matokeo

  1. K

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kuingiliwa siasa zetu na nafasi yetu katika kukemea na kudhibiti, Katibu mkuu wa CCM kafungua njia tuifuate. Case study: uchaguzi S/M

    Zikiwa zimepita takribani siku tano tangu kumalizika kwa amani uchaguzi wa serikali za mitaa na matokeo kutangazwa na washindi kusheherekea ushindi wao, sasa muda wa kuliangalia swala la uchaguzi katika upana ili kuyaziba mdomo mataifa yanayoonesha kupingana na uchaguzi huo. Baada ya matokeo...
  2. Mystery

    JamiiForums Tanzania Haya ndiyo matokeo ya watawala ya kuwapuuza wapinzani

    Tumefika siku ya kile kinachoitwa siku ya uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini mimi niiite siku ya UCHAFUZI. Hivi katika mazingira ya kawaida unaposhindana na mshindani wako na akaamua kujitoa kutokana na dhuluma za waziwazi unazomfanyia, hivi wewe unayebaki kwenye ushindani huo, utawezaje...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kufuzu AFCON 2021, Misri yalazimishwa sare, Rwanda wafungwa ugenini na Comoro wawatambia Togo ugenini

    Katika mechi za kuwania kufuzu michuno ya AFCON 2021 zilizochezwa usiku huu imeshuhudiwa Misri wakidroo kwa bao 1-1 dhidi ya Kenye ambapo goli la Misri lilifungwa na mchezaji Kahraba dakika ya 42 na mnamo dakika ya 67 mchezaji Olunga alisawazisha na kuufanya mchezo huo kuisha kwa sare ya bao...
  4. idawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Jafo abadili gia angani, afuta maamuzi yote ya wasimamizi wa uchaguzi kuwaengua wagombea. Wagombea wote ruksa kushiriki uchaguzi

    Waziri wa Nchi ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo ametangaza kuwaruhusu wagombea wote waliochukuwa fomu na kuzirejesha kwa ajili ya kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika nchini Tanzania Novemba 24, 2019 wanaruhusiwa kushiriki uchaguzi huo...
  5. Ulimbo

    JamiiForums Tanzania Je haya ni matokeo ya Septemba mosi 2019?

    Wanajamvi, Kama tujuavyo, Septemba mosi 2019, mkuu alikutana na na watendaji wa kata zote nchi, je haya yanayotendeka sasa kuhusiana na huu uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika siku za hapa usoni ni moja ya maazimio na maagizo waliyopewa hawa watendaji? Inasikitisha sana mambo...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kubadilishiwa matokeo ya mtihani - UDSM

    Jana natokea zangu chuo niko kwenye daladala ya Tegeta pembeni kuna mtoto mkali akapigiwa simu kwa maelezo niliyosikia kwa upande mmoja ni kuwa huyu binti alifanya mtihani wa Supplementary matokeo yametoka hakufanya vizuri. Kwahiyo akashauriwa akate rufaa mtihani usahishwe upya baada ya matokeo...
  7. PHILE1879

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo haya ya form 4 huyu kijana anaweza kufiti wapi?

    Kwa matokeo haya ya form 4 huyu bwana mdogo anaweza kufiti wapi?
  8. M

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya usaili wa TAA Internship

    Waliofanya usaili wa mchujo TAA matokeo yametoka
Back
Top Bottom