CCM Taifa yalaani mauaji na kifo cha mwenyekiti wa UVCCM vyuo vikuu mkoani Iringa komredi Mlelwa. Rais Magufuli aagiza wauaji kusakwa

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,615
141,439
Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.

Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.

Rip Mlelwa

Maendeleo hayana vyama!

Mkuu wa mkoa wa Njombe Injinia Marwa amesema kufuatia agizo la Rais Magufuli la kuvitaka vyombo vya dola kuwasaka kwa nguvu zote wauaji wa kiongozi wa UVCCM Mlelwa, tayari msako mkali umeanza.

RC Marwa amesema haijalishi kama wahusika ni watu binafsi au chama cha siasa wakipatikana watashughulikiwa kikamilifu.

Emmanuel Mlelwa amezikwa leo kijijini kwao huko Ludewa mkoani Njombe.

Rip Mlelwa

Mlelwa.jpg
Mlelwa2.jpg

Chanzo: ITV habari

Siasa siyo Uadui
 
Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.

Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.

Rip Mlelwa

Maendeleo hayana vyama!
Bwashe ni lini Polepole na chama watapokea taarifa ya kifo Cha Daudi Mwangosi, Akwelina na Alfonce Mawazo kwa masikitiko makubwa? Ikibidi kuitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa dhati na wa haraka? Hao nao ni raia wema wa nchi hii, wenye familia na wapendwa wao. Tusiwe wabaguzi!
 
Weka taarifa kamili . Kafariki lini na kwa namna gani ?
 
Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.

Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.

Rip Mlelwa

Maendeleo hayana vyama!
Kuna kipindi haraka haraka alikuwa huko, huyu jamaa na kundi lake waliwafanyia zihaka za kila wale waliotofautiana kiitikadi!! hata wachawi huwa wanakufa au kufiwa nao huwa wanahisi maumivu Kama wengine! Mungu amuweke mahari anapositahili.
 
Kwa uchungu na masikitiko makuu CCM imezipokea taarifa za mauaji ya mwenyekiti wa Uvccm vyuo vikuu mkoa wa Iringa komredi Mlelwa.

Polepole amelitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi haraka na kuchukua hatua stahiki za kisheria.

Rip Mlelwa

Maendeleo hayana vyama!
Tatizo la kuzoea kuchinja, NCCR viongozi wake walitekwa na kukatwa masikio Polepole hakufungua mdomo wake hata polisi walinyamaza, hata hivyo mama Mgwira mkuu wa mkoa angalau alithubutu kukemea.
 
Bwashe ni lini Polepole na chama watapokea taarifa ya kifo Cha Daudi Mwangosi, Akwelina na Alfonce Mawazo kwa masikitiko makubwa? Ikibidi kuitaka jeshi la polisi kufanya uchunguzi wa dhati na wa haraka? Hao nao ni raia wema wa nchi hii, wenye familia na wapendwa wao. Tusiwe wabaguzi!
Kwani chadema mmeshindwa kulaani?
Kama mmeshindwa mwambieni mwamakula na katimba walaani badara yenu.
 
CHADEMA imelaani vikali tukio hilo la mauaji ya kada wa CCM. Mauaji ya watu sio itikadi wala sio sera ya CHADEMA na vyama vya upinzani hapa Tanzania.

Siasa za kuuana, kutekana, kupotezwa na watu wasiojulikana zimebarikiwa na kulindwa mnoo na serikali ya awamu ya tano chini ya CCM.
 
Back
Top Bottom