matumizi mabaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Matumizi Mabaya ya Madaraka: Jinsi Watoto wa Saddam Hussein Walivyotawala kwa Hofu na Kuongoza Magenge ya Kikatili

    Watoto wa Saddam Hussein, hasa Uday Hussein na Qusay Hussein, walijulikana kwa kutumia madaraka ya baba yao kwa namna ya kikatili na ya kupindukia, na walihusishwa na vitendo vingi vya ukandamizaji, unyanyasaji, na uongozi wa magenge ya kijeshi na kijasusi ndani ya Iraq wakati wa utawala wa...
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Kampeni ya no reform no elections ,ni matumizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa

    Labda kama kapeni hii imefadhiliwa na EU au USA, vinginevyo ni matimizi mabaya ya ruzuku ya vyama vya siasa ambayo ni hela za walipakodi walalahoi wa kitanzania. Nasema hivyo kwa sababu the main goal ya kuzuia uchaguzi haitafanikiwa kwa sasa. Poor timing.sasa kama kapeni hii haiwezi kuletea...
  3. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Kaya, hivi tatizo ni mshahara mdogo au matumizi mabaya ya fedha?

    Wakuu wa KAYA hivi mbona hadi nae muona ana mshahara mzuri nae analalamika mshahara mdogo hautoshi hivi tatizo nini haswa? Mshahara mdogo? Matumizi mabaya ya fedha? Au kuto kuwekeza?
  4. S

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya Maombi

    Unaishi kihuni hujali HAKI za watu. Wakidai HAKI zao unawaona maadui. Yanakukuta yakukukuta ambayo kimsingi ni mavuno ya Mbegu mbovu uliyoipanda unaanza kutaka tukuombee. Hapo hamna namna zaidi ya kufanya amani na wote uliowadhulumu HAKI zao au uwajibike kivyako kwa matendo yako. Waombaji...
  5. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Kuna Matumizi Mabaya sana ya Fedha za Walipa Kodi nchini Tanzania

    Msingi Mkuu wa CCM kukataa KATIBA MPYA unatokana na KATIBA ILIYOPO KUWAPA NGUVU Wanasiasa kuliko Watendaji hivyo Wanasiasa kutapanya pesa za wananchi kwa namna wanavyojisikia wao bila hofu ya kufanywa chochote kile. Na fedha hizo wanasiasa wanazitumia kwa maslahi yao binafsi na CCM. Kusema...
  6. Mindyou

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sitashangaa kukuta yale mabasi ya CCM na pikipiki za Samia ni kati ya vitu vilivyotuponza kukosa misaada ya Marekani

    Wakuu, Trump aliahidi kusitisha misaada kwa nchi za Afrika pindi atakapoingia madarakani kutokana na kile kinachosemwa matumizi mabaya ya viongozi wa Afrika ambao wanatumia misaada hiyo kwa shughuli zao binafsi. Sasa amekalia kiti utekelezaji umeanza, misaada yote imesitishwa kwa miezi 3...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania ACT: Kutumia Tsh. Bilioni 27.8 kurekebisha Viwanja vya Amani na Gombani ni matumizi mabaya ya fedha

    ACT Wazalendo, kupitia taarifa yetu kwa umma ya tarehe: 08/11/2024, tuliitaka Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kuweka, hadharani gharama zote za matengenezo ya Viwanja vya Amani na Gombani ambavyo vimetangaazwa kufungwa ili kufanyiwa matengenezo, kutokana na taarifa yetu hiyo, Wizara ya Habari...
  8. Abdul Said Naumanga

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mahakama Kuu Yabaini Upendeleo Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili, Yamtaka AG Kuacha Matumizi Mabaya ya Mamlaka

    Mahakama Kuu ya Tanzania masijala kuu ya Dodoma imebaini upendeleo katika muundo wa Kamati ya Taifa ya Maadili ya Mawakili (National Advocates Ethics Committee) baada ya Wakili Peter Madeleka kuwasilisha shauri la kikatiba akipinga wajumbe wa kamati hiyo, akidai wana mgongano wa kimaslahi...
  9. Heparin

    JamiiForums Tanzania Serikali yafuta vijiji na vitongoji vyote vya wamasai wa Ngorongoro kupitia Amri ya tangazo la Serikali namba 673

    AMRI YA MAREKEBISHO YA AMRI YA MGAWANYO WA MAENEO YA UTAWALA KATIKA SERIKALI ZA MITAA (MAMLAKA ZA WILAYA) YA MWAKA 2024 1. Amri hii itajulikana kama Amri ya Marekebisho ya Amri ya Mgawanyo wa Maeneo ya Utawala katika Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) ya Mwaka 2024 na itasomwa pamoja na Amri...
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Kwa Yanayoendelea Jeshi la Polisi, “Tume ya Haki Jinai” Ilikuwa ni Matumizi Mabaya ya Fedha Zetu

