Facebook yapiga marufuku maudhui kuhusu kundi la Taliban

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Mtandao wa kijamii wa Facebook inachukulia Taliban kama kundi la kigaidi na hivyobasi, inapiga marufuku maudhui yote yanayounga mkono Taliban katika majukwaa yao.

Kampuni ya Facebook imesema timu ya wataalam wa Afghan inafuatilia na kuondoa maudhui yote yenye kufungamana na kundi hilo. Facebook imegusia kwamba sera hiyo inatumika kwa majukwaa mengine yote ya mitandao yao ikiwemo Instagram and WhatsApp.

Hata hivyo, kuna taarifa kwamba Taliban inatumia jukwaa la mawasiliano la Whatsapp kuwasiliana. Facebook imeiambia BBC kwamba itachukua hatua ikiwa itabaini akaunti kwenye programu za simu yenye kijihusisha na kundi hilo.

Majukwaa pinzani ya mitandao ya kijamii kama vile Twitter na Youtube pia nayo yameanza kufuatilia kwa karibu namna ya kushughulikia maudhui ya kundi la Taliban.

BBC
 
BREAKING: China’s state media ‘Global Times’ warns Taiwan against acting as “pawns of the US” - saying that “the US abandonment of Afghan allies should be a lesson, Taiwan would be left to fend for itself and collapse in hours in a war with China.”
 
makafir mna wivu ?
yaani mtu anapigania Nchi yake mnamwita gaidi ?

kuna gaidi mwingine huku anaitwa Mbowe
 
makafir mna wivu ?
yaani mtu anapigania Nchi yake mnamwita gaidi ?

kuna gaidi mwingine huku anaitwa Mbowe

Naona hata dini yako ufahamu unacho kiongea.

Maana ya kafari ni mtu asiye kuwa na dini.

Maana ya dini aijalishi mkristo,muislamu au dini gani ila wote wanamtaja mungu.

Yani nikuangalia kiufupi yani wewe ni moja ya watu kama ulikosekana kibiti basi tanga mapangoni au vijiweni .

Tafuta kujua kwa nini inapinga na kuwa na misimo
 
Hata hapa tunalo gaidi moja liko segerea
Ila hili ni mzungu wala sio mwajemi
Hili hapa ndiyo gaidi la kweli ambalo lipo mtaani na ambalo lilikiri mbele ya uma waziwazi bila aibu usoni kuwa litaiba kura!
7654311.png
 
Naona hata dini yako ufahamu unacho kiongea.

Maana ya kafari ni mtu asiye kuwa na dini.

Maana ya dini aijalishi mkristo,muislamu au dini gani ila wote wanamtaja mungu.

Yani nikuangalia kiufupi yani wewe ni moja ya watu kama ulikosekana kibiti basi tanga mapangoni au vijiweni .

Tafuta kujua kwa nini inapinga na kuwa na misimo
hio tafsir yako na neno KAFIR inapatikana wapi ?

kama hujui kitu kaa kimya ni hekima pia ?
 
Si ndio hawa hawa WhatsApp wanaosema communication kwenye WhatsApp ni end to end encrypted, kwamba hakuna mtu katikati anaweza kusoma. Sasa wao watafanyaje kuweka filters zao na kujua content zenye mlengo wa KiTaliban?
 
Wazungu si wakuwaamini
 
Back
Top Bottom