Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko.
Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea Wananchi kukimbilia Porini.
Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea...
Mahabusu ambaye alikuwa na kesi ya mauaji, Musa Haji Mchana, alipigwa na radi na kupoteza uhai Oktoba 13 kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ukanda wa Pwani.
Aidha wafungwa wanne wamejeruhiwa na radi hiyo na hivi sasa wako hospitali wakiendelea na matibabu. Wafungwa hao ni Richard Simau...
Saa 1 iliyopita
Majaji watatu walioteuliwa kusimamia kesi ya kabuga
Mahakama ya Umoja wa mataifa imewateua majaji watatu watakaosimamia kesi inayomkabili Felicien Kabuga.
Kamati ya Umoja mataifa kuhusu mahakama za uhalifu imewateua majaji hao kutoka mataifa ya Uskochi, Uruguay na Uganda...
Mauaji yametokea Njombe kijana Mlelwa kauawa Chadema hawajalaani au kutolea kauli kuwataka wanachama wao kuheshimu sheria za nchi na kanuni za uchaguzi ili kudumisha amani.
Mauaji pia yametokea Tunduma kijana akipigwa tofali hakuna tamko la Chadema.
Watu wamekatwa mapanga msikitini Zanzibar...
Mahakama moja ya kukata rufaa nchini Ufaransa imekubali kumpeleka msukiwa a mauaji ya kimbari nchini Rwanda Felicein kabuga kushitakiwa nchini Tanzania. Bwana kabuga alikamatawa nyumbani kwake nje ya mji wa Paris baada ya miaka 26 kama mtoro.
Takriban watu 800,000 waliauwa nchini Rwanda katika...
Ni mauaji ya yule kijana wa CCM kule Njombe.
Wagombea udiwani wawili na Katibu mwenezi wa kata wote wa CHADEMA na dalali wa mbao wamekamatwa kwa kuhusishwa na mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu na kada wa CCM yaliyotokea huko Njombe.
Pamoja na wao pia gari la mtuhumiwa mmojawapo limekamatwa na...
Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.
Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.
Rip Mlelwa
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu wa mkoa wa Njombe...
Baada ya kugundua swala aliyemuua alikuwa mjamzito, simba alimwondoa ndama ambaye bado hajazaliwa na kujaribu kumtikisa tena.

Tabia yake aliyo onyesha haikuwa kawaida kama simba wengine, simba huyo aliyefanya mauaji makubwa na ilionekana alikuwa amefadhaika sana na kile alichokuwa...
Akiongea mjini Rungwe leo mmoja wa vijana aliyekuwa CHADEMA na sasa amehamia CCM amekiri na kutubu dhambi zake kwamba alishiriki maandamano ya Nyololo, Morogoro na Kinondoni yaliyopelekea mauaji ya Mwangosi, Aquilina na muuza magazeti.
Kijana huyo ambaye alikuwa anaongea mbele ya makamu wa Rais...
Watu watano wamehukumiwa kifo kwa kumuua Dkt. Sengodo Mvungi
Ikumbukwe Sengodo Mvungi aliwahi kuwa
Mgombea wa Urais kupitia NCCR Mageuzi, pia mjumbe wa kamati ya katiba mpya maarufu kama tume ya Warioba.
Source TBConeline
===
Watu watano wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na...
Msumbiji: uchunguzi juu ya mwanamke aliye uchi 'alipigwa risasi mara 36'
Idara ya uangalizi wa haki inahitaji uchunguzi huru baada ya wanaume waliovaa sare za jeshi kumuua mjamzito aliye uchi uchi kaskazini restive north. .
Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Bariki Kajuni mwenye miaka 32 ambaye ni mkazi wa Makambako, Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kosa la mauaji ya Ansalemo Stawi Kisheria.
Ansalemo Stawi Kisheria alifariki dunia akiwa njiani kupelekwa Zahanati ya Isangawana kwa matibabu baada ya...
Ukweli lazima usemwe na utasimama.
Kati ya mambo muhimu ambayo Watanzania wanapata moyo na hamu ya kuendelea kumuunga mkono Rais John Magufuli ni pamoja na hili la kuondoa uhalifu na dhulma dhidi ya albino.
Kwa miaka mingi na kwa chaguzi zaidi ya tatu Tanzania ilishuhudia mauaji ya albino au...
The Saga Of Subcontracted Hit Men For Hire Who Outsourced Murder: Mtandano wa wauaji wa kukodisha waliouziana tenda ya mauaji kiasi cha Dollar 282,600.
Ndugu zangu watanzania, hii story ni fupi sana ukilinganisha na story zingine nilizowahi kuziweka humu JF, lakini inatoa funzo moja kubwa na...
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Robert Boaz na DPP Biswalo Mganga, wamewasili kwenye Kisiwa cha Ukara, Ukerewe, kwa lengo la kufanya uchunguzi ili kuwabaini wanaotenda uhalifu uliopelekea mauaji ya watu wawili kisiwani hapo na kufanya wananchi kuishi kwa hofu.
Hatua hiyo imekuja...
Aloys Ntiwiragabo, Mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi wa jeshi nchini Rwanda wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994 anatafutwa ili kujibu mashitaka yanayomkabili, baada ya Rwanda kutoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa dhidi yake Jumanne Agosti 25.
Aloys...
Gypsys Rose Blanchard alikuwa akiishi na mama yake aliyejulikana kama Dee Dee Blanchard, ambaye alikuwa akidai ya kwamba Gypsy alikuwa na matatizo ya kiafya ambayo yameathiri ukuaji wake. Watu wote kuanzia madaktari, familia na jamii kwa ujumla walikuwa wanaamini madai haya, ila ukweli ni kwamba...
Wakuu wa jukwaa,
Leo ningeomba tukumbushane, ni nini hasa kilisababisha vurugu za mwembechai mwaka 1998? Wakina nani walikuwa nyuma ya tukio lile? Wangapi walipoteza maisha? Je kuna askari ambao walichukuliwa hatua yoyote kutokana na vurugu zile?
Ahsanteni.
MAONI YA WADAU
Pia Soma...
Yanga Sc ya dar leo imeitandika Singida United kipigo cha kikatili na hasira kali cha bao 3-1
Katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa/Mkapa Dsm. Mchezo huo uliokuwa wa piga nikupige,mkali na wenye kuonesha soka la kitabuni soka la kuvutia...mchezaji wa yanga mahiri kwa jina la ykpe leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.