mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bill

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini CHADEMA hawakemei na kulaani vurugu na mauaji kipindi hiki cha kampeni?

    Mauaji yametokea Njombe kijana Mlelwa kauawa Chadema hawajalaani au kutolea kauli kuwataka wanachama wao kuheshimu sheria za nchi na kanuni za uchaguzi ili kudumisha amani. Mauaji pia yametokea Tunduma kijana akipigwa tofali hakuna tamko la Chadema. Watu wamekatwa mapanga msikitini Zanzibar...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Félicien Kabuga: Mahakama ya Ufaransa yaamuru mshukiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda ashtakiwe Tanzania

    Mahakama moja ya kukata rufaa nchini Ufaransa imekubali kumpeleka msukiwa a mauaji ya kimbari nchini Rwanda Felicein kabuga kushitakiwa nchini Tanzania. Bwana kabuga alikamatawa nyumbani kwake nje ya mji wa Paris baada ya miaka 26 kama mtoro. Takriban watu 800,000 waliauwa nchini Rwanda katika...
  3. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Njombe: Viongozi wa CHADEMA pamoja na dalali wa mbao wakamatwa kwa kuhusishwa na mauaji ya Kada wa CCM Emmanuel Mlelwa

    Ni mauaji ya yule kijana wa CCM kule Njombe. Wagombea udiwani wawili na Katibu mwenezi wa kata wote wa CHADEMA na dalali wa mbao wamekamatwa kwa kuhusishwa na mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu na kada wa CCM yaliyotokea huko Njombe. Pamoja na wao pia gari la mtuhumiwa mmojawapo limekamatwa na...
  4. J

    JamiiForums Tanzania CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

    Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa. Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria. Rip Mlelwa Maendeleo hayana vyama! Mkuu wa mkoa wa Njombe...
  5. Zacht

    JamiiForums Tanzania Mnyama mkali na katili anajutia baada ya kugundua amefanya kosa kubwa

    Baada ya kugundua swala aliyemuua alikuwa mjamzito, simba alimwondoa ndama ambaye bado hajazaliwa na kujaribu kumtikisa tena.  Tabia yake aliyo onyesha haikuwa kawaida kama simba wengine, simba huyo aliyefanya mauaji makubwa na ilionekana alikuwa amefadhaika sana na kile alichokuwa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwana-CHADEMA aliyeshiriki vurugu zilizosababisha mauaji ya Mwangosi, Aquilina na muuza magazeti atubu mbele ya Mama Samia!

    Akiongea mjini Rungwe leo mmoja wa vijana aliyekuwa CHADEMA na sasa amehamia CCM amekiri na kutubu dhambi zake kwamba alishiriki maandamano ya Nyololo, Morogoro na Kinondoni yaliyopelekea mauaji ya Mwangosi, Aquilina na muuza magazeti. Kijana huyo ambaye alikuwa anaongea mbele ya makamu wa Rais...
  7. mugah di matheo

    JamiiForums Tanzania Watu watano wahukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Dkt. Sengondo Mvungi

    Watu watano wamehukumiwa kifo kwa kumuua Dkt. Sengodo Mvungi Ikumbukwe Sengodo Mvungi aliwahi kuwa Mgombea wa Urais kupitia NCCR Mageuzi, pia mjumbe wa kamati ya katiba mpya maarufu kama tume ya Warioba. Source TBConeline === Watu watano wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na...
  8. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Video ya mauaji ya mwanamke wa Mozambique imenichefua. MUNGU ibariki Tanzania

    Msumbiji: uchunguzi juu ya mwanamke aliye uchi 'alipigwa risasi mara 36' Idara ya uangalizi wa haki inahitaji uchunguzi huru baada ya wanaume waliovaa sare za jeshi kumuua mjamzito aliye uchi uchi kaskazini restive north. . Shirika la kutetea haki za binadamu Amnesty International...
  9. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya lamshikilia kijana wa miaka 32 kwa tuhuma za mauaji

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Bariki Kajuni mwenye miaka 32 ambaye ni mkazi wa Makambako, Mkoa wa Njombe kwa tuhuma za kosa la mauaji ya Ansalemo Stawi Kisheria. Ansalemo Stawi Kisheria alifariki dunia akiwa njiani kupelekwa Zahanati ya Isangawana kwa matibabu baada ya...
  10. funaku

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amefuta mauaji ya Albino nyakati za uchaguzi

    Ukweli lazima usemwe na utasimama. Kati ya mambo muhimu ambayo Watanzania wanapata moyo na hamu ya kuendelea kumuunga mkono Rais John Magufuli ni pamoja na hili la kuondoa uhalifu na dhulma dhidi ya albino. Kwa miaka mingi na kwa chaguzi zaidi ya tatu Tanzania ilishuhudia mauaji ya albino au...
  11. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania The Saga Of Subcontracted Hit Men For Hire Who Outsourced Murder: Mtandano wa wauaji wa kukodisha waliouziana tenda ya kutisha kiasi cha Dolla 282,600

