matokeo

  1. King Leon 1

    JamiiForums Tanzania Upangaji wa matokeo na rushwa itaangamiza soka Zanzibar Kimataifa

    Katika hali ya kushangaza sana ,Club ya Uhamiaji FC ya Zanzibar inayoshiriki mashindano ya Shirikisho Africa imekubaliana na Al ahly Tripoli ya Libya kuwa mechi zao zote zitapigwa Libya kwa sababu ambazo hazina mashiko kuwa za kiusalama na makubaliano baina ya timu izo mbili. Sasa kati ya...
  2. Even MOre

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua kazi ya kulijuani na matokeo yake

    Wanajamvi kichwa cha habari kinatosha. Anayejua kuwa inatengenezwa kwa mazumuni yapi tu na matokeo yake yakoje na kwa muda gani. Comment 👇🏻
  3. G

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wenu haraka sana, Ni kampuni gani nzuri ya kubeti simba vs Yanga mechi ya leo kwa matokeo ya ataeshinda

    habari zenu wazee wa kuweka mizigo Nataka nibeti nusu fainali ya leo Yanga vs Simba, timu itayofuzu kucheza fainali nichague option ipi na kampuni ipi nzuri ? nipo karibu na jengo la gal sports betting, niliwahi kufungua account ya meridian bet na sporty bet
  4. Mturutumbi255

    JamiiForums Tanzania Baada ya Simba Day na Yanga Day Kutamatika, Ni Zamu ya Watani Kukutana – Uchambuzi wa Kitaalamu na Utabili wa Matokeo

    Baada ya Simba Day na Yanga Day kutamatika, sasa ni zamu ya watani wa jadi kukutana kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa tarehe 8 Agosti 2024. Mechi hii itakuwa ya kuvutia sana kwa sababu ya historia na ushindani mkali baina ya timu hizi mbili kubwa za Tanzania. Chanzo: Mitandaoni Timu ya Simba SC...
  5. Msuli wa mbu

    JamiiForums Tanzania Asilimia kubwa ya Watoto wa 2000 ni matokeo ya wazazi wa Miaka ya 75' Hadi 85'

    habari za ujenzi wa taifa? Hili swala la kuwachukulia Watoto wa miaka ya 2000 tofauti limekuwa likizidi kushamili siku Hadi siku sijajua labda social media kwa kipindi hiki ila hapo zamani kidogo (80' 90')sijawahi sikia kizazi fulani kikibezwa kwa namna yoyote tofauti na kuchukuliana lakini...
  6. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Wakili Sweetbert Alipanga Kupinga Matokeo Ya Uchaguzi Kabla ya Uchaguzi Kufanyika Ushahidi upo kwenye Mdahalo wa Startv na Odemba

    Wakili Sweetbert Alipopatwa na Kigugumizi kuhusu Kukubali matokeo Inakupa Picha na Redflag kwamba Lazma angepinga matokeo ya Uchaguzi Hata kama utakuwa wa Haki.. Kasoro alizozitaja kisheria zinaitwa "de minimis non curat lex," ni kasoro ndogo ambazo haziwezi kubatilisha Uchaguzi hata kidogo...
  7. Cute Wife

    JamiiForums Tanzania Mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby, ina maana walishajipanga mapema kutupa matokeo ya mchongo Urais TLS?

    Wakuu, Dodoma huko mambo ni moto. Kura wamemaliza kupiga saa 8 lakini mpaka sasa matokeo hola. Kura zenyewe ziko elf 2 tu, nini kinawafanya wachukue muda mrefu hivyo? Unaambiwa mpaka polisi wa kutuliza ghasia wamewekwa standby kama kikinuka waingilie kati! Mpaka wamejitayarisha na polisi...
  8. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Elimu ya shule ya msingi ndio imeleta matokeo makubwa kwa watanzania wengi kujiajiri

    Nimekuletea kitabu hichi Cha darasa la saba utakubaliana na mimi shughuli nyingi zinazofanywa na watanzania wengi kwa sasa Napendekeza somo hili lingeanza kufundishwa wanafunzi wa secondary ingeleta tija sana
  9. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Polisi wa Tanzania wana vipaji sana! Wanaweza kubaini matokeo kabla hayajatukia.

    Huyu "alimtabiria" Mbowe kutokushinda uchaguzi kiti cha ubunge Jimbo la Hai 2020 na ikawa hivyo!
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Sky News majuzi walikuwa busy Kushangilia kutinga Fainali hadi kusitisha Vipindi vyao Vingine mbona Usiku huu wanajifanya kama bado hawana Matokeo?

