DOKEZO Matumizi mabaya ya Ofisi ya Mkurugenzi wa Kakokonko

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Keybordwarrior7

New Member
May 24, 2024
1
0
Habari za jioni watanzania wenzagu.

Leo nimepokea taarifa kutoka kwa mtu wangu wa karibu aliyeko kigoma na kunihadithia matukio ya kuttisha na nimeona nilete hapa wa watalam tusaidiane.

Kwanza ameanza kwa kunitumia ujumbe ulioandikwa na mwananchi wa kawaida nami naomba niuweke hapa wote tuusome halafu nitasema machache.

*******************************************************************************************************
ZIARA YA MAFUNZO YA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO NIMATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA WANANCHI.*

Leo asubuhi nimeamka na kukutana na picha za Madiwani wa Wilaya yetu ya Kakonko kwenye magroup mbalimbali ya WhatsApp zikiwaonyesha Madiwani hao wakiwa Airport ya Mwanza tayari kwa safari ya kuelekea Dar es salaam, Zanzibar na Kilimanjaro.

Nimejaribu kudadisi kwa watu mbalimbali, nimeambiwa Madiwani hao Wanakwenda kujifunza kilimo cha Parachichi Wilayani Siha, Mkoani Kilimanjaro.

Nilijiuliza maswali kadhaa kichwani Mwangu bila kupata majibu.

1. Kama safari ni kwenda kujifunza kilimo cha Parachichi Mkoani Kilimanjaro, kulikuwa na Ulazima gani kwenda Mwanza kisha kupaa na ndege kwenda Dar es salaam?

2. Naambiwa Madiwani wetu wameelekea pia Zanzibar, najiuliza Kakonko pia tunatarajia kuanza kilimo cha karafuu au wameenda kujifunza uchumi wa blue (Uvuvi)?

3. Kama lengo ni Kilimo cha Parachichi, ziara ya kwenda kujifunza kilimo cha Parachichi katika Kijiji cha Bitare Wilaya ya Kibondo Shambani kwa Eng. Amon Ntimba Madiwani wetu hawakuelewa?

Taarifa nilizonazo ni kwamba Halmashauri wameanzisha shamba la Parachichi katika Kijiji cha Kasanda ilipokuwa kambi ya Mtendeli, na kuna makampuni mawili yalifika Kakonko kuja kufanya utafiti wa udongo kama unafaa kwa ajili ya kilimo cha Parachichi na kampuni moja lilitoka nchini Kenya na kampuni nyingine ilitoka Mkoa wa Kilimanjaro.

Parachichi zilizopandwa katika shamba hilo la Halmashauri sio za kisasa na zomechelewa kupandwa na hali ya shamba linasikitisha sana, najiuliza hao madiwani wameenda kujifunza nini sasa huko?

Miezi michache iliyopita, niliona ununuzi wa basi aina ya Tata mali ya Halmashauri na tuliambiwa basi hili limenunuliwa mahususi kwa ajili ya shughuli za Halmashauri, najiuliza swali hili.

1. Kama Halmashauri ilinunua Bus kwa ajili ya shughuli za Halmashauri, na Madiwani wetu walitakiwa kwenda Wilaya ya Siha, Kilimanjaro kujifunza kilimo cha Parachichi, Kwanini Madiwani wasingetumia Basi hilo badala ya kutumia usafiri wa ndege ili kupunguza mzigo kwa Halmashauri?

Halmashauri yetu siku za hivi karibuni imekuwa ikitumia fedha za Watanzania vibaya, mfano kulikuwa na ulazima gani kukodi magari na kununua vyakula vingi na kwenda navyo kwenye sikukuu ya Wafanyakazi dunia (mei mosi) Wilayani Kasulu?

Ndugu zangu, leo hii Wafanyabiashara wa soko kuu hapo Kakonko wanalalamika kitendo cha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kuwapandishia kodi za vibanda kutoka tsh elfu kumi (10,000) hadi kufikia shilingi elfu hamsini (50,000) sawa na ongezeko la 400%.

Hilo ongezeko la kodi ni kubwa sana na nimzigo mkubwa kwa Wafanyabiashara wa hapo sokoni.

Taarifa nilizonazo ni kwamba, hilo ongezeko la kodi halijapitishwa na Baraza la Madiwani ni maamuzi tu ya Mkurugenzi na CMT yake wamejiamulia.

Ziara hiyo ya Waheshimiwa Madiwani inanipa mashaka makubwa mawili
1. Nimpango mkakati wa Mkurugenzi wa Halmshauri ya Kakonko ya kuwaziba mdomo Waheshimiwa madiwani ili awe anapitisha mambo yake bila kuhojiwa na Waheshimiwa Madiwani.

2. Wafanyabiashara wa soko kuu Kakonko wakisema Madiwani wamekubali kuwakandamiza ili Mkurugenzi apate posho za safari hiyo watakuwa wamekosea?

Kuna kila sababu ya kumdhibiti Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko na kumkumbusha kwamba Wilaya ya Kakonko bado changa na ni masikini, hivyo badala ya kutumia fedha za wananchi kwenye mambo yasiyo ya msingi aache.

