Hilo jambo bado linasumbua akili yangu kuona mamlaka inafungia Twitter, halafu inaweka kuwa kutumia VPN ni kosa la jinai. Halafu yenyewe inatumia VPN kuwasiliana na wananchi ambao hawatakiwi kutumia VPN kuifikia Twitter.
Nionavyo mimi, matumizi ya VPN yawe halali kisheria kwa sababu mamlaka...
Amemtuhumu RC wa Geita kwa kutafuta milioni 600.
Amelaani mamlaka aliyopewa RC kuamua matumizi ya fedha za Halmashauri.
Msikilizeni Musukuma kuanzia dakika ya 3:36 ktk video hapo chini.
https://www.ippmedia.com/sw/habari/mbunge-adai-rc-geita-kutafuna-mil-600
Wadau kutokana na kuwahi ibiwa Tv zangu za Samsung mara 3 nyakati tofauti tofaut sasa nmeamua kuachana na kununua TV.
Sasa nawaza kununua Projector. Naomba ushauri kwa projector ya kufaa kwa ajili ya kuangalizia movie. Nahitaji Full HD, iwe 4K, 3D ,High Resolution.
But katika hayo yote naomba...
Matumizi ya SURNAMES Ni kitu kipya duniani na kilianza kutumika rasmi Mwaka 1066 baada ya Mapinduzi ya Norman Conquest.
Hata kwenye vitabu vitakatifu Mtume Mohammad aliitwa kwa jina lake, hata Yesu aliitwa kwa jina hilo. Hata ilipotokea kuitwa YESU wa Nazareth, ilionesha mahali alipotokea na...
Habari wakuu.
Naomba kufahamu zaidi juu ya hili jiko la kupikia. Nipo Mwanza naweza kulipata wapi? Kampuni gani nzuri? Wenye uzoefu wa kulitumia vipi lipo vzuri? Nini hasara zake? Bei yake ipoje (One plate and two plates?)
Asanteni.
Kama wabunge wasio na sifa wataendelea kulipwa fedha za umma na viongozi wakuu wa nchi wasikemee wala kudhibiti huu wizi wa wazi ni vigumu kupambana na wizi wa mali za umma. Kama mwanasiasa atapewa haki na baraka za Serikali kufuja Mali za umma ni vigumu Serikali hiyo kuadhibu Watumishi wa Umma...
Habari wakuu,
Huwa najiuliza hawa vijana wanaozunguka mitaani wakiuza line za mitandao ya Simu wanafaidikaje? Wanafaidika tu kwa kuuza line walizonunua kwa bei ya jumla au baada ya kumsajili mtu huwa wanapata commission labda kila mwezi kulingana na matumizi ya mteja?
Wenye kufahamu tafadhali...
Serikali za mitaa zina wajibu wa kuandaa bajeti, kutunza fedha na kutoa taarifa katika vikao husika na kubandika katika mbao za matangazo kuhusu mapato na matumizi ya fedha kwa kila kipindi cha mwaka wa fedha kinapoisha.
Ni wajibu wa kila mwananchi kufuatilia taarifa hizo ili kulinda maendeleo...
Mbunge wa Viti Maalum, Esther Bulaya, amesema sio sawa kwa Mtumishi aliyeitumikia Tanzania kwa miaka mingi kumpangia matumizi ya fedha ya fedha yake kwa kumpa asilimia 25 huku asilimia 75 unasema utamlipa polepole.
Bulaya amesema Uongozi wa Hayati Dkt. Magufuli ulilazimisha kuweka mfumo mbovu...
New Mexico imekuwa Jimbo jipya kuhalalisha matumizi ya Bangi kwa Watu wenye umri wa miaka 21 na zaidi baada ya Gavana Michelle Lujan Grisham kutia saini miswada miwili kuwa Sheria.
Gavana Lujan Grisham amesema Sheria hiyo ni hatua kubwa kwa Jimbo lake. Bangi inayotumiwa kisheria itabadilisha...
Fedha zilizotolewa na shirika la Fedha la Kimataifa, IMF, kwa minajili ya kupambana dhidi ya janga la Covid-19 zimezua sintofahamu nchini Kenya.
IMF iliidhinisha Aprili 2 msaada wa dola bilioni 2.34 kwa nchi ya Kenya. Kitita hicho kilitolewa kwa minjili ya kuwezesha...
Kwa uzoefu wangu mdogo, tofali zenye uwazi katikati (Hollow Cement Block) zinatumika kwa uchache sana. Pamoja na faida zake nyingi, najiuliza ni kwa nini?
CAG ni mkaguzi na mdhibiti mkuu wa hesabu za serilali lakini mara nyingi inaonekane GAC anakagua mahesabu ya serikali, lakini hafanyi udhibiti wa matumizi ya fedha za serikali.
Kazi ya CAG inapaswa pia kudhibiti jinsi fedha za serikali zinavyotumika, la sivyo naona hatutaondokana na haya...
CAG Kichere amesema Mkurugenzi wa Mashtaka nchini amekusanya zaidi ya sh bilioni 60 kutokana na kesi mbalimbali na fedha hizo hazijatumika kutokana na kukosekana kwa sheria na mwongozo wa namna ya kuzitumia.
CAG amelishauri Bunge kutunga sheria ya matumizi ya fedha hizi.
Ukinizingua Nitakuzingua!
Hakuna aliye juu ya sheria hapa nchini, maana kuna watanzania wengi walishahukumiwa na kupoteza kazi sababu ya matumizi mabaya ya ofisi.
Sasa huyu ndugu Kigwangalla ambaye alikuwa Waziri wa Maliasili na Utalii na alitumia vibaya ofisi kulipa mabilioni kulipa aliodai kuwa wadau wa utalii na...
Mambo ya kitemi na kutishana sasa mwisho ni lazima watendaji watende kwa mujibu wa sheria.
Dr Kigwangalla kawaombe radhi wale askari wanyama pori uliowapigisha push ups ( mzaha siyo mzaha) vinginevyo utaendelea kudata.
Jaffo kamwombe radhi yule mkandarasi uliyemfokea hadi akazimia...
Makamu wa Rais Dkt. Mpango amemtaka Katibu mkuu Kiongozi Balozi Hussein Katanga kuwaangalia kwa makini Makatibu Wakuu wa Wizara na Manaibu wao kwani kuna kutoelewana kwingi.
Dkt. Mpango amesema inakuwa nongwa pale Naibu Katibu Mkuu anapomhoji Katibu Mkuu kuhusu matumizi ya fedha.
Dkt. Mpango...
Kusema Uwongo ni tendo kutoa taarifa zisizokuwa kweli kwa makusudi kabisa ili kuficha ukweli. Mtu anayesema uwongo ni mwongo, na akitoa ushahidi wa namna hiyo mahakamani anaweza kuhukumiwa kwa kuidanganya mahakama.
Kutoa taarifa zisizokuwa kweli kwa ama kudhani kuwa ni za kweli kabisa...
Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Philip Mpango kuwa Makamu wake. Amethibitishwa na Bunge kwa asilimia 100! Well, ni pendekezo lake.
Mpango amepewa sifa kedekede na wanaCCM wenzake as usual.
Shida yangu iko hapa, Rais amekuwa na mashaka makubwa katika hazina kuu BoT kwamba kuna uwezekano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.