Akata Korodani za mumewe kisa kamnyima tu Shilingi Elfu Kumi ( Tsh. 10,000/= ) ya matumizi kuelekea Pasaka hii ngumu

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,466
108,621
Na nyie Wanaume wenzangu hebu muwe Kwanza mnaangalia na Wanawake wa Kuwaowa na si Kukurupuka kama hivi hatimaye Mkeo mwenyewe ambaye umemtolea Mahari, Unamlisha, Unamvalisha na kumpa Huduma zote Stahili halafu leo anazikata kabisa( Korodani ) zako Kikatili hivi.

Wanawake wa Siku hizi ‘ Mmerogwa ‘ na nani?

Habari kamili Soma Gazeti la Mtanzania la leo tarehe 11 April, 2020 Ukurasa wa Pili.
 
kutakua na sababu ingine mbali na hio kwa kweli waseme ukweli tu
 
kutakua na sababu ingine mbali na hio kwa kweli waseme ukweli tu


Ukweli gani wakati habari hii ni uongo, wewe unafikiri kukatwa hicho kiungo ni kazi rahisi hivyo?? Muhanga alikuwa kalewa??!! --- kwanini akate hicho kiungo au alikuwa hajala nyama kwa muda mrefu, alitaka akapike???🤣🤣
 
Ukweli gani wakati habari hii ni uongo, wewe unafikiri kukatwa hicho kiungo ni kazi rahisi hivyo?? Muhanga alikuwa kalewa??!! --- kwanini akate hicho kiungo au alikuwa hajala nyama kwa muda mrefu, alitaka akapike???
Hahahaha umewaza kwa sauti kama mm
 
Back
Top Bottom