Wilaya yetu bado ni Changa mno, ina uhitaji wa mambo mengi sana mfano madawati shuleni, vyoo mashuleni ni tatizo, bado tunahitaji kusogeza huduma za afya kwa wananchi kwa kujenga Zahanati na Vituo vya Afya n.k.

Pia nimkumbushe Mkurugenzi, wapo watumishi wengi wanadai fedha za uhamisho mpaka leo hawajalipwa, ni vyema wangelipwa Watumishi hao ili wapate molari kazini.

Leo acha niishie hapa

Wenu,
Mwanakijiji cha Mugunzu.
***************************************************************************************************************

Baada ya kuusoma ujumbe huu nikaanza kumdodosa na akanihadithia mengi mpaka nikashangaa

Hivi hawa wakurugenzi hawana watu wanaowasimamia?

Je, hawana mamlaka inayoangalia wanayoyafanya?

Wako juu ya sheria?

Naambiwa mkurugenzi huyu ambaye anaitwa NDAKI ana matumizi mabaya ya kutisha ya ofisi, matumizi mabaya ya fedha za umma, anatembea na kuzaa na watumishi, manunuzi yote ananunua kupitia kampuni zake.

Nimesikiliza stori zake mpaka nimechoka. je watanzania tunapaswa kuwa na watu kama hawa? kama aliyemchagua haoni sisi wananchi tufanyeje? naambiwa hakuna mradi wowote wa maana aliyofanya kwa mapato ya ndani amawahonga madiwani ili apitishe biashara zake.
 
Je hawana mamlaka inayoangalia wanayoyafanya?

Unaweza kuzitaja hizo kampuni zake
 
Kwa heshima ya JF ingefaaa tuwe tunaweka viambata thibitishi za tuhuma tunazotoa. Mafunzo ni muhimu katika kuimarisha utendaji na kuongeza ufanisi
 
Mtumishi mmoja alisikika akisema " Pesa serikalini ipo ila unapaswa uwe mjanja kutengeneza activities"

Nahisi hapo wajanja wanatengeneza namna ya akaunti kuachia pesa.
 
Baraza la Madiwani limepozwa
 
Ungeweka thamani ya fedha au Makadirio ya hiyo safari ingependeza pia..na je ilikuwa kwenye mpango wao wa bajeti?
 
Kwa heshima ya JF ingefaaa tuwe tunaweka viambata thibitishi za tuhuma tunazotoa. Mafunzo ni muhimu katika kuimarisha utendaji na kuongeza ufanisi
Ila mafunzo kwa madiwani ni ya nini? Kwani hakuna maafisa kilimo kwenye iyo halmashauri na wenye ujuzi wowote kuhusu kilimo mpaka awapeleke madiwani?

Hapo huwa nashindwaga kuelewa kabisa..! Ok sasa hao madiwani wakishapata hayo mafunzo wanaya transform vipi into actual ground?
 
Ni Sawa na wabunge akina musukuma walipoenda kujifunza namna DP weldi inavyofanya KAZI Dubai. Yaani nchi umepata viongozi WA hasara kweli kweli
 
Habari za jioni watanzania wenzagu.

Leo nimepokea taarifa kutoka kwa mtu wangu wa karibu aliyeko kigoma na kunihadithia matukio ya kuttisha na nimeona nilete hapa wa watalam tusaidiane.

Kwanza ameanza kwa kunitumia ujumbe ulioandikwa na mwananchi wa kawaida nami naomba niuweke hapa wote tuusome halafu nitasema machache.

*******************************************************************************************************
ZIARA YA MAFUNZO YA MADIWANI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA KAKONKO NIMATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA WANANCHI.*

Leo asubuhi nimeamka na kukutana na picha za Madiwani wa Wilaya yetu ya Kakonko kwenye magroup mbalimbali ya WhatsApp zikiwaonyesha Madiwani hao wakiwa Airport ya Mwanza tayari kwa safari ya kuelekea Dar es salaam, Zanzibar na Kilimanjaro.

Nimejaribu kudadisi kwa watu mbalimbali, nimeambiwa Madiwani hao Wanakwenda kujifunza kilimo cha Parachichi Wilayani Siha, Mkoani Kilimanjaro.

Nilijiuliza maswali kadhaa kichwani Mwangu bila kupata majibu.

1. Kama safari ni kwenda kujifunza kilimo cha Parachichi Mkoani Kilimanjaro, kulikuwa na Ulazima gani kwenda Mwanza kisha kupaa na ndege kwenda Dar es salaam?

2. Naambiwa Madiwani wetu wameelekea pia Zanzibar, najiuliza Kakonko pia tunatarajia kuanza kilimo cha karafuu au wameenda kujifunza uchumi wa blue (Uvuvi)?

3. Kama lengo ni Kilimo cha Parachichi, ziara ya kwenda kujifunza kilimo cha Parachichi katika Kijiji cha Bitare Wilaya ya Kibondo Shambani kwa Eng. Amon Ntimba Madiwani wetu hawakuelewa?

