matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    JamiiForums Tanzania Tujadili: Matumizi ya camera/web-cameras kwenye vituo vya kupigia kura, kwa ajili ya kuongeza uaminifu na kuzuia hujuma ndani ya vituo

    Wapwa, Tujadili, matumizi ya teknohama yanazidi kukua kila siku, teknohama imekuwa nyenzo kubwa ya uhuru wa mawasiliano na habari. Najaribu kufikiria vipi kama Tanzania kwa kujali umuhimu wa teknolojia, tukaamua kutumia camera kwenye vituo vya kupigia kura, je itasaidia kuongeza...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya akili kuwaacha wananchi wafe/wakinamama wajifungue njiani wakienda kwa miguu hospitali then uwasombe kwa gari wakati wa kampeni

    Siwezi sahau siku niliposimamishwa njiani na mama aliyevaa flana ya kijani akiwa na mwanae wakike aliyekaribia kujifungua. Kwanza nilimpita, lakini nilipofika mbele kidogo huruma ilinijia nikaamua kurudi kuwachukua na kawapeleka mpaka hospitalini. Baada ya kuwashusha yule mama alisema asante...
  3. SlimFit

    JamiiForums Tanzania Tabia ya kutofuata miiko ya matumizi ya silaha, Aliyoyafanya "Ukiwaona" almanusura nifanyiwe mimi

    Salamu na Utangulizi Waungwana naamini mpo salama nami kwa kudra zake Muumba nipo salama. Tuwaombee wenzetu ambao kwa namna moja au nyingine afya zao si nzuri zipate kuimarika na warudi katika shughuli zao. Binafsi si muandishi wa mada humu jukwaani, ila ni mdau mzuri wa kuchangia hoja...
  4. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Ushauri wangu juu ya matumizi ya picha na icon fonts wakati kusanidi project zetu

    Kwa wale mnaoendelea kutumia picha kuwa kama icons inatosha sasa, kwa wale wanaotumia icon fonts mjitahidi kufanya ntakayoeleza!. Hakika inasumbumbua na italeta shida kwenye project yako, endapo utaendelea kutumia picha halisi kuwa kama icons, wengi hutumia picha kwa kuwa walikosa icons kadhaa...
  5. fungi06

    JamiiForums Tanzania Hollywood na ubovu wake kwenye matumizi ya bunduki

    Nimekua nikiangalia muvi kwa mda kama wengi wetu tunavyo penda kupata muda kidogo wa kuufanya ubongo utulie kwa muda na kupata oxygen nzuri kama reserve kwa kuutimizia ubongo haja zake.. Yote haya yanafanyika na ndo apa mtu anapo fanya kitu ambacho ni hobbie yake.... Japo wengi uwa awajui nini...
  6. LOVE U JF

    JamiiForums Tanzania Ana mtoto wa miezi minne. Je, anafaa kwa matumizi?

    Nimekutana na aliyekua Mpenzi Wangu pande za Kimara yupo kwa dada yake, ana kichanga cha miezi mi 4 na katoswa na aliyemzalisha. Kwakua tulikua naye vizuri tulijikuta wote tukihitaji tugegedane ila baadaye akasema hatuwezi fanya mapenzi tutamharibu mtoto tusubiri afikishe angalau miezi 6, eti...
  7. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Uoga : Eneo lililotajwa kutumika na Lissu kwa Mkutano wa Kampeni Jimbo la Serengeti labadilishwa matumizi

    Viongozi wa Chadema wa Jimbo la Serengeti wameongea na Waandishi wa habari ili kutoa ratiba kamili ya Mgombea wao wa Urais Mh Tundu Lissu ndani ya jimbo hilo , ikiwa ni pamoja na kueleza eneo utakapofanyika mkutano huo. Lakini cha kushangaza muda mfupi baadaye eneo hilo likasimikwa bango la...
  8. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wabana matumizi plus, tunga bajeti yako hapa kwa vipato hivi ukiwa kama mwanafunzi chuoni

    Weka mawazo ya bajeti yako endapo unapokea kwa mwezi shilingi laki moja 100,000/= ukiwa chuoni hapa tunakadiria kwamba mtu alishalipia gharama ya chumba kwenye hostel ya wanafunzi, hivyo hatasumbuliwa
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2020 Nape Nnauye ateuliwa kuwania Ubunge jimbo la Mtama peke yake baada ya wagombea wengine kukosa baadhi vya vigezo

    APITA BILA KUPINGWA UBUNGE MTAMA Lindi: Msimamizi wa uchaguzi Jimbo la Mtama mkoani Lindi, Samuel Warioba Gunza amemtangaza Nape Nnauye mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi kuwa mgombea pekee wa jimbo hilo. Pia soma => Uchaguzi 2020 - Nape Nnauye anaelekea kupita bila kupingwa...
  10. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Matumizi ya Bandari ya Kisumu yaongezeka kwa 62% shukrani DRC, Uganda, Tanzania, Rwanda n.k.

