Wabana matumizi plus, tunga bajeti yako hapa kwa vipato hivi ukiwa kama mwanafunzi chuoni

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,032
Weka mawazo ya bajeti yako endapo unapokea kwa mwezi shilingi laki moja 100,000/= ukiwa chuoni

hapa tunakadiria kwamba mtu alishalipia gharama ya chumba kwenye hostel ya wanafunzi, hivyo hatasumbuliwa
 
100000/-
Nanunua dagaa kilo 2..10000/-
Maharage 2kgs....5000/-
Sembe 5kg...5000/-
Mchele 3kgs...4500/-
Mafuta kupikia 1ltr...3000/-
Ngano 1kg...1300/-
Sukari 1kg 2600/-
Total 31,100/--

Mengineyo..
Pamba ya kike 2000/-
Parachute ndogo 3000/-
Total 5000/-
Jumla kuu 36,100/-
 
100000/-
Nanunua dagaa kilo 2..10000/-
Maharage 2kgs....5000/-
Sembe 5kg...5000/-
Mchele 3kgs...4500/-
Mafuta kupikia 1ltr...3000/-
Ngano 1kg...1300/-
Sukari 1kg 2600/-
Total 31,100/--

Mengineyo..
Pamba ya kike 2000/-
Parachute ndogo 3000/-
Total 5000/-
Jumla kuu 36,100/-
Hujaweka bajeti ya gesi au mkaa utakaopikia, umeme, maji, kodi nk
 
Ila Tanzania raha saana... hapa nyumbani pazuri saana.

Ukitaka kujua nyumbani patamu ni kwenye vyakula.

Mkuu samahani nimetoka nje ya mada.
 
Kwa mwezi laki moja mkuu...?

Sheee..eroo mimi nisingepanga hata bajeti. Nimiipokea tu nasogelea mgahawa wa karibu nakula vitu nikimaliza ndiyo nahesabu kilichobaki.
 
Unakula nn mwezi mzima cha elf 50? Vocha hununui? Soda je? Maji ya kunywa? Kulipa kodi? Hela ya umeme?

All in all we ni konyo
Mkuu mimi siyo mlaji sana.

Vocha nanunua mara moja moja maana su mzungumzsji sana wa simu.

Binafsi natumia sana internet, nikiwa sina kabisa pesa ya bundle JF natumia Freebasics.

Kodi ni kila baada ya miezu 4.
 
Ujinga wa kubana matumizi ulifanya ufaulu wangu chuoni ukawa chini.​
Ilifika kipindi unachonga na wapishi wa caftelia unaandaliwa special menu yani ukoko.​
Mbaya zaidi nikawa najibana kumsaidia demu wangu ili baadae nije nimuoe.​
Baada ya kumaliza chuo demu akanipiga chini.​
Nilijikondea kama nimefanyiwa operation ya utumbo.​
We kula tu usihangaike kujibana ikiisha omba nyumbani wakutumie maana bado ni mwanafunzi.​
 
Ujinga wa kubana matumizi ulifanya ufaulu wangu chuoni ukawa chini.​
Ilifika kipindi unachonga na wapishi wa caftelia unaandaliwa special menu yani ukoko.​
Mbaya zaidi nikawa najibana kumsaidia demu wangu ili baadae nije nimuoe.​
Baada ya kumaliza chuo demu akanipiga chini.​
Nilijikondea kama nimefanyiwa operation ya utumbo.​
We kula tu usihangaike kujibana ikiisha omba nyumbani wakutumie maana bado ni mwanafunzi.​


🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
100000/-
Nanunua dagaa kilo 2..10000/-
Maharage 2kgs....5000/-
Sembe 5kg...5000/-
Mchele 3kgs...4500/-
Mafuta kupikia 1ltr...3000/-
Ngano 1kg...1300/-
Sukari 1kg 2600/-
Total 31,100/--

Mengineyo..
Pamba ya kike 2000/-
Parachute ndogo 3000/-
Total 5000/-
Jumla kuu 36,100/-
Unapikia kwenye mkaa kuni au gas?
 
Back
Top Bottom