Taarifa nilizonazo ni kwamba Halmashauri wameanzisha shamba la Parachichi katika Kijiji cha Kasanda ilipokuwa kambi ya Mtendeli, na kuna makampuni mawili yalifika Kakonko kuja kufanya utafiti wa udongo kama unafaa kwa ajili ya kilimo cha Parachichi na kampuni moja lilitoka nchini Kenya na kampuni nyingine ilitoka Mkoa wa Kilimanjaro.

Parachichi zilizopandwa katika shamba hilo la Halmashauri sio za kisasa na zomechelewa kupandwa na hali ya shamba linasikitisha sana, najiuliza hao madiwani wameenda kujifunza nini sasa huko?

Miezi michache iliyopita, niliona ununuzi wa basi aina ya Tata mali ya Halmashauri na tuliambiwa basi hili limenunuliwa mahususi kwa ajili ya shughuli za Halmashauri, najiuliza swali hili.

1. Kama Halmashauri ilinunua Bus kwa ajili ya shughuli za Halmashauri, na Madiwani wetu walitakiwa kwenda Wilaya ya Siha, Kilimanjaro kujifunza kilimo cha Parachichi, Kwanini Madiwani wasingetumia Basi hilo badala ya kutumia usafiri wa ndege ili kupunguza mzigo kwa Halmashauri?

Halmashauri yetu siku za hivi karibuni imekuwa ikitumia fedha za Watanzania vibaya, mfano kulikuwa na ulazima gani kukodi magari na kununua vyakula vingi na kwenda navyo kwenye sikukuu ya Wafanyakazi dunia (mei mosi) Wilayani Kasulu?

Ndugu zangu, leo hii Wafanyabiashara wa soko kuu hapo Kakonko wanalalamika kitendo cha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko kuwapandishia kodi za vibanda kutoka tsh elfu kumi (10,000) hadi kufikia shilingi elfu hamsini (50,000) sawa na ongezeko la 400%.

Hilo ongezeko la kodi ni kubwa sana na nimzigo mkubwa kwa Wafanyabiashara wa hapo sokoni.

Taarifa nilizonazo ni kwamba, hilo ongezeko la kodi halijapitishwa na Baraza la Madiwani ni maamuzi tu ya Mkurugenzi na CMT yake wamejiamulia.

Ziara hiyo ya Waheshimiwa Madiwani inanipa mashaka makubwa mawili
1. Nimpango mkakati wa Mkurugenzi wa Halmshauri ya Kakonko ya kuwaziba mdomo Waheshimiwa madiwani ili awe anapitisha mambo yake bila kuhojiwa na Waheshimiwa Madiwani.

2. Wafanyabiashara wa soko kuu Kakonko wakisema Madiwani wamekubali kuwakandamiza ili Mkurugenzi apate posho za safari hiyo watakuwa wamekosea?

Kuna kila sababu ya kumdhibiti Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Kakonko na kumkumbusha kwamba Wilaya ya Kakonko bado changa na ni masikini, hivyo badala ya kutumia fedha za wananchi kwenye mambo yasiyo ya msingi aache.

Wilaya yetu bado ni Changa mno, ina uhitaji wa mambo mengi sana mfano madawati shuleni, vyoo mashuleni ni tatizo, bado tunahitaji kusogeza huduma za afya kwa wananchi kwa kujenga Zahanati na Vituo vya Afya n.k.

Pia nimkumbushe Mkurugenzi, wapo watumishi wengi wanadai fedha za uhamisho mpaka leo hawajalipwa, ni vyema wangelipwa Watumishi hao ili wapate molari kazini.

Leo acha niishie hapa

Wenu,
Mwanakijiji cha Mugunzu.
***************************************************************************************************************

Baada ya kuusoma ujumbe huu nikaanza kumdodosa na akanihadithia mengi mpaka nikashangaa

Hivi hawa wakurugenzi hawana watu wanaowasimamia?

Je hawana mamlaka inayoangalia wanayoyafanya?

Wako juu ya sheria?

Naambiwa mkurugenzi huyu ambaye anaitwa NDAKI ana matumizi mabaya ya kutisha ya ofisi, matumizi mabaya ya fedha za umma, anatembea na kuzaa na watumishi, manunuzi yote ananunua kupitia kampuni zake.

Nimesikiliza stori zake mpaka nimechoka. je watanzania tunapaswa kuwa na watu kama hawa? kama aliyemchagua haoni sisi wananchi tufanyeje? naambiwa hakuna mradi wowote wa maana aliyofanya kwa mapato ya ndani amawahonga madiwani ili apitishe biashara zake.
Abu tuwekee pica zake tumjadili vizuri na kumshitaki kwa Mh. rais
 
Nadhani 90% ya halamashauri nchini zina mchwa,chamsingi ufanyike udhibiti makali sana wa pesa za halamshauri pia wakurugenzi watume maombi ya kazi,sio huu upuuzi wa kuteua majinga na mafisadi
 
Hii Kakonko ina nini? hapa ndipo alianzia Fisadi Mwakabibi
Huyo Mwakabibi ni nani? Je yeye na makengeza nani fisadi zaidi?
2088128651 (6).jpeg
 
Watu wameruhusiwa
 
Back
Top Bottom