Kabudi akikabidhi Uenyekiti wa SADC ngazi ya Mawaziri kwa Balozi wa Msumbiji

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba Kabudi akikabidhi Uenyekiti wa SADC ngazi ya Mawaziri kwa Balozi wa Msumbiji, Monica Mussa.

Prof. Kabudi amesema licha ya Corona jumuiya hiyo imefanikiwa kuwa na mahusiano mema ya kibiashara.

1597317529897.png
 
KAABUNDI amekabidhi tayari Sasa hivi tutakuwa wakiwa maana ndio kete iliyokuwa imebaki ya ushirikianino kimataifa hivi afrika mashariki si tumebaki na Burudi tu
 
Back
Top Bottom