Hizi sura lazima zionekane kwenye baraza la mawaziri lijalo

Requal

JF-Expert Member
Jun 5, 2020
903
1,000
Binafsi ningependa uchaguzi uwe huru na haki, lakini kwa mazingira yalivo sasa no way. Kuna watu piga ua lazma watangazwe ubunge hata kama watashindwa kwenye sanduku la kura, na kuna uwezekano mkubwa wakawemo kwenye baraza la mawaziri lijalo, Hawa ni baadhi yao.

1. Makonda - Huyu ana nafasi kubwa ya kuwa waziri wa mambo ya ndani au ulinzi
2. Mnyeti
3. Mwanri
4. Gambo
5.Mtaka - Huyu lazima atachukua fomu hivi karibuni
6.Tulia - Huyu kama asipopewa waziri wa sheria, anaweza kuwa spika au naibu spika akijiandaa kuwa spika ajaye baada ya 2025, nae atatangazwa mshindi hata kama atashindwa kwenye sanduku la kura.

7. RC wa kigoma - huyu nae anaweza kuwa waziri wa ulinzi au mambo ya ndani


8. Charles Kimei, Huyu alikuwa mkurugenzi mstaafu wa CRDB
9. Francis nanai,Mkurugenzi wa mwananchi communication ltd
10.....................................
11........................................
13. yule jamaa aliyekuwa mkurugenzi wa sekta binafsi..
14.............................................
15.................................................

Tuendeleee, kuwaorodhesha...., Kumbuka.

Baraza la mawaziri lijalo zitaonekana sura za wapendwa wa mkubwa tu, hili lililopita hakuwa na jinsi maana wabunge wengi aliwarithi hivyo alilazimika kuwachagua haohao na ilipobidi aliteua nje kwa mujibu wa sheria aliyopewa ya kuteua wabunge kumi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom