Rais wa Marekani, Donald Trump alimshinikiza Katibu Mkuu wa jimbo la Georgia kwa chama cha Republic, Brad Raffensperger kutafuta idadi ya kura za kutosha kubadilisha matokeo ya jimbo hilo akimtishia kuweza kutenda 'kosa la jinai' katika mazungumzo ya simu yaliyodumu kwa muda wa saa moja, gazeti...
Wakuu mambo vipi
Katika harakati za hapa na pale maisha unaweza kuchangia matokeo fulani kwa watu tunaoshirikiana nao.
Rafiki yangu mmoja aliniomba ushauri kuhusu kuoa (ingawa mwenyewe sijaoa ila nikatoa kama kocha hachezi ila ni mwalimu) nikampa ushauri huyo mwanamke yupo poa kabisa wewe komaa...
Moderator tafadhali rekebisha kichwa cha habari isomeke Mrejesho badala ya Mrejeshi.
Ni muda umepita sasa tokea taarifa za kuanza kwa uchunguzi dhidi ya Kampuni ya Qnet zitolewe.
Aliye na mrejesho atujuze kwani bado tuna machungu makubwa na hela zenu tulizokopa na kuamua kuwekeza tukiamini...
Wakuu salama?
Kuanzia mwezi Septemba mwaka huu, niliongoza utafiti usio rasmi juu ya madai ya mabinti wa Kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii ya Badoo, Tinder na Hitwe.
Maswali ya utafiti (Research questions):
1. Je, ni kweli kuwa mabinti wa Kitanzania walio katika mitandao ya Badoo...
Na: =AZUyJE0XsASvCgGjApTGwS3L_hCJUm7gOWzdXrklxTEyYZwd2V8bnDc5yL-bEXA4xJa55xT6o_FzdS26Nal8Gy1GMe5g7GktQi_B2uIrS59dw84mrd2M-CfjGME0Yw-AnGIkMA7oXpsPMtvtKPiuOeLb3XbdESgr4_7NKSdEzAkcO6lmp_ng4vkUGGsupURKdvJ941n-ff98T6cy0fKpp_mc&tn=-UC%2CP-y-R']Emmaus Bandekile Mwamakula
Hawa wako wengi sana! Wengine...
Salaam wakuu,
Katika kutibu kiu ya kujua mambo mimi na wenzangu wawili Thomas na Lilian (sio majina yao halisi ) tuliamua kufanya utafiti binafsi juu ya "women obidience to their bosses VS husbands" heshima na utii wa wanawake kwa maboss wao kulinganisha na utii kwa waume zao.
Area of study...
UBEBARI NAMNA ULIVYOJIKITA KUJENGA NGUZO YA UTANDAWAZI.
Na Elius Ndabila
0768239284
Historia inatufunza kuwa ubepari kama mfumo wa mahusiano ya kijamii hushamiri na kuendeshwa kwa kutegemea "udhaifu" wa upande mmoja katika mahusiano hayo. Ni wazi kuwa mfumo huu unaishi katika kuupalilia...
Wanaume wenzangu.
Siri ya mafanikio ya kuitunza ndoa yako ni ule UANAUME uliopo ndani yako. Wanawake huwa wanapenda mwanaume ambaye ni MWANAUME kweli kweli ndani mpaka nje.
Kuna wakati anaweza kukuomba idhini ya jambo ili kukupima tu je utamkubalia au kumkatalia. Kumkatalia mwanamke kwenye...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu JamiiForums.
Ndugu zangu Watanzania;
Wiki moja baada ya kutangazwa matokeo, shirika la ndege la ATCL pamoja na mamlaka ya hifadhi ya TANAPA ina nini cha kuwapa wanafunzi 10 bora (waliofanya vizuri) katika mitihani ya darasa la saba kwa mwaka...
Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Japo mimi ni kada wa chama cha siasa na sio CHADEMA, ukada wangu, haunizuii kutoa ushauri kwa Chama chochote kukisaidia. Upendo wa kweli ni pale unapoona jirani yako ambaye ni kipofu, haoni mbele, anatembea na...
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Benson Bagonza, alipohojiwa na MwanaHALISI Online juu ya maoni yake kuhusu sakata la CHADEMA.
Sakata hilo liliibuka baada ya wanachama 19 wakiongozwa na Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha), Halima Mdee...
Vladimir Putin described the Kremlin's decision not to congratulate Joe Biden as "a formality" with no ulterior motives.
Russian President Vladimir Putin said he's ready to work with any U.S. leader, but still isn't ready to recognize the election victory of Joe Biden.
"We will work with...
Nimeshangaa sana kutouona mkoa wa Mbeya kwenye 10 bora matokeo ya Darasa la Saba.
Je, ni siasa zimetufelisha au tatizo ni nini? Yawezekana tuliendekeza siasa tukasahau watoto madarasani.
Niishie hapo kama nimetazama vibaya niko tayari kusahihishwa.
Maendeleo hayana vyama!
WanaJF, Salaam!
Nimeandika machache tu kuhusu nchi zenye rekodi ya ukosoaji na ufuatiliaji wa masuala ya uchaguzi na matokeo yake barani Africa ikiwemo Tanzania.
Jumuiya za kimataifa zinapaswa kuheshimu matokeo ya uchaguzi mkuu uliowaweka wagombea wengi wa CCM madarakani kwa kuwa utashi wa...
Kumekuwepo na matatizo makubwa NACTE mnapotuma matokeo ya watoto vyuoni.
Mtoto hawezi kuyaona ontime pia na wazazi. Kumekuwa au kuna uwezekano mkubwa hata wa ku- manipulate/ku-temper na ufaulu wa watoto kwa faida ya chuo/walimu etc.
Maadam chuo ndicho kinamwonesha mwanafunzi matokeo, chochote...
Mojawapo ya wadau muhimu wa matokeo ya mitihani kwa vyuo vya NACTE ni WAZAZI. Ni vema matokeo yakatolewa kama wanavyofanya NECTA ili iwe rahisi kwa wazazi kupata matokeo ya watoto wao kutoka kwenye reliable source kama website ya NACTE etc, siyo kusubiri kuambiwa na mtoto. Watoto wengine...
Wana JF, nimejaribu kuwaza sisi Tanzania katika nchi za Africa tunaosemekana kwamba ni "Third World Countries" mara nyingi tumekariri kwamba ili matokeo ya uchaguzi yakubalike na vyama vyote vinavyokuwa vinashiriki uchaguzi, ni lazima kuwa na Tume Huru ya Uchaguzi
Wenzetu wazungu (USA, U.K...
Rais Donald Trump ametangaza kumfuta kazi Waziri wa Ulinzi, Mark Esper baada ya wawili hao kushindwa kuelewana. Christopher Miller aliyekuwa Mkuu wa Kituo cha Ugaidi atachukua nafasi yake
Esper alipishana kauli na Rais Trump kuhusu namna Ikulu (White House) ilivyotumia Jeshi wakati wa...