matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Superbug

    JamiiForums Tanzania Chanel 10 tv ya CCM yazungumzia matumizi ya VPN baada ya mtandao kufungwa huko Mynamar

    Kumbe Channel Ten inatambua kwamba serikali zinazofungia mitandao ya kijamii ni za kidikteta. Kwenye taarifa Yao ya habari wamezungumzia udikteta wa serikali ya kijeshi ya Myanmar iliyofungia mitandao na kufanya watu watumie VPN. Chanel ten wakumbuke kwamba hata serikali ya ccm ilifungia...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ijue hatari ya matumizi holela ya vidonge vya kuzuia mimba

    Ujana ni maji ya moto. Ni msemo maarufu ukiwalenga vijana wakiwamo wasichana ambao ujana wao unawasukuma kujiunguza kwa ‘maji ya moto’. Hata hivyo kwa muktadha wa habari hii, maji haya ni kitendo wanachokifanya wasichana hao kutumia njia mbalimbali hata zisizo salama ili kuzuia mimba. Miongoni...
  3. mama D

    JamiiForums Tanzania Nasimama na Rais Magufuli kwenye kuchukua tahadhari dhidi ya Corona na napinga matumizi ya chanjo inayopigiwa kampeni na dunia

    Rais John Pombe Magufuli ametoa msimamo wa taifa kuhusiana na maambukizi ya Corona pamoja na chanjo inayopigiwa kampeni na dunia kwamba kila nchi lazima ipatiwe chanjo hiyo. Watanzania wengi wamemuelewa Rais na wanachukua tahadhari na pia wameelewa msimamo wa Rais kuhusu chanjo ya Corona. Ila...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba matumizi ya majani ya chai ya muda mrefu huharibu kongosho?

    Leo katika pita pita zangu maeneo ya sokoni. Nikiwasikia wamama wawili wakishauriana kwamba waache Matumizi ya majani ya chai na wajikite zaidi katika Matumizi ya viungo vya chai kama mdalasini na vinginevyo kwa sababu majani ya chai eti yanaharibu "kongosho" Je, wakuu hili jambo ni la kweli?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Ikulu ya Magogoni ibadilishwe matumizi isiwe maskani ya popo

    Wanabodi tahadhima kwenu! Kwa kuwa Serikali ya Chato imehamia Dodoma kumfurahisha Nyerere kaburini, napendekeza yafuatayo. Kila mkoa kuna Ikulu ndogo ya Rais. Dar es salaam kwa sasa ni mkoa kama mikoa mingine, si tena maskani ya Rais kama Chamwino. Badala ya Ikulu ya Magogoni kubaki ukiwa na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Naomba muongozo wa matumizi ya dawa za jamii ya viagra

    Wakuu mimi nasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume kwa muda mrefu. Nimejaribu kutumia dawa nyingi sana za kienyeji pamoja na vyakula bila ya mafanikio. NImejaribu kutumia vumbi la congo pia limenitupa mkono. Sasa nimebakisha mawili tu. Nimenza mazoezi takriban wiki ya pili sasa na naendelea...
  7. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mpango tunaomba majibu matumizi ya Dola kwenye upimaji wa Covid-19

    Taasisi nyingi za Serikali zinatoa huduma kwa kudai dola ya Marekani kama malipo. CRB, ERB zote zinadai Dola za Kimarekani. Wizara ya afya inapima Corona na malipo ni ya Dola. Suala la aibu na fedhea kwa mlalahoi kupimwa kwa dola. Nashindwa kuelewa, hii matumizi ya dola inahalalishwa na...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Je, unapotumia Modem kuna uwezekano mdogo wa kutumia matumizi ya MB?

    Eti endapo utatumia Internet kwenye PC ambayo ni Hotspot kutoka kwenye simu na Endapo utatumia internet kupitia kifaa cha Modem Ni sehemu gani kunakuwa na Unafuu wa kusave MB?
  9. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Zaidi ya miaka mitatu hakuna wateja; mnashindwa kubadili matumizi ya jengo?

    Hili jengo lipo barabara ya kutoka Ubungo kwenda Mwenge la PPF linanihuzunisha sana na zaidi pesa za wanachama linajengwa naliona tangu wanachimba msingi limekamilika nalishuhudia lakini tangu likamilike limemaliza miaka mitatu na mpangaji aliyepo ni NHIF tu. Najiuliza mbona hawa wahusika...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili miaka mitano ya tumbuatumbua na matumizi mabaya ya mali za umma

    Tunaingia miaka mingine mitano ya awamu ya tano na tumeanzia pale tulipoishia. Tumbua tumbua inaendelea......kwanini wateule niwagumu kumwelewa anayewateua? Kama ubadhirifu huu unaotajwa kila siku ni kweli Basi Tanzania tunaongozwa kwa kuwa na mfumo mbaya wa uteuzi wa viongozi. Tunateua watu...
  11. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaokoa zaidi yaTsh trilion 36 kutokana na matumizi ya gesi asilia

