matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    China kuzuia matumizi ya fedha za noti ikiwa ni njia ya kuzuia ueneaji wa Virusi hatari vya Ccorona

    Serikali ya China imesema kuwa itazuia matumizi ya fedha za noti (fiat currencies) ikiwa ni njia ya kuzuia ueneaji wa virus hatari vya corona Serikali imesema pia itazitibu fedha zote katika majimbo yaliyoathirika zaidi na virus vya corona na kuziweka kwenye qurantine kwa muda wa zaidi ya siku...
  2. Usindikaji na uhifadhi wa nyanya kwa matumizi ya baadae

    Kumekuwepo na utaratibu wa wakulima wetu kulima zao hili kwa pamoja, hii inatokana na hali ya hewa ya mahali husika pamoja na utaratibu wa watu kufanya kama wengine. Hali hii husababisha zao la nyanya kushuka ghafla bei sokoni kutokana na wingi wa nyanya. Tumeshuhudia watu wakipata hasara kubwa...
  3. B

    Matumizi mabaya ya Ofisi na ubadhilifu ndani ya Ngorongoro

    MATUMIZI MABOVU YA OFISI NDANI YA HFADHI YA NGORONGORO Mheshimiw Rais shikamoo. Napenda kukupa pole wewe na serikali yako yote kwa ujumla kwa majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa letu. Mwenyezi Mungu aendelee kuwapa nguvu na hekima ili tuweze kufikia malengo tuliyojiwekea kama Taifa Watanzania...
  4. Matumizi ya Falcon na Pigeon katika kupiga picha maeneo nyeti

    Ndege waliotajwa hapo juu Falcon (kipanga) Pigeons (njiwa) huweza kutumika kupiga picha za siri katika maeneo nyeti ya siri au hata maeneo ya kijeshi yasiyoruhusiwa raia. Ndege hawa wanapopita kwenye maeneo nyeti ni hatari sana kwasababu sio rahisi kuona gadgets zilizovikwa (attached) kwa...
  5. Huwa unatumia kiasi gani cha pesa kwa siku?

    Tuambizane hivi kwa siku huwa unatumia shilingi ngapi kwa matumizi yako? Mimi kwa siku huwa natumia 2000 tu yaani nikizidisha sana 3000 tena hapo naona nimevuka kiwango Vipi wewe mwenzangu? Sent using Jamii Forums mobile app Update:Maisha yamechange sasahivi natumia 6000 per day weekend ndo...
  6. Matumizi ya mafuta ya Olive ni nini?

    Habari wadau wa JF. Nilikuwa naomba msaada wa haya mafuta yanatumikaje maana ninayo muda mrefu sijui matumizi yake, msaada please.
  7. Matumizi Bora ya Friji

    Friji hutumika kuhifadhi vyakula vya aina mbalimbali ili visiharibike mapema. Friji ikitumiwa vyema husaidia sana katika uhifadhi wa vyakula lakini isipotumiwa vizuri huweza kusababisha hasara na magonjwa kwa mtumiaji. Joto la Friji Joto la friji halitakiwi kuwa zaidi ya nyuzijoto 5 za...
  8. Matumizi mabaya ya fedha ni adui wa mafanikio

    Pesa hii ina majina mengi hii ni kutokana na mahali husika wapo wanaita pesa ni sadaka, nauli, zaka, fungu la kumi, Ada, kodi na majina mengine mengi. pesa hiyo ndiyo ambayo hujenga mtafauruku baina ya mtu mmoja na mwingine. Pesa hiyo hiyo tunaimbiwa haina undungu kabisa biana ya mtu mmoja na...
  9. Matumizi ya chumvi kuondoa mikosi

    Heshima kwenu wakuu. Kuna hii dhana ya matumizi ya chumvi kuondoa mikosi katika maisha, hivi hii kitu ni kweli na inafanyaje kazi niliona sehemu watu wakitoa ushuhuda kuhusu wao kuchoma chumvi na ikawatendea kama vile walivotamani iwe. Nawasilisha na natamani kujua kama ni kweli.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…