    Ni wazi pesa za wananchi zimetumika kwenye Tume hii ya Mh Jaji Mkuu mstaafu Othman Chande hivyo wananchi tungetamani kuona matokeo chanya ya utekelezaji. Wakuu wa Mikoa na Wilaya, Makamanda wa Polisi Mikoa na Wilaya na Taasisi zote zinapaswa kuzingatia maelekezo ya Rais ambaye ni Mkuu wa Nchi...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tuepuke matumizi mabaya ya neno "Bilionea"

    Kwa Tanzania hasa watu wa kanda ya Kaskazini wana matumizi mabaya sana ya neno bilionea. Ukiwa tu na uwezo wa kumiliki gari nzuri ya thamani kubwa, bus kadhaa za usafirishaji au ghorofa maeneo ya kitajiri wewe tayari umekuwa bilionea. Tuache huu ushamba, bilionea kidunia/kimataifia ni mtu...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Utoaji tenda Arusha DC kuna harufu ya Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka, mfumo wa NeST unachezewa

    Kuna changamoto ambayo bila kuifuchua inaweza kuzidi kuwa kubwa na kusababisha ubadhirifu, rushwa na mengine mengi yasiyofaa kwenye jamii yetu. Uongozi wa Halmashauri ya Arusha DC imekuwa ikifanya michezo michafu kwenye utoaji wa tenda wa kukusanya ushuru wa Halmashauri pamoja na kuchezea mfumo...
  13. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na msafara wa Magari zaidi ya 150, tulipe tozo nchi ijiendeshe

    Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi. Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
  14. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Harusi yoyote itakayofungiwa Arusha Serikali ya mkoa italipia ukumbi

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Christian Makonda amesema sherehe ya harusi yoyote itakayokuwa inafanyika Mkoani Arusha na kuhusisha wasiokuwa Wakazi wa Mkoa wa Arusha, Serikali ya Mkoa chini yake itagharamia ukumbi popote ndani ya Mkoa huo ili kufanikisha harusi hiyo. Makonda amesema hayo wakati...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Maandamano dhidi ya Serikali za kiafrika yajikite kwenye kupinga matumizi makubwa ya viongozi na Serikali

    Habarini, Shida zote ndani ya Afrika zinatokana na matumizi makubwa ya serikali kwa kununua magari ya kifahari na kujilipa mishahara na marupurupu makubwa pasipo kujali kuondoa huduma mbovu za wananchi. Wananchi wagome na kuandamana dhidi ya matumizi mabaya ya raslimalinza serikali na siyo...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kemea haya ya matumizi mabaya ya fedha za umma angalau kidogo

    Si ajabu zimetoka bi milioni 500 kununu gari kwa ajili ya kuunda msafara wa kwenda Bungeni kusoma bajeti. Ufidhuli gani huu Extravagancy of the highest degree https://youtu.be/NG15iZ2P4aQ
  17. Manyanza

    JamiiForums Tanzania Lucas Mwashambwa una matumizi mabaya ya chuki

    Kama kichwa cha huu uzi kinavyojieleza, ndugu Lucas Mwashambwa, Sio bure kazi unazozifanya za kukichafua Chama Cha Demokrasia na Maendeleo zinaonyesha kabisa wewe ni mtu ambaye umetumwa na unalipwa hatufanyi kutoka rohoni, nikirejea uzi wako wa jana kuhusu Makamu Mwenyekiti wa Chadema ndugu...
  18. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Matumizi mabaya ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Kakokonko

    Habari za jioni watanzania wenzagu. Leo nimepokea taarifa kutoka kwa mtu wangu wa karibu aliyeko kigoma na kunihadithia matukio ya kuttisha na nimeona nilete hapa wa watalam tusaidiane. Kwanza ameanza kwa kunitumia ujumbe ulioandikwa na mwananchi wa kawaida nami naomba niuweke hapa wote...
  19. pombe kali

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya neno 'Mlonganzila'

    Mlonganzila ni jina la Hospitali ambayo ni sehemu ya hosipitali kuu ya taifa muhimbili, inasikitisha kuona jina hili la hosipitali limepata maana nyingine ambapo ina maanisha makalio makubwa na hii inatokana na hosipitali huwa kujinasibu kuwa wana uwezo wa kufanya BBL yaani Brazilian butt lift...
  20. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Rais wa TLS, Harold Sugusia amsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji, kupisha Uchunguzi wa matumizi mabaya ya Milioni 670 za LAAC

    Wanabodi, JF, kama kawaida yetu, be the first to know!. Chama cha Wanasheria Tanganyika, kwafukuta, rais wa TLS, (r ndogo), Wakili Msomi, Harold Sugusia akunjua makucha, kupitia The Governing Council, amempiga panga kwa kumsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, kwa kipindi cha miezi...
Back
Top Bottom