mauaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    JamiiForums Tanzania Ashikiliwa mauaji ya mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu

    .
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Misri yatekeleza adhabu ya kifo kwa watu 11 baada ya kukutwa na hatia ya mauaji

    Mamlaka nchini Misri zimetekeleza adhabu ya kifo watu 11 siku ya Jumanne baada ya kuwakuta na hatia ya mauaji, chanzo kimoja ndani ya vyombo vya usalama vya Misri kimeiambia Shirika la Habari la AFP kwa sharti la kutotajwa jina. Adhabu hiyo ya kifo imetekelezwa katika gereza la Borg al-Arab...
  3. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Italia yaiomba UN kuchunguza mauaji ya Balozi wake

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia ameuomba Umoja wa Mataifa kufanya uchunguzi kuhusiana na mauaji ya balozi wake nchini DRC katika shambulizi la kushtukiza. Mwana Diplomasia Luca Attanasio, mwenye umri wa miaka 43, aliuwawa siku mbili zilizopita baada ya msAfara wa magari ya Shirika la Mpango wa...
  4. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya Januari 26/27 , 2001 na Madai ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya

    *MAUAJI YA JANUARI 26/27 NA MADAI YA KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI CUF- Chama Cha Wananchi kinaendelea na Maandalizi ya Maadhimisho ya Mashujaa wa Chama waliouawa kinyama Januari 26 na 27 mwaka 2001. Kama tunavyokumbuka Mauaji makubwa na ya Kinyama yalifanywa na Utawala wa CCM tarehe...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mjue mwanasheria aliyeshinda kesi nyingi za mauaji

    Sir Lionel Luckhoo amezaliwa Machi 2, 1914 New Amsterdam na alifariki Desemba 12, 1997. Alikuwa mwana sheria kuanzia mwaka 1940 hadi 1985 Mwaka 1990 aliingia rasmi kwenye kitabu cha rekodi za dunia cha Guinness kama mwanasheria aliyeshinda kesi nyingi za mauaji ambapo alishinda kesi 245 Ni...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Papa Francis: Kukwepa chanjo ya Covid-19 ni mauaji ya kujitakia

    Kiongozi wa kanisa katoliki duniani Papa Francis ameiita hatua ya watu kukwepa kupata chanjo ya Covid-19 ni mauaji ya kujitakia akisema wale wanaokataa chanjo hiyo wanacheza na afya zao na pia maisha ya watu wengine. Kiongozi huyo mkuu wa kidini kwa upande mwingine amethibitisha kwamba binafsi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kuelekea mtanange wa kimataifa, Simba yafanya mauaji ya 'kimbari'. Yampasua mtu 5

    Ni 5G. Pongezi Gadiel Michael Kamagi, C. Mugalu,Moquisone, M.Kagere na beki kitasa Ame. Kongole kwa S.Ndemla kwa attempts za hatari..S.S.C na sisi mashabiki tunajivunia Kahata, Ajib kwa zile mov'ts zao za hatari. Kwa performance ile Kombe la FA, Kombe la VPL 2021 lazima vitue pale...
  8. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Ni nani alifuatilia mauaji ya Giulio Regeni? Mwanafunzi wa Italia aliyetekwa nyara Misri kisha kuuawa kwa tuhuma za ujasusi

    EGYPTY - ITALY ON THE VERGE OF DIPLOMATIC STANDOFF: Mvutano mkubwa wa kidiplomasia baina ya Italia na Misri juu ya kifo cha mwanafunzi Giulio Regeni. Mnamo Septemba 5, Misri na Italia zilianza tena uhusiano wao wa kidiplomasia baada ya mwaka mmoja na nusu, wakimrudisha Balozi wa Italia...
  9. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Alipanga mauaji ya familia yake kisa kuficha ukweli kuwa hakuwa anasoma chuo

    Tarehe 23, Desemba mwaka 2003, Katika kitongoji cha Sugar Land Texas, yalipo makazi ya watu wenye ukwasi kusini Mashariki mwa Houston, kulitokea tukio la mauaji ya kutisha. Familia ya watu watano ilichapwa risasi na kibaka aliyevamia nyumba yao. Bart Withtaker na mdogo wake Kevin walikuwa ni...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania raha sana ila mauaji na mateso wakati wa uchaguzi yanatuharibia aina ya maisha yetu

    Wacheni masihara Tanzania kama Tanzania ina maisha ya raha yaliyojaa undugu baina ya watu wa rika mbalimbali, matajiri na masikini alie na kazi na asie na kazi, kwa kweli tumeridhika na hali zetu kama nchi na raia wake. Tulizoea uchaguzi kama moja ya starehe za ndani ya nchi kwa miaka kumi au...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN: Idadi ya mauaji ya wanawake ni sawa na wanaokufa vitani

