Nawakumbusha tu zoezi hili lilikuwa ni ajira za muda mfupi ila madudu yaliyofanyika katika kuwaondoa wasimizi wa maudhui limekuwa jambo la kawaida pamoja na vijana kupaza sauti si kiongozi wa chama tawala Wala upinzani ambaye ametoka na kuliongelea hili suala as if hakuna ujinga ukiofanyika mtu kumwambia omba nafasi hii arafu badae unamwambia nafasi hizo zimejazwa na watu maalumu wakuu wa shule tuseme hawakuwa na takwimu wakuu wapo wangapi kila kata kwanini hawakuweka angalizo katika uombaji kuwa nafasi hizo zitatoka kulingana na uhitaji wa eneo kwani Kuna wakuu wa shule vijana wajue pakushindania.
Vijana ndio mkumbuke hawa Wana siasa hawapo kuwatetea maslahi yenu wapo kuwatumia kwa maslahi yao next time mpunguze shobo katika mambo yao kwani hawapo tayali kusimama katika mambo yenu haya hii jambo si ajira kwanini uhuni unafanyika wao wapo kimya je mangapi uko bungeni yanawahusu vijana ila kwakua hawana maslahi nayo wanakaa kimya wanasubulia chaguzi ndio waseme maneno yao Mara muandamane Mara mdau Katiba mpya nk.
Huu Uzi si kwa wanasiasa wa upinzani tu hata chama tawala inawahusu kwani wote wapo kimya