matokeo

  1. itakiamo

    JamiiForums Tanzania Matokeo yakiwa hivi inachukua muda gani hadi kuachiwa?

    Mwenye kufahamu anisaidie
  2. ANT DRUGS

    JamiiForums Tanzania Huwa nafurahi sana Simba na Yanga zikipata matokeo halali

    Habari zenu wana Michezo.Mimi siyo mchambuzi wa mpira ila ni mpenzi mtazamaji tu. Leo Simba kabanwa mbavu,bahasha haijasaidia,Mmadrid nae kachemka.Tulikubaliana na GENTAMYCINE kwamb Pablo akiishiwa mbinu basi atakuwa anampigia simu ZIDANE ili ampe mbinu mpya,bahati mbaya leo simu ya ZIDANE...
  3. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini matokeo ya Tume ya Uchunguzi wa Kuungua Masoko huwa hayawekwi wazi?

    Limeungua soko la Kariakoo, waziri mkuu akaunda tume, hadi leo wahanga hawajulishwa, wala umma haujajulishwa ni nini kilichopo ndani ya ripoti hizo. Sio tu Kariakoo, bali masoko yote yaliyowahi kuungua hakujawahi kuwa na majibu ya wazi kwa ripoti za uchunguzi. Ukimya wa serikali unasababishwa...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kidato cha pili 2021 shule haziko 'Alphabetically'

    Hii inaitwa pambana na hali yako. Kuna shule naitafuta toka juzi siioni. Sasa kwa upangaji huu labda inaonekana hayana umuhimu sana na watu hawana mpango nayo. Sidhani kama watu wote wanatumia vifaa 'advance' vya kuweza kuwasaidia kupata kitu anachokitaka kwa haraka. Sijui tunakwama wapi.
  5. D

    JamiiForums Tanzania Utitiri wa Div One za point 7 zinaleteleza GPA 4.5 kule SUA na UDSM. Na zamani tulikwama wapi? Tujadiliane kidogo

    1. Kuna ukweli kuwa mitihani zamani ilitungwa na walimu wakongwe, na sasa NECTA wametunga wenyewe? 2. Usahihishaji unafanyika kwa muda mfupi sana , wameongeza wasahihishaji au wasahihishaji wameongeza speed? 3. Kuna ukweli kuwa wasahihishaji wakimaliza kazi, wataalamu na standardazation...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo ya kidato cha nne basi chama cha mapinduzi kinahitaji pongezi

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Leo uzi utakuwa mfupi wa kukipa pongezi Chama Cha Mapinduzi kwa kuzidi kutimiza malengo ya ilani yake uachaguzi ya mwaka 2020. Jana tumeona matokeo ya kidato cha nne 2021 yakionyesha kupanda kwa ufaulu kulinganisha na matokeo ya miaka iliyopita. Pamoja...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Muongozo na ushauri kwa wanafunzi waliopokea matokeo ya kidato cha nne 2022

    Habari wakuu, Kuna wadogo zetu wamepata matokeo yao ya kidato cha nne. Ni ngwe muhimu sana kwenye maisha yao, kwa sababu ndio inayotoa upepo awe nani baadae kitaaluma kwa uchaguzi anaofanya sasa japo kwa baadhi wanaweza kuwa na wigo mpana wa kuchagua tena baadae. Hapa jukwaani kuna wengi ambao...
  8. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Kwa matokeo ya kidato cha 4, sisi kama taifa ni vilaza wakubwa

    Wanasema lugha ambayo Mungu alitumia kuumba ulimwengu ni hesabu. Hata wanapoangalia na kulinganisha performance ya elimu kwa nchi mbalimbali, huangalia Hesabu na sayansi. Sasa basi, ufaulu wa Hesabu mwaka huu ni asilimia 20. Au ni 30? Hii inamaanisha asilimia 80 ya watahiniwa wote wamepata F ya...
  9. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Kwanini wazazi wengi bado wako 'obsessed' na As na Bs za matokeo ya mitihani?

    Leo Baraza la mitihani limetangaza matokeo ya kidato cha 2,4 na mitihani ya ufahamu kwa wanafunzi wote waliofanya hiyo mitihani mwaka 2021. Mwezi june 2022 itatutangazia matokeo ya form 6 pia kama kawaida ya miaka yote, kila mwaka ni matokeo ya ulinganifu wa nani kafanya vizuri na nani kafanya...
  10. Cvez

    JamiiForums Tanzania Tujadili Matokeo ya Kidato cha Nne

    🎓 Division I to III - 35.84% (eligible for admission to government-owned A-level schools) 🎓 Division IV - 51.46% 🎓 Division 0 - 12.7% Katika kila 10 wanafunzi 6-7 system ya elimu ishawatema halafu wanadai ufaulu umeongezeka. Hapo kitakacho wasaidia ni aidha wazazi wao wawe na uwezo wa...
  11. comte

