mawaziri

  1. T

    JamiiForums Tanzania James Mbatia amtaka Majaliwa ajiuzulu Uwaziri Mkuu

    JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuunda baraza jipya. Mbatia amesema, hatua hiyo itamsaidia Rais Samia kuunda Serikali yake. ===== JAMES...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Je, mawaziri Jaffo na Aweso wataendelea na mikwara ile ile ya kutumbua na kufokea watendaji hadi wanazimia?

    Kila kitabu na zama zake ndio maana tulio wengi tunaona ni vema Rais SSH akateua baraza lake la mawaziri watakaoendana na maono na kasi yake. Fikiria utendaji wa mawaziri Jaffo na Awesu ambao wametumbua na kukerehesha wengi , je wataendelea na mzuka ule ule? Au watabadili voco kulingana na...
  3. J

    JamiiForums Tanzania CCM kuitisha mkutano mkuu wa taifa wa dharura haraka iwezekanavyo kujaza nafasi ya Mwenyekiti wa taifa iliyo wazi.

    Komredi Polepole amesema kamati kuu ya CCM imeelekeza mkutano mkuu wa chama uitishwe haraka kujaza nafasi ya mwenyekiti iliyoachwa wazi baada ya John Magufuli kufariki. Hivyo basi mkutano mkuu utaitishwa wakati wowote kuanzia leo. Maendeleo hayana vyama
  4. Tanganyika Law Society

    JamiiForums Tanzania TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14

    Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya...
  5. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania Nini status ya Baraza la Mawaziri la Magufuli sasa na baada ya Samia Suluhu Hassan kuapishwa?

    Ninajua kuwa Waziri Mkuu akifariki au kujiuzulu basi Baraza la Mawaziri huhesabika kuwa limevunjika. Pia muda mchache kabla ya Rais mteule kuapishwa Baraza la Mawaziri huvunjika. Lakini Katiba yetu ipo kimya juu ya nini hutokea pale Rais anapokuwa amefariki. Je, Baraza la Mawaziri huendelea na...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kwa mara ya kwanza

    Rais Samia Suluhu Hassan muda mchache ujao ataongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri. Updates; Mawaziri wote wako ukumbini wakiongozwa na waziri mkuu na tayari Rais wa Zanzibar Dkt. Mwinyi ameshaingia ukumbini. Rais wa JMT mama Samia ameingia ukumbini na kufungua kikao na sasa majadiliano...
  7. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Waziri wa Afya: Andaa na Kupeleka Waraka wa kuanzisha Tume ya Kupambana UVIKO katika Baraza la Mawaziri

    Kwa mujibu wa mchakato wa utafiti wa kisayansi, bila kuchukua vipimo kwa ajili ya kuthibitisha usahihi wa rai (hypotehsis) kwamba Tanzania kuna UVIKO ni vigumu kukanusha usahihi wake. Taifa lilifanya vizuri miaka ya 1980 pale janga la VVU na UKIMWI lilipozuka. Tuliunda TUME YA TAIFA YA...
  8. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Baraza la kwanza la Mawaziri, Mwalimu Nyerere akiwa Waziri Mkuu

    HILI NDILO BARAZA LA MAWAZIRI LA KWANZA KABISA KWA SERIKALI YA TANGANYIKA BAADA YA KUPATA UHURU MWAKA 1961. Baraza hilo lilikuwa na Waafrika 8, Wazungu 2 na Mhindi 1, Jumla Mawaziri walikuwa 11. Siku hiyo ya uhuru ilipigwa picha ya Baraza hilo la Mawaziri. Katika picha hiyo, anakosekana Sir...
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania SADC yapoteza mawaziri 10 kutokana na Covid19, Tanzania tumejipangaje?

    Mpaka sasa nchi wanachama wa jumuiya ya kikanda ya kusini mwa Afrika, SADC imepoteza mawaziri wake kumi ndani ya wiki mbili huku Zimbabwe na Eswatini zikiongoza kwa kila moja kupoteza mawaziri watatu. SADC inajumisha nchi 16 ikiwemo Tanzania, majirani ugonjwa umetamalaki na ni ugonjwa...
  10. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Vifo vya Mawaziri vyafanya masharti ya kujikinga na COVID-19 kuongezeka

    Wizara ya Afya ya Zimbabwe imetangaza kuongeza Lockdown ambapo baa, migahawa, sehemu za mazoezi na biashara zisizo na umuhimu zitafungwa Baadhi ya watu ameonekana kutofuata masharti ya Afya hivyo polisi watakuwa wanafanya doria jioni kuhakikisha ‘curfew’ inazingatiwa Zimbabwe imeripoti...
  11. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Semina elekezi ni muhimu kwa Mawaziri wa Rais Magufuli

    Mzee wa msoga aka Jakaya aliona mbali pale alipokuwa anasisitiza ufanyaji wa semina elekezi kwa viongozi. Japokuwa mambo yalienda kombo baada ya kuonekana kuna matumizi mabaya ya ofisi. Hasa baada ya ile iliyofanyika Ngurdoto kuonekana ilitumia pesa nyingi za umma bila sababu ya msingi...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Je, nyumba za mawaziri Mikocheni nani anaishi kwa sasa?