    Mkurugenzi Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres ameandika kuwa kwenye baadhi ya maeneo duniani, kiwango cha mauaji ya wanawake ni sawa na wanaokufa katika uwanja wa vita. Aliandika hayo siku moja kabla ya Siku wa Kimataifa ya Kupunguza Ukatili dhidi ya Wanawake, ambayo huadhimishwa...
  12. The Mongolian Savage

    JamiiForums Tanzania Kidon kikosi maalum cha mauaji ndani ya Mossad kilichomuua Alqaeda number 2 katikati ya jiji la Tehran Iran

    Abu Mohammed al-Masri, mmoja wa wanachama waanzilishi wa kundi la kigaidi Alqaeda , aliuawa kwa risasi tano zilizopigwa kutoka kwa bastola ya silencer alipokuwa amekaa kwenye gari lake katika mji mkuu wa Iran wa Tehran mnamo Agosti. Aliuawa pamoja na binti yake Maryam mwenye umri wa miaka 27...
  13. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Askari wanne wa SMZ na maofisa 3 wa Idara ya Misitu mbaroni kwa mauaji ya Katibu wa ACT-Wazalendo tawi la Mwembemakumbu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja linawashikilia askari wanne wa vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na maofisa watatu wa Idara ya misitu kwa tuhuma za mauaji ya Katibu wa ACT Wazalendo tawi la Mwembemakumbu, Said Salum Suleiman. Video hii inamuonyesh SAID MMANGA...
  14. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Jumuiya ya Madola yatoa taarifa rasmi kusikitishwa na yaliyotokea Tanzania kipindi cha uchaguzi mkuu ikiwemo udanganyifu na mauaji

    The Commonwealth Secretary-General, The Rt Hon Patricia Scotland QC, has strongly urged authorities to investigate allegations regarding the recent general election in the United Republic of Tanzania of serious electoral irregularities, violence and of deaths, particularly in Zanzibar...
  15. Richard

    JamiiForums Tanzania Serikali na Polisi sasa waanze kujibu uzuri madai na tuhuma zinazorushwa mitandaoni na Vyombo vya Habari vya kimataifa

    Mitandao ya kijamii ni eneo pana na lenye kuweza kuwekwa picha mbambali za video iwe za miaka ya nyuma, miaka hii au hivi karibuni. Kwasababu la kiusalama inawezekana kabisa kuzuia mitandao isiwezeshe video za namna hii kutumika kueneza uchochezi na uvunjifu wa amani katika nchi yetu bila...
  16. MURUSI

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif akamatwa wakati akienda kupiga kura ya mapema

    Kuna update: Update 2: Maalim Seif alazimishwa kurudi nyumbani. Vipigo vyaendelea kutembezwa - Imevuja!
  17. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Mwanamfalme atuhumiwa kwa kuagiza mauaji ya mwandishi wa Saudia, Jamal Khashoggi

    Mchumba wa mwandishi wa Saudia Jamal Khashoggi aliyeuawa nchini Uturuki amewasilisha kesi mahakamani dhidi ya mwanamfalme wa Saudia, akimtuhumu kwa kuagiza mauaji hayo. Inaelezwa kuwa Kashogi aliachana na Kundi la wasomi wa Saud Arabia tangu mwaka 2017 na baadae kuhamia Washington ambao...
  18. Wasomba

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kuna jambo baya linaendelea Mtwara...

    Nimearifiwa na mmoja wa wahanga kuwa katika kijiji cha Kitaya kilichopo katika Halmashauri ya Nanyamba huko Mtwara kuna hali tete inaendelea huko. Kijiji kimevamiwa na watu wenye risasi za moto hali iliyopelekea Wananchi kukimbilia Porini. Mpaka asubuhi hii risasi zilikuwa zinaendelea...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rufiji, Pwani: Mahabusu aliyekuwa na kesi ya mauaji afariki kwa kupigwa na radi

    Mahabusu ambaye alikuwa na kesi ya mauaji, Musa Haji Mchana, alipigwa na radi na kupoteza uhai Oktoba 13 kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha ukanda wa Pwani. Aidha wafungwa wanne wamejeruhiwa na radi hiyo na hivi sasa wako hospitali wakiendelea na matibabu. Wafungwa hao ni Richard Simau...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania UN yawateua Majaji watatu watakaosimamia kesi ya mshukiwa wa mauaji ya kimbari Rwanda, Felicien Kabuga

    Saa 1 iliyopita Majaji watatu walioteuliwa kusimamia kesi ya kabuga Mahakama ya Umoja wa mataifa imewateua majaji watatu watakaosimamia kesi inayomkabili Felicien Kabuga. Kamati ya Umoja mataifa kuhusu mahakama za uhalifu imewateua majaji hao kutoka mataifa ya Uskochi, Uruguay na Uganda...
Back
Top Bottom