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya kitado cha nne 2021-mkoa wako-haumo; shule uliyosoma -haimo; wanakosoma wanao-haimo

    Shule 10 Bora Kitaifa kwenye matokeo ya Kidato cha nne yaliyotangazwa leo January 15, 2022 na NECTA 1. Kemebos - Mkoa wa Kagera 2. St. Francis - Mbeya 3. Waja Boys - Geita 4. Bright Future Girls 5. Bethel Sabs Girls - Iringa 6. Maua Seminary - Kilimanjaro 7. Feza Boys - Dsm 8. Precious Blood -...
  12. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Kaimu Postamasta Mkuu, Macrice Mbodo: Lazima matokeo yaonekane kwa kila anayetumikia shirika hili

    Kaimu Postamasta Mkuu wa Shirika la Posta Tanzania Bw. Macrice Daniel Mbodo amewataka wajumbe wa Baraza la Majadiliano wa Shirika hilo nchini kuchukua kila fursa inayoonekana inaleta tija kwa Shirika kwa lengo la kuhakikisha wanachi wanapata huduma bora na zinazoendana na mahitaji yao kulingana...
  13. blogger

    JamiiForums Tanzania Kwanini NECTA haitangazi matokeo ya darasa la nne na kidato cha pili!?

    Shida ni nini wakuu. Watoto wanashangaa,wazazi tunashangaa. Shida nini??
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tulitumia Bunge kutaka kufuta vyama vya siasa matokeo yake vyama vimeimarika Bunge limekufa

    Kazi Bunge nikuisimamia Serikali iliyopo madarakani itende Kwa maslahi ya Taifa. Kazi hii imegeuka siyo main objective tena bali lengo kuu la bunge lililopo chini ya uongozi wa sasa na ujao nikushirikiana na Serikali. Kushirikiria maana rahisi nikutengeneza pertnership na kwenye partnership...
  15. Manofu

    JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Siku Mtandao wa Intaneti ulipokatwa kwa Wiki nzima kisa Matokeo ya Uchaguzi

    Nakumbuka nilikuwa kijijini baada ya UCHAGUZI wa mwaka jana na kura kuanza kuhesabiwa ghafla siku ya kwanza yakuhesabu kura mtandao wa internet ukawa haupatikani nikaona labda itakuwa nitatizo la kiufundi. Aisee tumeenda siku ya pili mpaka wiki inapita no internet. Kuja kushtuka jiwe kaisha...
  16. THE BIG SHOW

    JamiiForums Tanzania Usiri wa Hayati Magufuli na kutokuwa muwazi matokeo yake ndiyo haya. Rais Samia songa mbele

    Friends and Our Ugly Enemies, People like Ndugai,hata wakitokea wakafanya jambo lenye tija,hawawez Tena kuaminika na mtanzania yyte mwenye akil timamu,it's unfortunate ndo hivyo ameshakuwa speaker wa bunge lakin hakika ni disgrace to our parliament na nchi kwa ujumla, Just imagine speaker wa...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Kwa mshambuliaji aina ya Kibu Denis unaonyesha kwasababu gani Simba wanapata tabu kupata matokeo.

    Mshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa...
  18. Mtondoli

    JamiiForums Tanzania NCCR-Mageuzi na CHADEMA matokeo ya kuzira yanawadhoofisha

    Eti wamezira ,sababu kubwa walitaka waende peke yao au walitaka yule wanaemuona adui yao yeye asiwepo(ccm)au walitaka afungwe mikono na miguu ndio waende,au wapewe upendeleo wakupigiwa magoti ndio waende,au kwasababu mbowe yupo segerea,,yalaaa,,wakati mwingine walihisi kwamba ni mkutano wa rais...
  19. Rusumo one

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya National Std 4 na Form 2 kutoka kabla ya Krismasi?

    Marhabaa wajukuu zangu kwa salama zenu, nirudi kwenye mada tajwa. Naskia sikia muda wowote kinasomeka ili sikukuuu ya Xmas mwenye kula pilau ale na mwenye kula ngarerimo ale kila mtu atakuwa na lake moyani. Hivi Msonde anafanya nini kutucheleweshea majibu ili wajukuu wafurahi na kupata nguo za...
  20. Swahili_Patriot

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, kwanini unadhani watu bado wanagoma kuchanja chanjo hii?

    Swala la chanjo ya kinga dhidi ya ugonjwa wa uviko unaosababishwa na kirusi hatari zaidi kwa sasa, bado halijakuwa na mwamko kama ilivyo kwa chanjo nyingine kama polio, bcg. Je, kwanini unadhani watu bado wanagoma kuchanja chanjo hii? Kama mwezi ulopita nilikutana n rafiki yangu wa muda...
Back
Top Bottom