matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. AUGUSTINO CHIWINGA

    JamiiForums Tanzania Wanaojenga hoja kuhusu Matumizi ya ruzuku kwenye vyama vya siasa wasikilizwe, ni fedha za walipa kodi lazima wajue zinavyotumika

    Nimekua nafuatilia mijadala mbalimbali inayohusu matumizi ya fedha za ruzuku kwenye vyama vya siasa. Wapo wanaosema kwamba fedha hizo ni jukumu la chama husika kupanga bajeti ya matumizi na haipaswa mtu mwingine kuhoji wala kujua matumizi yake, na lipo kundi la pili linalosema kwamba...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Fatuma Karume: Matumizi ya fedha mabaya ni rushwa?

    fatuma Karume ameuliza je Matumizi ya mabaya ya fedha ni RUSHWA? Au ni kazi ya CAG? Waseme kuna KESI YA RUSHWA. Wasituambie matumizi MABAYA maana hata Serikalini, CAG kabaini kuna MATUMIZI MABAYA ya fedha, lakini haina maana ni RUSHWA chini ya SHERIA ya RUSHWA!!! Mamlaka ya PCCB ni kwa makosa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tunapoambiwa Siku zote kuwa Bangi / Bange si nzuri kwa Matumizi ya Binadamu tujaribu kuwa Wasikivu tafadhali

    " Sio kwamba tumemtelekeza Idris Sultan bila sababu, yeye anajiita msanii lakini mimi sijawahi kuona sanaa yake. Najua ni mtu aliyeshiriki Big brother ambapo tunafahamu ni jumba lisilo na heshima, ndio maana hata serikali imepiga marufuku " @afandesele_king, Msanii wa Muziki Chanzo Taarifa...
  4. MC RAS PAROKO

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kuzingatia kabla hujaanza matumizi ya pesa

    Kwa muda huu kila jambo ni gumu kwa sababu hakuna aliyeona au kuhis haya yangetokea ktk kizaz chetu. Ila yameshatokea na yametupa mafundisho ambyo hakuna aliyewahi kufkir angeyasoma kwa njia ngumu kiasi hiki. Si biashara si ajira kila mmoja anapigania uhai wake, Nitakupa mbinu 5 kwa leo ambzo...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hivi Matumizi ya internet kwa mtandao wa Vodacom yako vipi?

    Wakuu nauliza hivo maana kilichotokea wala sijaamini Yaani 1GB imeisha kwa kudownload apps mbili tu na kutumia whatsapp ndani ya dakika 10 Hii kali sasa
  6. J

    JamiiForums Tanzania Bunge lataka Serikali imchukulie hatua Dkt. Kigwangalla kwa matumizi mabaya ya fedha alizowagawia wasanii

    Wabunge wameitaka Serikali kutofumbia macho ubadhirifu wa fedha uliofanywa na Wizara ya Maliasili na Utalii ukiwatumia baadhi ya wasanii wa hapa nchini. Wakijadili ripoti ya CAG wabunge hao wakiongozwa na mbunge wa Nachingwea wamesema ifike wakati Serikali iwathibitishie wananchi kuwa ni kweli...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

    Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja sh.30000/- kila mmoja yaani umeme wa sh.60,000/- ndiyo unatosha kumaliza mwezi eti kwa kuwa kila mmoja ana TV screen na kwamba kwa Siku TV moja inatumia units mbili,naomba anayeujua ukweli aijuze tafadhali!
  8. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yawataka wanaosema kuna matumizi mabaya ya fedha kwenye chama waweke ushahidi hadharani

     CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewataka wabunge wenye ushahidi juu ya tuhuma za matumizi mabaya ya fedha, kuuweka hadharani. Kauli hiyo ya Chadema imetolewa jana Jumamosi tarehe 23 Mei 2020, na Benson Kigaila, Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho Bara, kufuatia wimbi la wabunge...
  9. Nkoboiboi

    JamiiForums Tanzania Utengenezaji wa Sabuni za Aina Mbalimbali: Fahamu Mahitaji, Mchakato wa Uzalishaji na Masoko

    Tafadhali wana JF wenzangu, Anayeweza kunifundisha kutengeneza sabuni naomba tuwasiliane haraka. Nina soko kubwa. WADAU WENGINE WENYE KUHITAJI KUFAHAMU BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU MBALIMBALI
  10. Sanitaiza

    JamiiForums Tanzania Uzoefu na Matumizi ya Additives za Kwenye Magari

    Wakuu, Kwanza Eid Mubarak! Naomba kujifunza kutoka kwenu Wakuu kuhusu additives za kuweka kwenye engine au gear box kwenye gari. Kwenye kausafiri kangu, naona kitu kama leakage kwa mbali kwenye gear box. Hivi kuna ukweli kuwa nikiweka additive itazuia hiyo leakage? Sipendagi sana kufungua...
  11. The MVP Tricks

    JamiiForums Tanzania Bahasha za kuwekea dawa, picha, passport, urembo, simu na matumizi ya ofisini kwako

    Habari ya muda huu mpenzi msomaji wa makala hii. Mi naitwa DEOGRACIUS JOSHUA, Mkurugenzi na mmoja wa wamiliki wa kiwanda kidogo Cha vifungashio au mifuko mbadala kiitwacho DEO VIFUNGASHIO kukiwa chini ya DEO & FRANK Company Mkoani Dodoma, dodoma mjini. Tunapenda kuwataarifu enyi wamiliki wa...
  12. ronnycharlz

    JamiiForums Tanzania Internet yenye thamani nzuri kwa matumizi makubwa ya internet (100GB+ kwa mwezi)

    Kwa mtu mwenye matumizi makubwa ya data - tuseme 100GB kwa mwezi - Ni huduma gani ya internet nzuri? sio lazima iwe mtandao wa simu, matumizi ni kwenye PC. Ni kwa ajili ya matumizi binafsi.
  13. figganigga

    JamiiForums Tanzania Tanzania yapokea Msaada wa Dawa ya kufubaza COVID-19 kutoka Madagascar

    Serikali ya Tanzania imepokea msaada wa dawa ya kutibu na kujikinga na ugonjwa wa COVID-19 unaosababishwa na Virusi vya Corona uliotolewa kwa Tanzania na Nchi ya Madagascar, Msaada huo umepokelewa na Waziri wa Mambo ya Nje Prof Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi. Ndege maalum ya ujumbe...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa matumizi ya Barakoa (masks) katika kukinga dhidi ya maambukizi ya Virusi vya Corona

    UTANGULIZI Barakoa (mask) ni kikinga pua na mdomo na ni nyenzo muhimu inayoweza kutumika kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya vimelea vya maradhi kupitia njia ya hewa. Kuna aina mbalimbali za barakoa ambazo huandaliwa kwa madhumuni tofauti. Zipo aina kuu tatu (3) za barakoa ambazo zinaweza...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu ulaji wa mafuta wa Toyota IST

    habari za jioni wapendwa, Hivi karibuni nimenunua gari Toyota IST CC1490 ya 2004. Full tank ni litre 38. Naweza kutembelea full tank km 360 full Ac. ni sawa au hapa hichi ni kimeo. Ushauri Wakuu
  16. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Matumizi mazuri ya dola, uadilifu na Uchapakazi umeijengea imani CCM kwa wananchi

    Hili halina ubishi kabisa kwa sababu kila mtanzania anaona kwa macho yake namna serikali ya awamu ya tano ilivyoweza kufanya mambo makubwa kwa muda mfupi kabisa. Mfano ni utekelezaji wa mradi mkubwa ambao utakuwa mfano mkubwa wa kuigwa mradi wa tril 6+ za kitanzania ambao umepewa jina la JNHPP...
  17. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Serikali lugha gongana: Wizara ya Afya inakataza matumizi ya barakoa za nguo kujilinda na COVID-19, Wizara ya Viwanda yahimiza zitengenezwe kwa wingi

    Yaani nchi hii ni pasua kichwa. Makosa yaliyofanywa na kina JK, Oktoba 2015 ni dhambi kubwa sana ambayo sidhani kama Mungu atawasamehe. Pathetic!!
  18. simplemind

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kuhimiza matumizi ya baskeli kukabiliana na Corona Virus

    France to pay 50 euros per person for bike repairs to boost cycling post-lockdown "(Reuters) - France will contribute 50 euros per person towards bicycle repairs after a nationwide coronavirus lockdown ends on May 11, taking an innovative step to encourage cycling and keep cars off city...
  19. The Humble Dreamer

    JamiiForums Tanzania TCRA: Namba za simu zisitumike kutoa taarifa kuhusu majanga hapa nchini. Atakayekiuka agizo hili kukiona

    Wakuu Salaam; 👇👇 Hii ni taarifa kwa umma iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania kuhusu matumizi sahihi ya namba za simu.
  20. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Kiingereza; Fahamu matumizi ya "which" na 'that"

    Washwahili wengi hatujui matumizi ya "which" na "that" katika kiingereza. Kwa vile maneno hayo yanaweza kuwa na maana moja katika kiswahili, basi huwa tunependa sana kutumia "which" hata mahala ambapo ni pa "that." Maneno hayo japo yote yananuganisha vipande viwili vya sentence huleta maana...
Back
Top Bottom