Kwa mtazamo wangu
1: Hakutakuwa na WW3
2: Russia hatatumia Nuclear wala Ukraine haitajisalimisha.
Russia itachoka, na wataingia makubaliano ya kusitisha vita ikiwa hoi kabisa na majeraha mengi bila kutumia Nyuklia zake.
3: USA atakuwa na nguvu kubwa kuliko MTU au taifa lolote kuliko hapo...
Tume ya ajira, tunaomba muwe mnaweka na matokeo ya written interview kwenye account zetu au website, kusudi mtu ajue amepataje na amekuwa wa ngapi na wamechaguliwa wangapi kwenye stage inayofuata.
Uzuri wote wnaofanya mtihani kuna ID bila majina. sasa kwenye portal mnaweka "not selected" tu...
Tumezoea kupanda miche ya ndizi, unaweza kuinunua au kuomba kwa jirani. Lakini ndizi iliyokomaa na kuiva inaweza kukupa mbegu naipanda ndizi kwenye karai bovu lenye matobo ili maji yasituame, weka udongo wenye mbolea kwenye karai na uwe unamwagilia maji kila siku. Baada wiki mbili au tatu...
1. Ufaransa wamepiga Kura Leo, matokeo Leo Leo. Na mpinzani kakubali kushindwa Leo Leo.
2. Afrika Sasa! Matokeo baada ya siku 14 na upinzani wanadai wameibiwa.
**Tusubir kuhudhuria sherehe ya kuapishwa kwake.
Leo francophone kote Ni full shangwe
Walikutana Ben na Rose shuleni wakiwa wote wamefaulu darasa la saba. Licha ya uwanafunzi Ben alikua na kipaji cha kuimba na kupiga gitaa. Weekends alitumbuiza kwenye bar na pia alialikwa kwenye maharusi. Kwa kifupi wote Ben na Rose hawakutoka katika familia zenye uwezo.
Mama yake Rose...
Waziri wa Fedha na Mipango, Dr. Mwigulu Nchemba mwenye PhD zake za uchumi amekubali kuondoa tozo kwenye sukari kwa 10%. Ni jambo jema lakini naomba nimkumbushe yafuatayo.
Sukari ina impat kwa bidhaa nyingine lakini impact kubwa na inayosafiri kwa haraka ni impact inayotokana na bei za mafuta...
Habari yenu katika ujenzi wa maisha yenu. Nimehitimu chuo 2020 stashahada ya uhandisi majengo katika chuo fulani cha serikali hapa nchini.
Tatizo kubwa matokeo yangu yamekosewa katika mfumo wa NACTE na hii imekuwa ni kikwazo nisiweze kuendelea na masomo.
JITIHADA NILIZOZIFANYA KWA SUALA HILO...
Baada ya Mataifa makubwa dunia Marekani na Ulaya kuamrisha Afrika iseme msimamo wake na ilaani oparesheni ya Urusi huko Ukraine. Tanzania imetoa kauli ya kwamba sisi HATULAANI, wala HATUUNGI MKONO vita hivyo. Tunachoshauri ni meza ya majadiliano tu. Tanzania ni mwanachama wa kikundi cha nchi...
WADAU wa siasa wametoa maoni kuhusu uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan kuridhia pendekezo la kikosi kazi cha kuratibu demokrasia ya vyama vingi vya siasa.
Miongoni mwa mambo hayo ni matokeo ya urais kupingwa mahakamani.
Wadau hao ni Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) ambacho...
Kijana wetu Kibwana kapata injury, hachezi lakini Yanga haijakata moto wa wimbi lake la ushindi kila moto. Hii sio hali nzuri kwa mchezaji yeyote duniani.
Kibwana amepata nafuu karudi kundini lakini mkataba wake unaenda mwisho na hajapewa mkataba mwingine bado.
Wakala wa mchezaji kupitia...
Karne ya 1= kanisa la mitume, ikielezewa sana na kitabu cha Matendo ya mitume. Huku warumi wakitawala
Karne ya 2-3= kanisa la mateso, himaya ya Roma ikilitesa kanisa
Karne ya 4= mfalme wa Roma anakuwa Mkristo, Romans hawakukubali kupoteza kila kitu, wanaingiza ibada zao pia kama mishumaa...
Klabu ya Dodoma Jiji ya jijini Dodoma imeachana na kocha wake mkuu, Mbwana Makata kuanzia leo Jumatano Februari 23, 2022.
Taarifa iliyotolewa na klabu hiyo imeeleza kuwa hatua hiyo imefikiwa baada ya mwendelezo mbaya wa matokeo ya timu hiyo katika mashindano mbalimbali ya msimu huu wa 2021/22.
Sababu kubwa ni moja tu, hii timu mpaka sasa ndio inaonekana ni kibonde katika hili kundi na haishangazi sana kwani Niger (Timu ya Taifa na hata vilabu vya nchi hiyo) hawana record nzuri katika soka kama tulivyo Tanzania.
Kwahiyo, timu zitazoifunga hii timu ya USGN nyumbani na ugenini, ndio...
Klabu ya Simba leo Jumapili February 13 inashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kucheza na ASEC Mimosas kutoka Ivory coast, kwenye mchezo wa kwanza hatua ya makundi Kombe la Kombe la Shirikisho Barani Afrika CAFCC.
Hautakuwa mchezo mwepesi, bali utakuwa mgumu na wa kusisimua hasa ukizingatia...
Kuna dogo kapata matokeo yafuatayo katika mtihani wa form four- 2021 na hataki kwenda advance.
Civics- C
Geography- C
History- C
Kiswahili- B
English-C
Biology-C
Chemistry-C
Physics- F
Maths-D.
Yeye anapenda kwenda chuo kozi za sayansi. Je ni kozi gani anaweza chaguliwa.
Baada ya kuibuliwa mambo kadhaa ya kishamba sana yanayofanywa na Askari pale getini ikiwa ni pamoja na kuwazuia Wanafunzi kuingia Chuo kisa hajavaa soksi na mavazi mengine ambapo kulipekea Wanafunzi hao wa kike na WA kiume kupigana na Walinzi hao, Chuo kilitoa statement ambayo ilikua ni Fake na...
Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji.
Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
Sijui kama ni makusudi au uvivu wa kufikiri, au kuamua kuishi kwa mazoea. Kila mwaka baraza la mitihani wanakuja na majina ya wanafunzi na shule bora katika matokeo ya mitihani ya ngazi tofauti.
Kinachosikitisha ni kwamba kuna utofauti mkubwa sana wa mazingira ya utoaji elimu hapa nchini...
Nawasalimu kwa jina la Chama Cha Mapinduzi.
Toka mwaka jana nilianza kupata mashaka makubwa kuhusu haya matokeo yaliyosheheni division one za saba kiasi cha kutia shaka. Leo nimebahatika kupata sababu mbili za kuyapuuza haya matokeo ya kisiasa;
1. A kwa sasa inaanzia 75% badala ya 81%...
Mara zote shule binafsi wanakua vinara katika matokeo ya mitihani aidha darasa la saba au kidato cha nne.
Sababu za matokeo yakiwa mazuri au mabaya zipo kama vile uwezo binafsi wa mwanafunzi, bidii, mazingira, rasilimali vitabu,walimu bora, maabara za kisasa, maslahi bora ya watumishi, mbinu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.