matumizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mama D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Niwahakikishie kwenye hili la makusanyo na matumizi ya pesa za Serikali nitasimama imara

    Musa aligawa maji bahari ya Shamu taifa la Mungu likavuka. Ila Joshua yeye alikausha kabisa maji ya mto Jordan taifa la Mungu likavuka. Joshua 3: 7. "Bwana akamwambia Yoshua, Hivi leo nitaanza kukutukuza mbele ya Israeli wote, wapate kujua ya kuwa mimi nitakuwa pamoja na wewe, kama nilivyokuwa...
  2. kavulata

    JamiiForums Tanzania Tumuenzi Rais Magufuli kwa kubana matumizi yasiyo ya lazima

    Rais Magufuli (RIP) hakupenda matumizi ya hovyo kabisa kwenye maisha yake ya uongozi. Hivyo, hata kwenye mazishi yake lazima tuzingatie matumizi ambayo yanaongeza gharama ambazo sio za lazima katika kupunsishwa kwake kwenye nyumba yake ya milele ili pesa hizo zielekezwe kwenye ujenzi wa miradi...
  3. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Miundo ya utawala wa Tundu Lissu na Magufuli inaweza kufanana, tofauti ndogo ni kwenye matumizi ya sheria na diplomasia

    Nimejaribu kwa muda mrefu kuwafananisha hawa viongozi wawili ambao mmoja ametangulia mbele za haki kwa mapenzi ya Mola, Hawa viongozi wawili ni Energetic na Ni wakali sana kwenye rasilimali za nchi na ni wazalendo wa kweli. Tofauti ya ndogo iko katika vipande hivi; 1. Tundu Lissu ni mwanasheria...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ulaya yazuia matumizi ya chanjo ya Astra Zeneca, Rais Magufuli alikuwa sahihi kutokimbilia chanjo

    BBC Dira ya Dunia inaripoti kuwa zaidi ya nchi 10 zimezuia matumizi ya chanjo ya Corona iitwayo Astra Zeneca inayosababisha damu kuganda kwa baadhi ya watu. Nchi hizo zimesema inabidi zifanye uchunguzi na utafiti wa kutosha kuhusu usalama wa chanjo hiyo kabla hazijaruhusu tena. Rais Magufuli...
  5. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Nkasi: Watumishi 2 kuswekwa ndani kutokana na matumizi mabaya ya fedha

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Tekinolosia Mhe.Omari Kipanga amemwagiza mkuu wa wilaya ya Nkasi Saidi Mtanda kuwaweka ndani watumishi wawili akiwemo mkuu wa chuo cha maendeleo ya jamii cha Chala pamoja na katibu wa kamati ya ujenzi wa chuo hicho kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Nchi nyingi Duniani zinakataa matumizi ya Chanjo ya AstraZeneca?

    Tangu kuingia kwa Virusi vya Corona wataalamu wa Afya wamepambana kutafuta dawa na chanjo kukabiliana na gonjwa hili hatari bila mafanikio. Hivi karibuni ziligundulika chanjo mbalimbali ikiwemo ASTRAZENECA ambayo ilipitishwa na Shirika la Afya Duniani kuanza kutumika kwa binadamu ili kupunguza...
  7. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Dkt. Faustine Ndugulile agusia kuhusu matumizi ya fake account. Serikali kuja na sheria ya kulinda faragha

    Habari wadau..! Leo kwenye mahojiano ya Waziri Dkt. Faustine Ndugulile akiwa kwenye mahojiano katika kipindi cha dakika 45 kinachoendeshwa na mtangazaji Farhia Middle wa ITV amegusia kuhusu suala la fake akaunti a.k.a fake ID maana kuna watu wanatamba sana as if wapo pinguni hawawezi kukamatwa...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Uholanzi kusitisha matumizi ya chanjo ya AstraZeneca

    Uholanzi nayo imeamua kusitisha matumizi ya chanjo ya corona ya Oxford-AstraZeneca kwa kuhofia kuwa na madhara. Serikali ya Uholanzi imeamua kuchukua hatua hiyo mpaka Machi 29 ili kuchukua tahadhari. Awali Jamuhuri ya Ireland ilichukua uamuzi huohuo kwa kuhofia hatari ya watu kuganda damu baada...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Thailand yasitisha matumizi ya AstraZeneca kupisha tathmini zaidi

    Thailand leo imejiunga na mataifa kadhaa ya Ulaya kusitisha matumizi ya chanjo ya AstraZeneca kutokana na wasiwasi kuwa inasababisha kuganda kwa damu, licha ya baadhi ya mamlaka za afya duniani kusisitiza kwamba chanjo hiyo ni salama. Mshauri wa Kamati ya Taifa ya Kusamimia Chanjo ya Virusi vya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Pongezi Wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii kwa kutumia basi la Shabiby kuja Mbeya, mmebana matumizi!