    Huu ndio mwendo wenyewe, pale ziwa Victoria mambo yanazidi kunoga, Kenya inapepea kwenye pembe zote za nchi. Kisumu port on August 13,2019. FILE PHOTO | NMG The refurbished Port of Kisumu handled 62 per cent more cargo in 2019 due to improved efficiency and a surge in trade, new statistics...
  11. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU imewafungulia watuhumiwa watano mashtaka yahusuyo Matumizi Mabaya ya Mamlaka

    Taarifa kwa Umma
  12. L

    JamiiForums Tanzania Flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu awamu ya 5 Tz ni matokeo ya kubadilisha matumizi ya pesa sio kukua kwa uchumi

    Kufanya uchaguzi kwa pesa ya ndani, kujenga flyovers, SGR na uboreshaji wa miundombinu unaofanywa na awamu ya 5 ni matokeo ya kubadili matumizi pesa/kipato tu sio kukua kwa uchumi. Mfano, pesa zilizokuwa zinatumika kulipa mishahara kwa watumishi wa umma. Sasa wanastaafu, wengine wanakufa hakuna...
  13. isajorsergio

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu kwa watoto katika shule

    Ufaransa yapiga marufuku matumizi ya simu janja ' Smart Phones ', tablet na saa janja ' Smart Watches kwa watoto chini ya miaka 15 katika shule. Serikali ya taifa imekuwa ikitilia shaka uwezo wa wanafunzi kwa maana ya kutegemea vifaa hivi katika masomo yao pia ikionekana kama chagizo la...
  14. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania George Ambangile aliamua kubaki na heshima na matumizi sahihi ya Elimu. Jamaa ni kichwa kizuri

    Katika sakata la Yanga na Morrison mwandishi ambaye nitaendelea kumheshimu ni Geoge Ambangile. Huyu bwana alisimamia kanuni za uandishi pasipo kupendelea upande wowote. Tofauti na wale vilaza waliokuwa wakitafuta kwa nguvu followers akina Oscar Oscar na Maulid Kitenge. Kitenge ametuuza sana...
  15. Louis II

    JamiiForums Tanzania GE2020 Ushauri: CHADEMA msitumie/mpunguze matumizi ya usafiri wa helicopter kwenye kampeni za Urais

    Salam Wakuu! Ninafahamu mna Jukumu kubwa sana mbele yenu kama chama kinachotafuta nafasi ya kuingia ikulu kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru. Mnaenda kupambana na Raisi Magufuli ambaye kwa hakika ana wafuasi wengi sana na kwa hakika wanakubali utendaji kazi wake. Hivyo, kama heading...
  16. Castr

    JamiiForums Tanzania Ficha IP Adress yako kwa kutumia VPN (Android users)

    Habari wadau, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. IP Adress (Internet Protocol) ni anwani ambayo device mfano simu au computer inakua nayo pindi inapokua imeunganishwa na intaneti hivyo mtu mwingine kuweza kujua mmiliki wa hiko kifaa ni nani. VPN (Virtual Private Network) ni simulator...
  17. Naton Jr

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania kinara matumizi ya Social Media za bei ghali

    Kama inaingia Youtube au Instagram kwa kujiibaiba kama unaoga nje bado huwezi kujiita upo huru kwenye Social Media Tanzania tunaongoza katika matumizi ya jumla ya mitandaoni.
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Membe: Rais Mkapa alithamini sana matumizi ya akili kubwa katika uongozi

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema kuwa Rais wa Awamu ya Tatu, Benjamini Mkapa, alikuwa Kiongozi wa dunia, mshauri wa masuala ya Uchaguzi na kinara katika kulisaidia bara la Afrika kutatua migogoro bila kuchoka Amesema siku zote Mkapa alikuwa anathamini akili...
  19. F

    JamiiForums Tanzania Yanga kutokea kambini hotelini mechi za Dar ni matumizi mabovu ya hela

    Habari wadau, Jana Yanga tumecheza na Singida. Nimeshangaa kuona wachezaji wametokea kambini kwenda uwanjani, badala ya kutokea nyumbani kwao ama makao makuu ya club. Hata mechi na simba nayo hivyo hivyo wachezaji wanatokea hotelini. Huu mfumo wa kukaa hotelini kila siku unaongeza gharama kwa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: CHADEMA badala ya kulalamika wanapaswa kusoma sheria, mwisho wa uchunguzi waweza kuwa mwanzo wa uchunguzi mwingine

    Mkurugenzi mkuu wa Takukuru amewajibu Chadema kwa kuwataka wakasome vizuri sheria ya kupambana na rushwa kabla ya kulalamika. Mkurugenzi amesema taasisi yake inafanya kazi zake kwa mujibu wa sheria na anaamini Chadema wakisoma sheria hawatalalamika tena kwani watajua utaratibu wa uchunguzi...
Back
Top Bottom