  13. Gluk

    JamiiForums Tanzania Hili ndio Baraza la Mawaziri wa Tundu Lissu litakavyokuwa

    Mimi sina shaka kabsa kuhusiana na ushindi mkubwa anaoenda kuupata mpakwa mafuta wa MUNGU ndugu Tundu Lissu. Na huu ndio utabiri wangu wa muundo wa baraza la mawaziri utakavyokuwa. Waziri Mkuu Freeman Mbowe. Ulinzi na Usalama Lazaro Nyalandu. Michezo, Habari na Vijana. Sugu a.k.a Jongwe...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo ya Muundo na Utendaji wa Baraza la Mawaziri

    Ndugu wadau, Mimi ni mtia nia wa kugombea Ubunge katika Jimbo la Kigamboni. Kwa kuwa kipindi cha Kampeni bado napenda niweke baadhi ya sera na itikadi zangu kuhusu masuala mbalimbali ambayo nitayafanyia kazi nitakapofanikiwa kuwa Mbunge. Katika uzi huu nataka kuzungumzia mabadiliko ambayo...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Uwakilishi wa kweli: Katiba itoe ulazima wa Wabunge kuwa Mawaziri

    Huu utaratibu wa sasa wa kulazimisha Baraza la Mawaziri kuundwa kutokana na wabunge ni tatizo kubwa. Kwanza kuna viongozi wazuri ambao sio wanasiasa. Pili, kutoa wabunge wengi hivi Bungeni badala ya kutetea Majimbo yao wanakuwa watetezi wa Serikali. Vilevile ndiyo sababu wengi wanakimbilia...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuna ajira Tanzania inaingiza zaidi ya milioni 20 (mshahara + posho) ukiachana na Mawaziri?

    Naona kuna jamaa hapa kijiweni alianzisha mjadala huu kwamba kuna watu wanavuta zaidi ya mshahara tajwa. Tiririkeni wadau. Kwa watoa povu kama unaoma maada haikufai mlango upo wazi nenda kaenselee kuperuzi maada zinazokufaa
  17. E

    JamiiForums Tanzania Baada ya CHADEMA kubweteka, Tanzania hatuna chama mbadala cha kuwasumbua CCM

    CCM chini ya JPM tunaomba iendelee na moto huu huu katika kuisimamia serikali. Ni wazi kuwa nchi hii ilikuwa imeharibika sana kiasi cha kufanya kila mwenye pesa alikuwa na uwezo wa kumfaya maskini chochote. CHADEMA walisaidia sana kelele na kauli mbiu yao ya VUA GAMBA UVAE GWANDA, ni kweli...
  18. Requal

    JamiiForums Tanzania Hizi sura lazima zionekane kwenye baraza la mawaziri lijalo

    Binafsi ningependa uchaguzi uwe huru na haki, lakini kwa mazingira yalivo sasa no way. Kuna watu piga ua lazma watangazwe ubunge hata kama watashindwa kwenye sanduku la kura, na kuna uwezekano mkubwa wakawemo kwenye baraza la mawaziri lijalo, Hawa ni baadhi yao. 1. Makonda - Huyu ana nafasi...
  19. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania GE2020 Hawa Mawaziri wana dhamira ya ukweli au uroho wa madaraka?

    Siasa siasani. Siri sirini. Siasa ni sayansi ..siasa ni sanaa. Kuna baadhi ya mawaziri huko nyuma hatukuwaza hata siku moja kuwa watakuwa wanasiasa ...wengi katika baraza la Magufuli hawakuwahi kuwa wanasiasa hata kwa Bahati mbaya.. Mfano 1. Mama Joyce Ndalichako hajawahi kuwa mwanasiasa...
  20. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa fedha nchi za SADC kuanza leo Dar

    Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, anatarajiwa kuongoza Mkutano wa Mawaziri wanaohusika na masuala ya Fedha na Uwekezaji wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na Jopo la Mapitio ya Uchumi Mpana (Peer Review Panel) unaotarajiwa kufanyika tarehe 15 Julai...
Back
Top Bottom