Simba wanasema jana wamecheza Mpira Mwingi kuzidi Yanga, ila Gamondi anasema Yanga jana walikuwa kama wanapiga mazoezi tu

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,769
3,354
Habar mwanajukwaa

Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2.

Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na wanaamini ni bahat tu haikua kwao ila wengeweza kuchomoa zote na kushinda au game kuisha Sare.

Ila Master kuna kauli kaitoa ukiifikiria inawaambia simba kua Jana Yanga hawakua Serious na Match sana kuna mda aliamua wachezaji wacheze kama mazoezi hizi Dharau sana.😂

Yani ina maana Simba walikua wametoa ubora wao wote ila Yanga wakawa kama wanapasha Misuli tu Avic ila wakashindwa kuwafunga?

Kweli Simba mna Team Mbovu sana Msimu huu.#Jumapili Njema

Screenshot_20240421-084512_Chrome.jpg
 
Timu ndogo ndogo hizi ikiwemo Simba wakikutana na Dubwana kubwaaaa kama Yanga lazima waanze kucheza kwa presha kubwa hio ni kawaida....Kusema ukweli jana Yanga kacheza mpira wa kawaida sana licha tumeshinda hatukuuwa na ule ukamiaji wa sana
 
View attachment 2969640
Kawadharau sana
 
Ila Master kuna kauli kaitoa ukiifikiria inawaambia simba kua Jana Yanga hawakua Serious na Match sana kuna mda aliamua wachezaji wacheze kama mazoezi hizi Dharau sana.

VIPI RUFAA YANGA wanasemaje kwani NUSU FAINAL ya kwanza imechezwa
 
Habar mwanajukwaa

Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2.

Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na wanaamini ni bahat tu haikua kwao ila wengeweza kuchomoa zote na kushinda au game kuisha Sare.

Ila Master kuna kauli kaitoa ukiifikiria inawaambia simba kua Jana Yanga hawakua Serious na Match sana kuna mda aliamua wachezaji wacheze kama mazoezi hizi Dharau sana.😂

Yani ina maana Simba walikua wametoa ubora wao wote ila Yanga wakawa kama wanapasha Misuli tu Avic ila wakashindwa kuwafunga?

Kweli Simba mna Team Mbovu sana Msimu huu.#Jumapili Njema

View attachment 2969640
Wamekamia mechi,ukitaka kujua kiwango cha halisi subiri wakicheza na Azam au KMC. Sema jana Yanga tulijua kwamba watakuja kwa nguvu, baada ya kukosa chance tatu dk 10 za mwanzo, tukaanza kupoozesha mpira then msako ukaanza.
 
Habar mwanajukwaa

Ukikaa na baadhi ya mashabiki wa simba wanakwambia jana wamecheza mpira hasa ile dakika za mwanzon kabla ya kula chuma 2.

Ila pia wanasema wamecheza sana Mpira Second half na wanaamini ni bahat tu haikua kwao ila wengeweza kuchomoa zote na kushinda au game kuisha Sare.

Ila Master kuna kauli kaitoa ukiifikiria inawaambia simba kua Jana Yanga hawakua Serious na Match sana kuna mda aliamua wachezaji wacheze kama mazoezi hizi Dharau sana.

Yani ina maana Simba walikua wametoa ubora wao wote ila Yanga wakawa kama wanapasha Misuli tu Avic ila wakashindwa kuwafunga?

Kweli Simba mna Team Mbovu sana Msimu huu.#Jumapili Njema

View attachment 2969640
Ila huyu jamaa ana dharau sana
 
Timu ndogo ndogo hizi ikiwemo Simba wakikutana na Dubwana kubwaaaa kama Yanga lazima waanze kucheza kwa presha kubwa hio ni kawaida....Kusema ukweli jana Yanga kacheza mpira wa kawaida sana licha tumeshinda hatukuuwa na ule ukamiaji wa sana
Na Gamondi alikuwa na furaha na tabasamu kwanzia anaingia uwanjani hadi mpira ukiwa unaendelea hakuwa mwenye presha kabisa, tofauti na Benchikha
 
Jana Yanga wakicheza mechi kwa kutumia Injini Moja kubwa yaani Khalid Aucho ila MaX na Muda ni Injini kubwa mbili ambazo Gamondi hakutaka zifanye kazi.
Muda na Max walikua wakifanya kazi kwa 50% na khalidi aka achiwa afanye kazi kwa 100%.

Kama Jana Gamond angeruhusu kitivo chote Cha umeme (power house) Cha Yanga, Max , Muda na Aucho kifanye kazi kwa 100 % kungekua na maafa makubwa.
 
ingekuwa aibu kama Gamondi angekubali kuwa Yanga ilizidiwa. Hata alipopaki bus nyumbani dhidi ya Mamelodi, ingekuwa aibu kwake kusema kwamba amezidiwa, badala yake akasema ni mbinu ya mchezo. So mimi sijashangaa akisema hayo
 
Kuzidiwa bila ushindi unaitaje kwa Lugha yenu?

Na aliyezidiwa akipata ushindi nako mnaitaje kwa Lugha yenu?

Je ukiona timu ina mzidi mwenzake na inashida pia unaitaje kwa Lugh yenu?

Nikuambie tu kitu kimoja mpira is full of techniques ukiona kitu flani jua ni mbinu.
 
Jana Yanga hawakujitoa kwa ukamilifu, utaona kipindi cha pili walivyoRelax, tunaijua Yanga ya kipindi cha pili inavyokuaga hasa ikipania mechi
Menyewe yakajua yamecheza na ile Yanga ya moto.

Ukitaka kuamini pia mkuu kuna ile clip ipo pale youtube channel ya Simba Inamuonyesha MUDATHIR analalamika simba walikamia mno wanaweza kukuua wanacheza kwa nguvu nyingi bila Akili.
 
Kuzidiwa bila ushindi unaitaje kwa Lugha yenu?

Na aliyezidiwa akipata ushindi nako mnaitaje kwa Lugha yenu?

Je ukiona timu ina mzidi mwenzake na inashida pia unaitaje kwa Lugh yenu?

Nikuambie tu kitu kimoja mpira is full of techniques ukiona kitu flani jua ni mbinu.
Hahahahaha ujue mpira kama hujui sio vzr kuongea
Mechi ya Aly Ahly walimiliki mpira mechi zote mbili ila matokeo yote ya ndani na ya nje yanajulikana, nini walisema wote tubajua

Leo mashabiki wa timu ile ile wanaongea tofauti
 
Back
Top Bottom