    Baada ya serikali kuhamia Dodoma ni wazi kuwa mawaziri wote sasa wanatakiwa kuishi Dodoma jirani na ofisi zao. Je, hizi nyumba zao za mikocheni kwa sasa hivi nani anaishi humo? Nashauri tupewe watumishi wa DSM au serikali izipangishe kwa wanachi kwa kodi ndogo ili kila mwananchi afaidi matunda...
  13. TODAYS

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uchaguzi Uganda: Matokeo ya awali kutoka sehemu mbalimbali. Museveni anaongoza

    Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake. Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia...
  14. mkamanga original

    JamiiForums Tanzania Rais, wananchi wanataka kujua Michango mashuleni imerudishwa? Tunaomba tamko la Serikali

    Watoto wa madarasa ya awali na darasa la kwanza hawapokelewi mashuleni mpaka wazazi watoe michango. Utafiti uliofanyika unaonyesha mzazi wa darasa la kwanza analazimika kuchangia kati ya tsh. 15,000 hadi tsh. 80,000. Wakati wale wa awali michango yao ni kati ya tsh. 20,000 hadi 100,000. Mbaya...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Malawi yatangaza siku tatu za maombolezo baada ya mawaziri wawili kufa kwa COVID-19

    Waziri wa Serikali za Mitaa, Lingson Belekenyama na Waziri wa Usafirishaji, Sadik Mia wamefariki Januri 12 asubuhi kutokana na COVID19. Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera ametangaza siku tatu za maombolezo kwa ajili ya mawaziri na wamalawi waliofariki kwa COVID19. Bendera zitapepea nusu mlingoti...
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Malawi yawapoteza Mawaziri wawili kutokana na COVID-19

    Lingson Belekanyam alipatikana na COVID-19 wiki iliyopitaImage caption: Lingson Belekanyam alipatikana na Covd-19 wiki iliyopita Malawi imepata pigo kubwa baada ya mawaziri wawe wawili kufariki dunia kutokana na COVID-19. Waziri wa habari wa Malawi, Gospel Kazako amethibitisha kuwa mawaziri hao...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kama Ilani ya CCM 2015/2020 ilitekelezwa kwa zaidi ya 95 mbona Mawaziri wanatumbua tumbua watendaji kila kona?

    Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa? Kwa mfano Naibu waziri wa maji, Naibu waziri wa afya, Naibu waziri wa TAMISEMI, waziri mwenyewe wa...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Tumbua tumbua inayofanywa na mawaziri Jafo na Aweso ni kama vile hawakuwepo kwenye Wizara hizo!

    Waziri wa Tamisemi Selemani Jafo siyo mgeni wizarani hapo amekuwepo tokea muhula wa kwanza wa Rais Magufuli kadhalika Waziri wa maji Juma Awesu alikuwa Naibu waziri kwenye wizara hiyo. Nimefuatilia ziara za mawaziri hawa mikoani na kushuhudia wakipiga mikwara mizito kusimamisha kazi na kutumbua...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Naamini umbea ukitofautishwa na Intelijensia tutapiga hatua kimaendeleo

    Kwamba Waziri anapata taarifa za ubadhirifu mkoa flani anasubiri hadi siku apate wasaa wakusafiri kwenda mkoa husika ndipo akatangaze kumsimamisha mtuhumiwa kazi? Hivyo vyombo vinavyomlisha Waziri taarifa kwanini visijikite kudhibiti ili Waziri akifika asikute tuhuma? Au wao wamepewa mamlaka ya...
  20. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wa Afya watoa namba za simu kwa ajili ya kupokea maoni, kero, ushauri au taarifa kutoka kwa wananchi

    Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima pamoja na Naibu wake Dkt. Godwin Mollel wametoa namba za simu kwa ajili ya kupokea maoni, kero, ushauri au taarifa kutoka kwa wananchi. Wamesema lengo la kutoa namba hizo ni kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa...
Back
Top Bottom