Mawaziri, kudhalilisha wanataaluma hadharani ni unyanyasaji usiokubalika

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Nimekumbuka tu kisa cha bwana mdogo Ngeleja alipokuwa anaongea na simu kwenye kibanda cha ATM huku wananchi wakiwa wamefoleni kusubiri kutoa hela.

Mlinzi alipomuomba akaongelee nje ya kibanda, Ngeleja alimfokea na pale pale akampigia simu boss wa Group 4 Security na kumuagiza amfute kazi. Laana ile inamtafuna Ngeleja hadi kiama.

Wanasiasa msisahau kuwa vyeo ni dhamana leo Magessa Mulongo kapanga foleni Kibamba anasubiri huruma ya kura za maoni.

Maendeleo hayana vyama!
 
Viongozi wakiwa madarakani wanajiona Miungu watu. Wanakera sana aaaah
 
Back
Top Bottom