NBS mlichofanya kwa nafasi za watu wa maudhui ni uhuni

REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,848
7,756
Hauwezi tangaza nafasi ujatoa vigezo watu wakaomba siku ya majibu ndio utoe vigezo huo ni uhuni waiteni hao watu wakafanye usaili nafasi za UKARANI kwa sababu usaili upo ngazi ya kata na form zao zilipelekwa katani na nyie majina mnayo waiteni hao watu kwani kama ni mkataba nyie ndio mmeuvunja maana hakuwambia kuwa hizo nafasi ni za wakuu wa shule tendeni haki kwa hili
 
JMF

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
1,573
2,200
Ukishaona issue nyeti ya kitaifa kama hii wameachiwa kata, ujue hamna la maana zaidi ya ubabaishaji na uhuni. Kutokana na weledi mdogo wa kata kung'amua baadhi ya mambo, inabidi wazee na makada wa ccm na walimu wawasaidie kufanya maamuzi.

NB: Sifa za kuwa Mtendaji Kata ni elimu ya kidato cha nne na cheti (certificate tuu) ya sheria, maendeleo ya jamii, utawala au uongozi.
 
Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,279
3,860
Hawajafanya uhuni wala nini ila mmepata mlichostahili, gharama ya kukaa kimya mnaongea mwishoni ndio hii toka mwanzo mngekusanyika kupinga majina kuchujwa katani Leo hali ingekuwa shwari.

Kila mtu mwanzoni alijikuta ana connection ila nashangaa Sasa wanalalamika. In short Mimi nimefurahi sana kuona unabii wangu umetimia.

Kama jina hulioni kaa kwa kutulia, malalamiko yako hayana maana ila yatakuongezea sonona
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,848
7,756
Ukishaona issue nyeti ya kitaifa kama hii wameachiwa kata, ujue hamna la maana zaidi ya ubabaishaji na uhuni. Kutokana na weledi mdogo wa kata kung'amua baadhi ya mambo, inabidi wazee na makada wa ccm na walimu wawasaidie kufanya maamuzi.

NB: Sifa za kuwa Mtendaji Kata ni elimu ya kidato cha nne na cheti cha sheria, maendeleo ya jamii, utawala au uongozi.
Kata wao wanafanya walichopelekewa na NBS so mama makinda asijifuche aje aleleze maadudu waliyofanya kama wao wamekata majina ya watu wa maudhui kwa kujua hizo nafasi zinajazwa na wakuu wa shule kwanini hawakuweka angalizo kuwa nafasi za maudhui zitajazwa na wakuu wa shule na ikiwa Hilo zoezi waliwachiaa ngazi ya wilaya wamue basi watoe maelekezo kuwa kwa Yale maeneo ambayo mmeona watu wamaudhui wanatosha na mmekata majina yao basi waiteni kwenye usaili wa ukarani Haina manaa mtu unamuingiza gharama za uombaji wa nafasi kimtego weka sifa bayana wanawathiri vijana kisaikolijia kwa uzembe wao wao watoe fair vijana washindwe usaili siyo kuwachinjia juu kwa juu kwa hoja za uzembe wao wao
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,848
7,756
Hawajafanya uhuni wala nini ila mmepata mlichostahili, gharama ya kukaa kimya mnaongea mwishoni ndio hii toka mwanzo mngekusanyika kupinga majina kuchujwa katani Leo hali ingekuwa shwari.

Kila mtu mwanzoni alijikuta ana connection ila nashangaa Sasa wanalalamika. In short Mimi nimefurahi sana kuona unabii wangu umetimia.

Kama jina hulioni kaa kwa kutulia, malalamiko yako hayana maana ila yatakuongezea sonona
Haina maana kukaa kimya katani usiwape lawana katani wao wanafanya kutokana na muongozo wa NBS kulikuwa na maana gani NBS kusema watu waombe kupitia online at the zoezi linafanyika kawaida tukisema ni ufisadi na ufujaji wa pesa za umma tunakosea

Watu wanekaa wamejiandikia posho mwisho wa siku jukumu lile linarudi ngazi ya chini si uhuni huo na kubaini uhuni na haya madudu Ina maana walikaa kujiandikia posho kwa kazi ambayo hawakuijua
 
DullyJr

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
12,417
9,891
Kata wao wanafanya walichopelekewa na NBS so mama makinda asijifuche aje aleleze maadudu waliyofanya kama wao wamekata majina ya watu wa maudhui kwa kujua hizo nafasi zinajazwa na wakuu wa shule kwanini hawakuweka angalizo kuwa nafasi za maudhui zitajazwa na wakuu wa shule na ikiwa Hilo zoezi waliwachiaa ngazi ya wilaya wamue basi watoe maelekezo kuwa kwa Yale maeneo ambayo mmeona watu wamaudhui wanatosha na mmekata majina yao basi waiteni kwenye usaili wa ukarani Haina manaa mtu unamuingiza gharama za uombaji wa nafasi kimtego weka sifa bayana wanawathiri vijana kisaikolijia kwa uzembe wao wao watoe fair vijana washindwe usaili siyo kuwachinjia juu kwa juu kwa hoja za uzembe wao wao
Ni kosa kisheria kumweka mtu ktk nafasi ambayo hakuiomba, nafasi za usimamizi wa maudhui zipo ila ni chache.
Wapambanie hivyohivyo

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
umucyo

JF-Expert Member
Aug 12, 2020
849
695
Ukishaona issue nyeti ya

NB: Sifa za kuwa Mtendaji Kata ni elimu ya kidato cha nne na cheti cha sheria, maendeleo ya jamii, utawala au uongozi.

mbona ni sifa murua kabisa, Sheria maendeleo ya jamii, utawala au uongozi. Je ,ungepewa nafasi ungetaka wawe na sifa gani?
 
Tunkamanin

JF-Expert Member
Feb 27, 2015
951
865
Hapa nimemkumbuka JPM angeshapiga chini makinda. Waliweka nafasi za maudhui za Nini? Huu ni uchafu, kukosa utu na uungwana. Kiufupi wangetoa maelezo na kuomba samahani. Uungwana ni vitendo.
 
5 Reactions
Reply
Top Bottom