Naibu waziri wa Tamisemi anayeshughulikia miundombinu ya elimu ya msingi na sekondari mwalimu Mwita Waitara amesema maana ya Elimu Bure ni wanafunzi kulipiwa ada na serikali.
Waitara amedai kuwa wananchi wengi wanachanganya mambo kwa kudhani kuwa ujenzi wa miundombinu ya elimu yakiwemo...
Jamani sijuwi kama kuna anaye ona kwa sasa mawaziri ndio wanagunduwa mauwozo kwenye mikoa na kufanya ziara nyingi wakati yupo mkuu wa mkoa RSO, RPC wakuu wa wilaya nakamati ya ulinz na usalama hii sioni kama ni afya kwa mikoa yetu alafu why jambo linaitaji support ya mkuu wamkoa anairushia...
Kiukweli kukosekana kwa watu wawili muhimu katika utumishi wa kisiasa katika nchi hii kumeacha pengo kubwa sana.
Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr. Wilbrod Slaa na Mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti...
Nijuavyo ofisi ya kiongozi mkuu mstaafu ni ofisi ya umma. Yaani public office. Na kwa mujibu wa katiba yetu public office ni mali ya serikali iliyo madarakani. Haiwezekani pawe na ofisi ya umma ambayo Mtendaji mkuu wake ni mpinzani wa serikali iliyo madarakani!
Tumeshuhudia mawaziri wakuu...
Nadhani huyu ndiye atakuwa Waziri Mkuu mstaafu wa mwisho kuwepo Chadema. Nikitizama Salim, Warioba, Msuya, Pinda na hata Majaliwa sioni uwezekano wowote wa Chadema kupewa fursa ya kumhifadhi Waziri Mkuu mstaafu tena.
Ukichunguza kwa makini utabaini kuwa ujio wa mawaziri wakuu umeiumiza mno...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Nchi za Afrika na NORDIC unaofanyika akatika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam.
=====
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWA UFUPI...
Uongo umeshakuwa kitu cha kawaida katika nchi yetu, Serikali yetu haikuwahi kuaminika na itaendelea kutoaminika.
Rais si mkweli, mbabe, ukandamizaji wa haki za raia, matumizi mabaya ya madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma (Bado tunadaiwa mabilioni kama siyo matrillioni ya shillingi...
Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh, amesema wakati wote hajawahi kujuta na wala hatakuja kujuta katika ripoti yake ya mwaka 2012 iliyosababisha mawaziri wanane kujiuzulu.
Utouh ametoa kauli hiyo jijini Dodoma leo Oktoba 26, 2018 wakati akizungumzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.