Nimekumbuka tu kisa cha bwana mdogo Ngeleja alipokuwa anaongea na simu kwenye kibanda cha ATM huku wananchi wakiwa wamefoleni kusubiri kutoa hela.
Mlinzi alipomuomba akaongelee nje ya kibanda, Ngeleja alimfokea na pale pale akampigia simu boss wa Group 4 Security na kumuagiza amfute kazi. Laana...
Rais mpya wa Malawi, Lazarus Chakwera amekosolewa kwa kuteua Baraza la Mawaziri linalojumuisha Mtu na Mke wake pamoja na watu wengine ambao ni ndugu
Sidik Mia, ambaye ni Mgombea mwenza wa Rais huyo katika Uchaguzi wa mwaka 2019 amechaguliwa kuwa Waziri wa Uchukuzi huku mke wake, Abida Mia akiwa...
Wasalamu wana Jukwaa!
Nianze kwanza kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Rehma zake na kutuvusha katika janga zito.
Sasa nijielekeze moja kwa moja kwenye hoja yangu. Hoja inahusu Moyo wa dhati wa Mh. Rais kuboresha Utumishi wa Umma kwa kuhimiza kutokuwa na TAMAA YA VYEO KWA WATUMISHI WA UMMA...
Unaweza ukadhani ni jambo dogo lakini kiukweli fedha nyingi ya kigeni imeokolewa kutokana na Rais Magufuli na Mawaziri wake kutosafiri nje ya Afrika ndani ya miaka mitano.
Tunakumbuka huko nyuma namna viongozi wetu walivyokuwa wakipishana angani kwenda Ulaya na America.
Tunakumbuka mikutano ya...
CCM imeishiwa katika kupika viongozi wajao ndani ya UVCCM. Kwa watia-nia wanaoendelea kujitokeza majimboni kila uchao, ni wazi kama ngazi kuwa CCM inakuwa na wagombea 'bomu' uchaguzini.
Kwakuwa ushindi umeshapangwa na kupangika, Bunge lijalo litakuwa dhaifu lakini nadhifu kama mkufu. Litakuwa...
Aulizaye si mjinga ila anayejifanya kujua. Mie nauliza tu niweze kujua.
Ukishakuwa Rais unaunda serikali mpya ya baraza la mawaziri wenye sifa za uongozi na elimu ya juu, sababu waziri hawezi kuwa mkuu wa mwenye elimu maradufu yake.
Je, upinzani una wasomi wakutosha kuunda hilo baraza na...
Chama cha Waandishi wa Habari Wananawake (TAMWA Zanzibar) kinawashauri wanawake wa vyama vyote vya siasa kujitokea kwa wingi katika kuchukua fomu za kuwania nafasi mbali mbali ndani ya vyama vyao.
Ushauri huo unakuja siku chache baada ya vyama vya siasa kutoa nafasi kwa wanachama wao kuwania...
Naomba Kujuzwa yafuatayo
Rais anapofungwa Bunge, je Bunge ndio linakuwa limevunjwa rasmi kwa maana ya Ubunge wa Mbunge unakoma? ( kwa maana ninavyofahamu pamoja na mtu kushinda/kuteuliwa kuwa mbunge ubunge wange unaanza rasmi pale alipokasimiwa/apishwa rasmi Bungeni).
2. Kama Bunge...
Utaratibu wa kikatiba ni kwamba Bunge likivunjwa Mawaziri nao wanapoteza sifa za kuendelea na Uwaziri kwani Waziri ni lazima awe Mbunge.
Huko nyuma utaratibu huu uliheshimiwa na marais wote hadi alipoingia Kikwete akaubadilisha na kuwaacha Mawaziri ofisini hadi mwezi wa uchaguzi
Je, awamu ya...
Uamuzi huo ulifikiwa kufuatia mkutano uliyofanywa siku ya Alhamisi chini ya uongozi wa Makamu wa Rais wa kwanza Gaston Sindimwo.
Kufikia sasa bado haijabainika ni lini kiongozi mpya ataapishwa, japo katiba iko wazi kuwa Spika wa bunge la kitaifa Pascal Nyabenda alitakiwa kuapishwa kushikilia...
Mawaziri saba na mshauri wa Rais wamethibitika kupata maambukizi ya Virusi vya Corona vinayosababisha ugonjwa wa homa kali ya mapafu wa COVID-19. Inasemekana mawaziri hao watasafirishwa ili kupata matibabu nchini Kenya.
---
7 Cabinet Ministers in Burundi and a presidential advisor have tested...
Mkutano wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umefanyika leo jijini Dar es Salaam kwa njia ya Mtandao (Video Conferencing) katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)
Mkutano huo umefunguliwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Maafisa...
Eid Mubarak wadau!
Kiukweli ni heri tu Mungu alituepushia vinginevyo hali ingekuwa tete.
Naiangalia kwa makini safu ya wabunge wa Chadema sipati picha eti hawa ndio wangekuwa mawaziri wetu. Labda Mnyika pekee na msemaji wa Ikulu Pascal Mayalla ndio wangeitoa kimasomaso.
Mawaziri wengine wote...
Kama tunavyokumbuka, wakati mawaziri hawa wakiondolewa walikuwa branded kama "wazembe" na walikuwa almost criminalized na mamlaka ya uteuzi.
Mamlaka ya uteuzi imefanya u-turn na kuwarejesha kwenye cabinet with pomp.
Maswali ni mengi kwa kweli. Sina uhakika kama majibu yapo ya kutosha.
Jee...
Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), limeridhia usafirishaji wa bidhaa muhimu katika ukanda huo wakati wa janga la homa ya mapafu (Covid-19) ili kuzuia maambukizi ya ugonjwa huo kwa nchi wanachama.
Akizungumza katika Mkutano wa dharura wa Maafisa Waandamizi wa...
Naomba uchaguzi Mkuu mwaka 2020 ili liwe baraza la Mawaziri kwa maoni yangu, lakini pia unaweza kukosoa na kupendekeza manaibu wao.
Rais - Lissu (Chadema)
Waziri Mkuu - Juma Assad (Hana chama)
Makamo wa Rais - Bernard Membe (Hana chama)
Uchukuzi na Mawasiliano Bashe (CCM)
Waziri wa Mambo ya...
February 17, 2020
FULL HISTORIA YA MAMA SAMIA
Mama Samia anakubali hoja nzito za wapinzani, nilikataa pendekezo la kuwa Makamu wa Rais
Makamu wa Rais wa serikali ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Hassan Suluhu asema kilichomsukuma kuingia katika siasa ni maoni na hoja za mashiko za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.