    Ni jambo jema kuwashuhudia wabunge wa kamati ya maendeleo ya jamii wakiwasili jijini Mbeya kikazi kwa kutumia basi la Shabiby. Mmeonesha mfano mzuri wa kubana matumizi tofauti na mabunge yaliyopita ambayo yalitumia zaidi ndege na magari madogo ya gharama. Pongezi zimwendee Spika Ndugai na...
  11. Ghost boss

    JamiiForums Tanzania Nilichokiwaza nilipoona matumizi ya Serikali

    Mmmmh! Siku ya kwanza binafsi kuona bajeti ya jumla ya serikali nilimuuliza rafiki yangu xxxx kwamba hivi tutafanikiwa kweli kama ulaya sisi? Niliuliza hivyo bila kuelewa vizuri maana binafsi nilivyoona salaries na wages inaichukua serikali pesa nyingi nilisikitika sana moyoni. Nilisikitika...
  12. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Malumbano la hoja: Mchangiaji ashangaa jiji la Dar kuvunjwa kwa kisingizio cha kubana matumizi , ashangaa Chanika kuwa jiji magomeni kuwa nje ya jiji

    Akizungumza kwa kujiamini mmoja wa wachangiaji amepinga kuvunjwa kwa jiji kulikoleta mkanganyiko wa hadhi ya maeneo , kwa kutolea mfano wa Chanika kuwa jijini huku Magomeni , Kinondoni , Masaki , Temeke , Mwenge na Mbezi Beach kuwa nje ya jiji . Ametoa plan ambayo kama ingefanyiwa kazi basi...
  13. Planett

    JamiiForums Tanzania Kama unajua matumizi ya iki kifaa PEPO utaishia kuisikia tu

    Wajomba kama unajua kazi ya hiki kifaa nenda katubu kwa Muumba wako haraka sana.
  14. Grand Master Dulla

    JamiiForums Tanzania Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??

    Jamani kuna mtu yeyote humu anayekijua kitabu cha SATAAL KHABAR pamoja na matumizi yake kwa ujumla na nini kazi zake??
  15. R

    JamiiForums Tanzania Maswali kuhusu matumizi ya stendi mpya ya mabasi Mbezi (so-called Magufuli)

    Kuna tangazo linasema safari zote zitaanzia stend mpya Magufuli. Tangazo linazidi kusema mabasi makubwa wakodishe mini bus kuwasafirisha abiria kuwaleta stend mpya au wawaelekeze abiria kuja Mbezi. Sasa swali: 1. Anayekwenda Mtwara na yuko Mbagala, naye aje Mbezi? maana tangazo linasema stend...
  16. Jibebe Inc

    JamiiForums Tanzania SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

    Kwa usahihi na usalama: Fuatilia stock, mauzo, matumizi na faida. Simamia biashara yako popote ulipo! Hakuna kuumiza kichwa. Pata kila kitu unachohitaji kwa ujasiri kuendesha Biashara yako. Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Rais wa Malawi awafuta kazi Wakuu wa Kitengo cha kupambana na Covid 19 nchini humo kwa tuhuma za Matumizi mabaya ya Fedha

    Picha: Rais wa Malawi Lazarus Chakwera Rais wa Malawi Lazarus Chakwera awafuta kazi Mkuu wa Idara ya Usimamizi wa Majanga na Mwenyekiti wake pamoja na Maafisa wengine, kwa kushindwa kutunza kumbukumbu sahihi za jinsi fedha za kupambana na Covid 19 pamoja na kukaidi agizo lake la la kuwasilisha...
  18. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Watendaji Kata na Vijiji 93 watumia Milioni 162 za makusanyo ya Halmashauri kwa matumizi yao binafsi

    MKUU wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Carlolius Misungwi, ametoa siku 16 kwa watendaji wa kata na vijiji kuhakikisha wanarejesha Sh. milioni 162 ambazo ni makusanyo ya halmashauri hiyo ambazo wanadaiwa kuzitumia kwa matumizi yao binafsi. Amesema wakishindwa kurejesha fedha hizo, watakamatwa...
  19. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kudhibiti matumizi ya mtandao ya mtoto

    Katika ulimwengu wa Teknolojia wa sasa watoto wanalazimika kuwa na vifaa kama simu, laptops nk ili kuwezesha mawasiliano ya mzazi na mtoto. Kwa kiasi kikubwa wazazi wanadhana kwamba vifaa hivi vinaweza kumuharibu mtoto hivyo wengine huwanyima watoto vifaa hivyo ambapo wanakuwa wamewanyima haki...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Serikali mulikeni haya matumizi ya energy drink!

    Nipo mkoa fulani kwa miezi kadhaa sasa. Nimeshangazwa na matumizi makubwa ya energy drink, husasani kwa vijana. Kuanzia za Mo hadi Azam. Sielewi chanzo cha matumizi haya ni nini. Nafikiri Serikali inatakiwa kuelimisha bayana madhara ya hivi vitu! Jana nimesoma maelezo kwenye chupa moja kuwa...
Back
Top Bottom