    The Saga Of Subcontracted Hit Men For Hire Who Outsourced Murder: Mtandano wa wauaji wa kukodisha waliouziana tenda ya mauaji kiasi cha Dollar 282,600. Ndugu zangu watanzania, hii story ni fupi sana ukilinganisha na story zingine nilizowahi kuziweka humu JF, lakini inatoa funzo moja kubwa na...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: DPP Mganga na DCI Boaz watua Ukara huko Ukerewe kuchunguza mauaji ya kisiasa

    Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Robert Boaz na DPP Biswalo Mganga, wamewasili kwenye Kisiwa cha Ukara, Ukerewe, kwa lengo la kufanya uchunguzi ili kuwabaini wanaotenda uhalifu uliopelekea mauaji ya watu wawili kisiwani hapo na kufanya wananchi kuishi kwa hofu. Hatua hiyo imekuja...
  13. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kimbari: Rwanda yatoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa kwa Mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi wa jeshi la Rwanda

    Aloys Ntiwiragabo, Mkuu wa zamani wa idara ya ujasusi wa jeshi nchini Rwanda wakati wa mauaji ya kimbari ya 1994 anatafutwa ili kujibu mashitaka yanayomkabili, baada ya Rwanda kutoa waranti wa kimataifa wa kukamatwa dhidi yake Jumanne Agosti 25. Aloys...
  14. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Je, huyu binti alikuwa sawa kupanga mauaji ya mama yake kwa kosa alilomtendea?

    Gypsys Rose Blanchard alikuwa akiishi na mama yake aliyejulikana kama Dee Dee Blanchard, ambaye alikuwa akidai ya kwamba Gypsy alikuwa na matatizo ya kiafya ambayo yameathiri ukuaji wake. Watu wote kuanzia madaktari, familia na jamii kwa ujumla walikuwa wanaamini madai haya, ila ukweli ni kwamba...
  15. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Nini hasa kilisababisha vurugu za Mwembechai mwaka 1998?

    Wakuu wa jukwaa, Leo ningeomba tukumbushane, ni nini hasa kilisababisha vurugu za mwembechai mwaka 1998? Wakina nani walikuwa nyuma ya tukio lile? Wangapi walipoteza maisha? Je kuna askari ambao walichukuliwa hatua yoyote kutokana na vurugu zile? Ahsanteni. MAONI YA WADAU Pia Soma...
  16. Dam55

    JamiiForums Tanzania Riwaya; Mauaji ya kasisi

    RIWAYA: MAUAJI YA KASISI MTUNZI: richard MWAMBE Simu: +255 766 974865 UTANGULIZI MAUAJI YA KASISI © Richard Richard Mwambe Ni kizaazaa katika jiji la Nairobi, Kasisi wa kanisa katoliki anauawa katika lango kuu la kuingilia kanisani hapo mapema alfajiri. Sajini Maria na wasaidizi wake...
  17. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yanga yafanya mauaji - Yatuma ujumbe wa kutisha kwa Simba

    Yanga Sc ya dar leo imeitandika Singida United kipigo cha kikatili na hasira kali cha bao 3-1 Katika mchezo uliochezwa uwanja wa Taifa/Mkapa Dsm. Mchezo huo uliokuwa wa piga nikupige,mkali na wenye kuonesha soka la kitabuni soka la kuvutia...mchezaji wa yanga mahiri kwa jina la ykpe leo...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini, Dotto Biteko tunasubiri tamko la Serikali kuhusu mauaji ya wachimbaji wadogo wadogo

    Kufuatia mauaji ya wachenjuaji wapatao wanne waliokatwa mapanga huko ntambalale kahama niwakati sasa wachimbaji wapewe hadhi yao katika kazi zao kwa kupewa ulinzi ktk maeneo yao yakazi. Haiwezekani kila siku media zinawasifu wachimbaji wadogo kwa kuongeza mapato ya serikali lakini usalama wao...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa sugu wa mauaji mbaroni

    Mtuhumiwa sugu wa mauaji na uvunjaji nyumba aliyekuwa akisakwa kwa muda mrefu na Jeshi la Polisi mkoani Tabora, amekamatwa kutokana na msako mkali uliofanywa maeneo mbalimbali. Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Barnabas Mwakalukwa alisema...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi mkoa wa Mbeya lakamata watuhumiwa wa tukio la mauaji, akiwemo Polisi

    JESHI la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wanne akiwemo Askari Polisi mmoja namba G.8695 PC JOHN KAIJAGE [34] Mkazi wa Isyesye Jijini Mbeya, FOTUNATUS KAGANDE [23] Mkazi wa Iwambi, PETSON DANIEL [22] Mkazi wa Iwambi na JASTINI KAGANDE [27] Mwanafunzi St.John na Mkazi wa Iwambi kwa...
Back
Top Bottom