Matokeo Kidato cha Nne 2020: Siku hizi hakuna 'penati' za Civics na Basic Mathematics?

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
9,752
2,000
Wakuu, nawasalimu!
Naomba nisaidiwe kuhusu suala la hapo juu. Nimeyaona matokeo fulani ya mwanafunzi ambaye amepata alama 'F' kwenye Basic Mathematics lakini amepata daraja la kwanza la alama 16.
S............​
F​
16​
I​
CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B' FREN - 'D' PHY - 'C' CHEM - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'F'​
 
Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
5,311
2,000
Hujajibu kitu...,rudia kusoma alichoandika mleta mada
Habari yenyewe ni km anataka tuzungumzie kitu cha mpita njia yaani muhusika km hamjui au hana uhusiano nae sasa nimfafanulie kiundani matokeo yasiyo muhusu yamsaidie nini?
 
Ncha Kali

JF-Expert Member
Sep 19, 2019
9,780
2,000
Habari yenyewe ni km anataka tuzungumzie kitu cha mpita njia yaani muhusika km hamjui au hana uhusiano nae sasa nimfafanulie kiundani matokeo yasiyo muhusu yamsaidie nini?

Sa huyo mpitanjia ndo anahitaji umchagulie PCB? Jikite kujadili hoja, sio mlengwa.
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
13,534
2,000
Wakuu, nawasalimu!
Naomba nisaidiwe kuhusu suala la hapo juu. Nimeyaona matokeo fulani ya mwanafunzi ambaye amepata alama 'F' kwenye Basic Mathematics lakini amepata daraja la kwanza la alama 16.
S............​
F​
16​
I​
CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B' FREN - 'D' PHY - 'C' CHEM - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'F'​
Hongera kwa dogo
Kwa matokeo haya kuna kitu hakikwenda sawa wakati anafanya Math
 
white wizard

JF-Expert Member
May 18, 2011
5,968
2,000
Aende PCB dogo. Achana na penat

Hkl asiiguse haina soko
Siku zote ukimya!!huficha uelewa wako juu ya jambo fulani!!kwa kauli yako hiyo, tu nimeshakuelewa kiwango cha elimu yako!!(huenda hata kiwango cha elimu ya sekondari hukufikia!!)au vinginevyo!!kwani hoja ya jamaa iko wazi kabisa kwa mtu aliyepitia elimu ya sekondari huko nyuma, anafahamu kuwa ukipata F, ya mathematics, itaathiri matokeo yako tu!!wewe una kuja na hoja nyingine kabisa!!!
 
Papy ndombe

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
3,764
2,000
Wakuu, nawasalimu!
Naomba nisaidiwe kuhusu suala la hapo juu. Nimeyaona matokeo fulani ya mwanafunzi ambaye amepata alama 'F' kwenye Basic Mathematics lakini amepata daraja la kwanza la alama 16.
S............​
F​
Yaani mtu anasoma sayansi hesabu anapata F msiba huu
16​
I​
CIV - 'B' HIST - 'C' GEO - 'C' KISW - 'B' ENGL - 'B' FREN - 'D' PHY - 'C' CHEM - 'B' BIO - 'B' B/MATH - 'F'​
Zama zimebadilika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom