matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Quinton Canosa

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya mafuta ya Olive ni nini?

    Habari wadau wa JF. Nilikuwa naomba msaada wa haya mafuta yanatumikaje maana ninayo muda mrefu sijui matumizi yake, msaada please.
  2. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Matumizi Bora ya Friji

    Friji hutumika kuhifadhi vyakula vya aina mbalimbali ili visiharibike mapema. Friji ikitumiwa vyema husaidia sana katika uhifadhi wa vyakula lakini isipotumiwa vizuri huweza kusababisha hasara na magonjwa kwa mtumiaji. Joto la Friji Joto la friji halitakiwi kuwa zaidi ya nyuzijoto 5 za...
  3. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya fedha ni adui wa mafanikio

    Pesa hii ina majina mengi hii ni kutokana na mahali husika wapo wanaita pesa ni sadaka, nauli, zaka, fungu la kumi, Ada, kodi na majina mengine mengi. pesa hiyo ndiyo ambayo hujenga mtafauruku baina ya mtu mmoja na mwingine. Pesa hiyo hiyo tunaimbiwa haina undungu kabisa biana ya mtu mmoja na...
  4. sherberry

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

    Heshima kwenu wakuu. Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe. Nawasilisha na natamani kujua kama ni kweli.
Back
Top Bottom