Wabunge nchini Marekani wamepiga kura za kumwondoa Rais Biden madarakani kwa tuhuma za Rushwa na matumizi mabaya ya madaraka kuitajirisha familia yake

sky soldier

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
5,408
19,033
1702514165867.png

Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa, kutakatisha fedha na familia yake kuwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka.

Matokeo ya kura, Wabunge 221 wameunga mkono, wabunge 214 wamekataa.

Mtoto wa Biden, Hunter Biden amekuwa akihusishwa mara kwa mara kwenye kupiga dili hizi kwa mgongo wa baba yake, Kwa sasa ana kesi za ukwepaji wa kodi na kufanya ulaghai kwa mamlaka za mapato na kodi, kabla ya hapo alikuwa na kesi za matumizi ya madawa ya kulevya aina ya crack cocaine baada ya picha zake kuvuja akiwa anavuta.

==

The House voted to formalize its impeachment inquiry into President Biden on Wednesday, taking a critical step that GOP leaders have argued is necessary to force the White House into complying with their investigation.

The measure passed 221 to 212, with every Republican voting in favor of it and all present Democrats voting against. Light cheering could be heard on the GOP side of the chamber after the measure passed, with pin drop silence on the Democratic side.

"We are now at a pivotal moment in our investigation. We will soon depose and interview several members of the Biden family and their associates about these influence-peddling schemes. But we are facing obstruction from the White House," Oversight Committee Chairman James Comer, R-Ky., said on the House floor ahead of the vote.

"The White House is seeking to block key testimony from current and former White House staff. It is also withholding thousands of records from Joe Biden’s time as Vice President. President Biden must be held accountable for his lies, corruption, and obstruction. We have a duty to provide the accountability and transparency that Americans demand and deserve."

Source >> House votes to authorize Biden impeachment inquiry
 
Kama ni kweli wapo vizuri, hatulingani nao na wala hatutalingana nao kwenye level ya demokrasia
Mkuu ndo umeishia hapo kwenye kuwasifia demokrasia tu?, kwasababu ni wazungu?,

Mi nilidhani utaanza na Topic kuu ambayo ni kashfa iliyokumba utawala wao.

Anyway, kuna mtu niliwahi mwambia hakuna nchi zenye ufisadi kama za wazungu tofauti ni kwamba wanafanya ufisadi mkubwa na maendeleo yanafanyika tofauti na bongo mtu anakula ela zote za dawa za hospitali, kule anapeleka box tupu.

Ila upigaji wa wazungu ni wa pesa nyingi sana na wameuhalalisha.
 
View attachment 2841868

Wabunge nchini Marekani wamepiga kura kukosa imani na Rais wao Joe Biden kwa malalamiko ya kwamba Rais anatumia madaraka yake kula rushwa na kutumia madaraka vibaya kula rushwa, kutakatisha fedha na familia ikiwa na utajiri wa mabilioni huku vyanzo vikitiliwa mashaka. Katika kura hizo, upande wa Republican wakikubali wote na upande wa Democrats wakikataa.

Mtoto wa Biden, Hunter Biden amekuwa akihusishwa mara kwa mara kwenye kupiga dili za kimagendo kwa mgongo wa baba yake, Kwa sasa ana kesi za ukwepaji wa kodi na kufanya ulaghai kwa mamlaka za mapato na kodi, kabla ya hapo alikuwa na kesi za matumiz ya madawa ya kulevya baada ya picha zake kuvuja akiwa anavuta vrack cocaine.

Source >> House votes to authorize Biden impeachment inquiry
Aondolewe tu, haraka sana tena kwa aibu kubwa.
 
Hawa ndio wabunge sasa.. Sio hawa wa kwetu wabunge vibungo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marekani hata uwe wewe ndio rahisi wao sera zao dhidi ya israhell kwa 99% hua zinafanana
Yaani ningumu sana au haiwezekank uwe rahisi wa marekani halaf uikwepe israhell na aipac
Kumbe kuna wakati una akili...hii ni kweli, hatakuwepo rais atakayekwenda kinyume na Israel...isipokuwa mwishoni kabisa kwa mujibu wa unabii kuwa Marekani atakuja kuigeuka Israel na kuitandika sana, hizo nyakati bado sana
 
Mada ni ya Uzushi
Hadaa tupu.
Eti impeachment imefanyika bila resolution wala bila taarifa kujulikana kabla. Bunge la Marekani halifanyi kazi kienyeji, haliogopi mtu. Utaratibu unachukua wiki kadhaa watu wanafanya kwa uhuru, ushahidi unatolewa, hapo unakuta directors wa idara kadhaa wanaapishwq kutoa ushahidi. Hapo wangeitwa wahusika wa kupambana na madawa au polisi, wakaitwa watu wa kodi na labda FBI.
Sio kienyeji na ghafla hivi
 
Back
Top Bottom