    Dar es Salaam. Tanzania imeokoa hadi $ 15.6 bilioni (kama Sh36 trilioni) kwa gharama za nishati kwa kubadili gesi asilia kama chanzo cha nishati kutoka Julai 2004 hadi Septemba 2020, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) linasema. Nchi iliokoa kiasi hiki kwa kutumia gesi asilia...
  12. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi unayopaswa kuyafahamu kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kibiashara (3)

    Mambo 10 ya kuzingatia unapoandaa chapisho la tangazo la kibiashara mtandaoni Mitandao ya kijamii imebadilika kutoka kuwa majukwaa ambayo watu hukutana kufahamiana na kujadili masuala mbalimbali ya kijamii, hadi kuwa majukwaa ya kibiashara ambayo unaweza kukutana na wateja wako, kuwafahamisha...
  13. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Mambo ya msingi unayopaswa kuyafahamu kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kibiashara (1)

    Kwanini Unahitaji Mitandao ya Kijamii katika biashara yako? Mitandao ya Kijamii imekuwa kiungo muhimu katika miaka ya hivi karibuni tofauti na ilivyokuwa siku za nyuma, hasa katika ulimwengu wa biashara ya mtandaoni ambao umewawezesha wafanyabiashara kuwafikia mamilioni ya wateja kwa urahisi...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tujadili matumizi ya V8 katika Taifa letu

    Kutumbuliwa kwa Mkurugenzi wa Geita kumeibua mjadala kuhusu kiongozi gani anapaswa kumiliki au kutembelea gani. Hoja kuu inatokana na kile kinachoelezwa kuwa V8 si anasa kwa wakurugenzi na wamekuwa wakitumia gari hizi kwa miaka kadhaa sasa. Hi hoja ilipowasilishwa Bungeni wakati wa Spika...
  15. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Blacklist na Whitelist: Matumizi ya maneno haya si muendelezo wa kiubaguzi kwa namna tofauti?

    "Blacklist na whitelist" sio maneno mageni sana katika ulimwengu wa leo. Mara nyingi haya maneno yamezoeleka kutumika katika mambo ya kiusalama katika mitandao ya mawasiliano. Ukiangalia kwa upande mwingine maneno haya hasa hapo zamani kidogo katika nchi za wenzetu 'ulaya na marekani' maneno...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tujitahidi kuwa na matumizi mazuri ya Ndimi zetu kama ambavyo hata Vitabu vya Mungu vimetuelekeza hivyo

    Mkoa wa Kipolisi Kinondoni wanamshikilia Mfanyakazi za Ndani , Happiness Sela (24) kwa tuhuma za kumchoma kisu Ezekiel Nyamuko (24) kwa kile kinachodaiwa kuwa alipatwa na hasira baada ya kuambiwa na mtu huyo kuwa ana roho mbaya kama sura yake ndio maana haolewi. Chanzo: HabariLeo Sasa...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Je, Wabunge hutumia vipi vipato vyao? Inakuaje Mbunge baada ya miaka 10 bado njaa inamuendesha?

    Kufuatia sakata hili la 19 ambalo ni wazi inaonesha msukumo wake ni njaa ya mapesa na anasa za Ubunge, nachelea kuhoji sasa hawa Wabunge wetu wanapanga vipi bajeti zao kutokana na mapesa wanayolipwa? Fikiria mtu kama Halima, miaka 10 ya Ubunge lakini anakuja kuishia kujimaliza kisiasa kwa...
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Usilalamike unaibiwa, jifunze kubana matumizi ya kifurusshi cha data kwenye computer yako

    "Yani nimejiunga kifurushi cha gb 1 baada ya dakika 5 kimeisha, makampuni ya simu wezi" Hizo ni baadhi ya kauli za watu wanaodhani wanaibiwa bila kujua kwamba lawama zipo upande wao Computer zetu hizi za windows zimetengenezwa katika namna ya kwamba endapo kutakuwa kuna updates basi zitaji...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Afisa Elimu Wilaya ya Hai Kilimanjaro, fafanua kuhusu posho na matumizi ya Jeshi kusimamia mtihani

    Afisa Elimu Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro amelipa posho Tsh. 120,000 kuanzia tar 8/12/2020 na kuendelea hujaweka wazi kama ndio posho yote ya kusimamia mtihani au la, hujaweka wazi ni Tsh. ngapi watalipwa kwa siku wengine mwisho wa kusimamia ni Ijumaa kesho ikiwa tayari wamekaa siku 9...
  20. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Drones ni game changer kwenye vita

    Vita vya kisasa vinahusisha zaidi ya technologia ya Hali ya juu, yenye lengo la kupunguza gharama na kuongeza ufanisi. Kwenye uwanja wa Vita drones zimekua zikifanya Mambo ambayo pengine kwa Vita ya zamani kwa Sasa kutokuwa nafasi. Vita ya zamani watu walikua wanajificha kwenye mifereji na...
Back
Top Bottom