    Yaani Msipenga leo kajua kweli kutufurahisha Watu ambao hatupendi Shobo na Sifa za Watu Fudenge Wakoloni wetu.
  11. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Kidato cha 6 2024: Shule 710 kati ya 929 zimepata Wastani wa Daraja C la Ufaulu, Shule 100 zimepata Daraja A na B

    Kwa mujibu wa Matokeo ya Mtihani wa Kihitimu Kidato cha 6 uliofanywa Mei 2024 na kutangazwa na Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA), Ufaulu wa Watahiniwa waliopata Daraja I - III umeongezeka kwa 0.10% kutoka Wanafunzi 95,442 (99.30%) mwaka 2023 hadi 102,719 (99.40%) mwaka 2024. NECTA imesema...
  12. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haya matokeo ya mtihani

    Salaam, naomba kuuliza kwa huyu mwanafunzi aliyemaliza form 6 na matokeo haya, History D Geography C Language S, hivi anaweza kuendelea kusomea chuo cha namna gani na kozi ipi itaendana na hayo masomo? Natanguliza wingi wa shukrani, usiku mwema wajameni.
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Dharauni Usajili wetu Simba SC kwa kadri muwezavyo ila Kiufundi Simba SC inasajili kwa matokeo endelevu na ya Mafanikio kwa miaka mingi ijayo

    Leo nasema hapa hamtokuja Kuamini tu Macho na Masikio yenu kwa hii Simba SC mnayoidharau kwa Usajili wake ila Mimi kama GENTAMYCINE nawaambia hapa hapa kuwa tegemee kuiona Simba SC yenye kwenda kuwa na Mafanikio ya Uwanjani si tu kwa Msimu mmoja bali hata kwa Mitatu au Mitano. Tusije Kukimbiana...
  14. Smith Rowe

    JamiiForums Tanzania Yanayotokea Kenya ni matokeo ya Viongozi kutokusikiliza matatizo ya wananchi na kujiona wao ndiyo kila kitu

    Wakenya walianza kulalamika mda sana kuhusu Zakayo kusafiri sana kutafuta mikopo lakini maisha yao bado ni magumu. Vijana wako mtaani mambo yao ni magumu ajira hamna, mazingira ya biashara ni magumu, hawasikilizwi, wakilalamika viongozi wanajifanya viziwi. Viongozi kutwa kucha kupitisha...
  15. Mynah -lee

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ikiwa matokeo yangu hayapo NACTE na sijathibitishwa?

    Naomba mnisaidie nini tufanye ikiwa darasani kwetu karibia wanafunzi wote wa diploma hatujawa verified NACTE. Chuoni tunajitahidi kufatilia tunaambiwa tusubiri tu mpaka dirisha lifunguliwa na wakati mwaka huu tunataka tu apply degree. Naomb msaada wakuu hakuna namna nyengine au ndo mpaka chuo...
  16. X

    JamiiForums Tanzania Chama cha Rais Macron na Chancellor Scholz vyapata matokeo mabaya uchaguzi wa Bunge la Ulaya

    Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa wito wa uchaguzi wa haraka Juni 30 na Julai 7. Chama cha AfD cha Ujerumani kilipanda hadi nafasi ya...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umri wa miaka 40+ wengi hukubali matokeo yoyote, ndoto nyingi hufa kwenye miaka 20

    WASIKILIZE WATU WENYE MIAKA 40+ 1.Wengi wameolewa/kuoa na ambao hawakujipangia wakiwa na miaka 20 2 .Wengi wameridhika na mafanikio ambayo sio yao 3 Wachache sana utakuta bado wanapambania ndoto zao. 4 Wengi ndio waumini wa kauli ya "MAISHA NDIO HAYA HAYA" 😔 5 Wengi ndio waumini wa kauli ya...
  18. Mr Mlokozi

    JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri impasavyo kufanya na ikitokea mmoja au wawili kati yao hajatimiza majukumu yake daima matokeo yataendelea...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Leo nimepima afya Kwa kuitumia BMI calculator na kupata matokeo mazuri sana

    Wadau hamjamboni nyote? Nimefurahi sana lna pia namshukuri Mungu na hii ni baada ya kupima afya kwa kuoanisha uzito na urefu wangu na kupata matokeo mazuri kiafya Nimeweka matokeo kwa rejea yenu Tujitahidi kupima afya zetu Jumapili njema.
  20. nyamchele

    JamiiForums Tanzania Baraza la Famasi Tanzania lafuta Matokeo yote ya Mtihani wa leseni ngazi ya Fundi Dawa Sanifu kutokana na udanganyifu

    Baraza la Famasi Tanzania limefuta matokeo ya watahiniwa wote 2553 waliofanya mitihani ya leseni ngazi ya Fundi Dawa Sanifu (Pharmaceutical Technician) iliyofanyika mwezi February 2024 baada ya kuthibitika kuwa kulikuwa na udanganyifu kwenye mitihani yote mitatu. Watahiniwa hao sasa...
Back
Top Bottom